Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amewatoa hofu wananchi wa Dar es Salaam kuhusu upatikanaji wa huduma ya maji, akisema kuwa jitihada mbalimbali zinaendelea ili kuhakikisha huduma hiyo inaimarika.
Aidha, Aweso ameielekeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuanza mara...
Hii ni 2025 na hili ni jiji namba moja Tanzania ambalo tunajivunia ila wananchi wake bado wanatumia maji ya chemi Chemi, yaani mwaka 2025 bado tupo primitive stage na hapa ni jijini Dar es salaam, sasa mikoa jirani hali ikoje.
_________
Wakazi wa Ubungo Riverside Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa...
Inaingia wiki ya tatu sasa wakazi wa Kimara hawajui kitu kinachoitwa maji , na wala hamna taarifa wala maelezo yoyote ambayo yanatolewa na mamlaka husika.
Meneja umetulia ofisini una sign posho na kupokea mshahara bila kufanya kazi, maana ni kazi gani hiyo ambayo unafanya wakati wananchi...
Sisi Wakazi wa Kata ya Mabibo, Mtaa wa Kanuni hapa Dar es Salaam tuna changamoto ya kutokuwa na huduma ya maji kwa muda wa miezi miwili sasa.
Maji hayatoki kabisa huku kwetu na siku yakitoka ni ndani ya nusu saa au saa moja, kwa ufupi yakitoka hayawezi kuendelea muda mrefu yanakatika tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.