chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. Usajili wa Chama kwenda Yanga -Yanga hamueleweki, sijui mna shida gani!

    Salaam Wakuu.. Nashangazwa na hizi kelele za midundiko na kukata viuno tunazopigiwa na wajuaji wa mitaa ya Twiga na Jangwani pale Kariakoo. Hawa wanashangilia leo kumsajili Chama, yule yule ambaye miaka yote walikuwa wakituaminisha ni mchezaji wa mechi ndogo. Ina maana huyu Chawa amegeuka...
  2. Lissu akiunda chama chake nitakuwa wakwanza kujiunga kwenye chama chake. Hii itakuwa CCM Z kama Gen Z

    Kwema Wakuu! Lisu anasubiri nini? Kwa huanzishi chama watu tujiunge. Bila shaka itakuwa CCM Z kama Gen Z kwa maana kwa jinsi niwaonavyo watanzania karibia wote DNA zao ni CCM ila tunataka tuwafanyie Blood Transfusion ya mabadiliko yenye tija. Kwa kweli sijui kama Blood Transfusion itaweza...
  3. Chama chenye siasa safi Africa ni ccm

    Habari wana Jamvi. Nathubutu kusema Chama chenye siasa safi Africa ni Ccm. Vyama vingi vilivyopigania Uhuru vimekufa ni Ccm pekee imebakia. Hii ni kwasababu ya Sera zake Bora na Imara Umahili wa viongozi wake ndio sababu ya Ccm kudumu muda mrefu bila kuyumba. Ccm Imara ndio chanzo cha Amani Yetu
  4. Sababu zipi zilimfanya Mwl.Nyerere kuiingiza nchi katika ujamaa na chama kimoja?

    Wakati tunapata uhuru nchi yetu ilikuwa nchi ya vyama vingi na uchumi wa soko huria kabla Nyerere hajabadilisha mfumo ni kutupeleka kwenye chama kimoja na ujamaa mwaka 1965 na 1967. Ni hoja zipi Mwl Nyerere alizitumia alipofanya hayo mabadiliko makubwa hivyo ambayo yalitegemewa kuwa na hatimaye...
  5. Wanazi wa Arsenal 'The Gunners' mmefikiwa na chama la wana "Gen Z"

    Mashabiki wa Arsenal Kuna salaam zenu toka Kwa wana.
  6. Kuna Mtu ameapa mahala na Kujiaminisha kuwa Chama anaenda Yanga SC na kama haendi afanyiwe Kitu ambacho hakielezeki Kiurahisi

    Nilishawaonyeni sana hapa kuwa msipende sana Kubeti au kutoa Ahadi hasa kwa Masuala yahusuyo Simba na Yanga kwani upo Uwezekano mkubwa wa kuja Kuumbuka mbele ya Safari. Kuna dalili za 99% naziona za Mtu Mmoja maarufu sana Mitandaoni Kuumbuka na Watu kutaka Kukitimiza kile ambacho katika Biblia...
  7. L

    Suala la usajili wa wa Clatous Chama limedhihirisha kuwa vyombo vya habari vya michezo nchini ni waongo na hawana uwezo wa kuchunguza na kupata ukweli

    Mwezi mzima huu vyombo vya habari hakuna hata kimoja kilichoandika habari ya usajili wa mchezaji Clatous Chota Chama kwa usahihi, sio vyombo vya habari vya michezo, sio mitandao ya kijamii na wala sio wachambuzi au wachang'ombe feki hapa nchini. Hebu fikiria ndipo uone kuwa vyombo vya habari...
  8. Simba wamemchoka Chama hawana haja naye Yanga tumchukue

    Viongozi wengi hasa Mo Dewji amekataa kumlipa zaidi Chama. Na anasema amechoka na kelele za kuhusu Chama. Akina Magori wanaunga mkono. Aachwe. Mashabiki wengi wa Simba wamemchoka. Wamebaki wachache. Umri nao unaenda nadhani tumchukue Yanga. Miaka mingi tumemtaka Chama. Huu ndo wakati wetu sasa...
  9. Asanteni Simba SC kwa kumsikiliza Maoni yetu kwa Kuachana na Msaliti Inonga, sasa tunasubiria 'Thank You' ya Msaliti mwingine Chama

    Hawa Wachezaji Wasaliti Wawili wametuumiza pakubwa dhidi ya Washamba na Malofa fulani hivi wa Kariakoo 'Twiga Street' ndani ya hii miaka miwili mitatu. GENTAMYCINE ambaye ni Mstaafu Tukuka wa Michezo Michafu ya Ligi Kuu ya Tanzania baada ya kuwepo katika Shughuli hiyo miaka ya 2011 hadi 2013...
  10. Chama akienda Uto nipigwe ban la mwaka

    Kila mwaka Uto bin KABWILI wanamsajil mwamba wa lusaka Ccc chama aliyewanyanya uto miaka 4 mfululizo alimstaafisha beki kisiki ninja alimpa mateso makali juma Abdul na kaseke Metacha ndyo atak kabisa kusikia jina la chama alimchomfanya mpka leo jicho lake halioni vizur Chama na Simba ni...
  11. H

    Exclusive: Chama ameachwa na Simba SC

    Ni rasmi sasa mchezaji Clatous Chota Chama ameachwa rasmi na Simba SC na muda mfupi kuanzia sasa atasaini Young Africans kama mchezaji huru.
  12. L

    Ushauri wangu kwa viongozi wa Simba kuhusu Clatous Chota Chama

    Triple C bado ni mchezaji mzuri sana na kwa timu inayohitaji makombe ama kuwa na kiu ya mafanikio haiwezi kumtema mchezaji kama Chama. Maneno ya mashabiki kuwa Simba iachane na Chama akaangalie maisha mahali pengine ni maneno ya watu ambao wamejiunga kwenye tasnia ya soka miaka ya hivi karibuni...
  13. Kagame na Siasa za ubabe: Kupiga kura na kuchangia chama tawala si hiari, ni lazima!

    Paul Kagame Siku za nyuma, Katibu Mkuu wa chama tawala, RPF inkotanyi, bwana Wellars Gasamagera, alitamka wazi kuwa, RPF haiwezi kuachia madaraka kwa mtu mwingine au chama chochote. Ikumbukwe, chaguzi zote zilizopita, matokeo ya uchaguzi yalionyesha kiongozi wa chama hicho, ambaye mara zote ni...
  14. Simba wakimpa thank you CHAMA ndio nitaamini wako serious na Mabadiliko, tofauti na hapo YANGA BINGWA 2024/2025

    Hizi kelele za Thank You ni kama zimemponya Mangungu, vipi ndugu zangu tuwape muda au bado libeneke liko palepale? Ngoja kwanza nicheke kikatuni Teh teh teh teh teh teh teh! Huyu mchezaji huwa anadhihakiwa sana na mashabiki kwamba kachoka na anaichomesha timu kwenye mechi muhimu! Sasa...
  15. Luhaga Mpina usiondoke CCM, pambania huko huko ndani ya chama chako kuleta mabadiliko

    Luhaga Mpina umekuwa machachari sana kuiwajibisha serikali ya chama chako tofauti na wabunge wenzako wengine wote wa chama chako. Kama utaendelea na mwendo huo unaweza kuleta mabadiliko makubwa mno ukiwa ndani ya CCM kuliko nje yake. Wewe sasa hivi unachukuliwa kama nembo ya ujasiri ndani ya...
  16. CCM ndio chama

    Nama la mama raisi wetu kipenzi Raisi Samia Suluhu Hassan Nani Kama mama Wenye kumtungia uongo wajinyonge https://m.youtube.com/watch?v=OllZtjchN2U&pp=ygURSksgYWZ1bmdhIG1hZnVuem8%3D Somo la bure CCM ndie mama, CCM yajenga nchi CCM ndie baba, CCM yajenga nchi
  17. PreGE2025 Chama cha Mapinduzi na Michezo Nchini

    Ama kwa hakika CCM ni chama cha michezo nchini, hususani mpira wa miguu. na huu ni mwanzo tu, katika jitihada za makusudi kuhamasisha na kuimarisha michezo kuanzia vijijini. 🐒
  18. Wana CCM hawa wanakichafua chama

    Nimekuwa nafuatilia mikutano ya vyama mbali mbali vya kisiasa. Kuna siku nikakuta wana CCM wanafanya vikao vyao kwa njia ya aibu sana. Ktk hali ya ulevi na mambo ya hovyo kama mnavyotazama kwenye hiyo clip. Hivi wanatoa mafundisho gani kwenye kizazi kinachoyaona hayo mambo ya hovyo?
  19. M

    Kama Chadema wanahongwa ili kupanga safu za chama Je wakipewa nchi si watatuuza kabisa hawa?

    Makamu Mwenyekiti wa chama Tundu Lissu anasema Kuna watu ndani ya Chadema wamenunuliwa. Pesa zimemwagwa ili kupanga safu ndani ya chama ambayo ni nafuu kisiasa kwa wahongaji. Hili jambo limenifanya nifikirie sana kuhusu uwezo wa CHADEMA kuongoza nchi. Kama hiki chama kinanuliwa na watu ambao...
  20. SoC04 Mpango wa Utekelezaji wa Taifa (MUT) uwe mbadala wa matumizi ya Ilani ya Chama cha siasa kama Muongozo wa utekelezaji wa Shughuli za Maendeleo

    Kwa miongo kadhaa tangu tumepata uhuru maendeleo ya Taifa letu yamekuwa yakitegemea ilani ya chama kinachotawa na maono ya kiongozi aliyepo madarakani. Hata hivyo muda mwingine utekelezaji wa baadhi ya miradi ulikuwa ukitegemea huruma ya viongozi waliopo madarakani, hali iliyopelekea baadhi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…