Mabibi na Mabwana, SALAMU.
Mara baada ya salamu, Mimi ni kijana wenu wa umri wa miaka 23. Ni mwenyeji wa Njombe ila kwa sasa nipo masomoni dasalama.
Sitaki uongozi wa siasa kwa sasa ila nawiwa kujifunza siasa kwenye chama ambacho kina sera nzuri, mipango mikakati bora na uelekeo sahihi ambapo...