chakula

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye proposal ya namna ya kutengeneza bidhaa za tambi anitafute

    Tanzania ya viwanda inawezekana, mwenye proposal ya namna ya kutengeneza bidhaa za tambi, namna ya kutengeneza, Ratios, NA rasilimali zingine muhimu za kuzingatiwa wakati was kutengeneza bidhaa hii muhimu. Uweza nicheck via sadickjaphari2@gmail.com
  2. JamiiForums Tanzania My principle: huwa silali kwa watu, wala kula chakula kwa watu

    Hello guys, Nlivokuwa shule ya msingi na sekondari i was obsessed likizo ifike ili nikaishi kwa ndugu kwa miezi kadhaa, ila nlivofika 18 yrs and above nkaanza kuona dunia halisi jinsi ilivyo, so nlichukua maamuzi yafuatayo: Nina miaka kama 2 na nusu hivi nimekuwa nikiishi kwa kutumia hizi...
  3. JamiiForums Tanzania Chakula gani ukipika watu wengine wanaomba kuongeza chakula tena?

    . . .What are you Great at?!! Nini ukipika watu wengine wanaomba kuongeza chakula kama hawana akili nzuri? Au hawaachi kuomba uwaambie ulichoweka? Au hawaachi kutania kwamba lazima umeweka dawa au 'umepika bila nguo' lolz. . .ama wengine unashangaa wanaishia kupenda chakula ambacho hawakuwahi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…