chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA yaishitaki YANGA kwa barua kwenda FIFA

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewasilisha malalamiko rasmi kwa FIFA Ethics Committee dhidi ya Klabu ya Young Africans SC (Yanga). Malalamiko hayo yanahusu mchango wa TZS milioni 100 uliotolewa na Yanga kwa chama cha siasa (CCM) katika hafla ya Gala Dinner iliyofanyika Mlimani...
  2. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Freeman Mbowe amefutwa uanachama CHADEMA Agosti 17, 2025

  3. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli CHADEMA wanaamini kupitia kauli zao kuwa watu hawatashiriki uchaguzi basi chama hakina viongozi

    Viongozi wa chadema jueni kuwa hamna nafasi yakuzuia program za kikatiba zisifanyike narudia viongozi wa chadema hamna nafasi ya kuzuia uchaguzi, kuamini hayo ni kukosa akili ni kuwa na low scale of thinking, Ninamashaka makubwa sana na sifa na uwezo wa kupambanua Mambo wa viongozi wa chadema...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Nyimbo za MC Mwingira zitakuwa hazina ya CHADEMA

    Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema chama hicho kitamuenzi marehemu George Mwingira, maarufu kama MC Mwingira kwa kuzifanya nyimbo zake kuwa hazina ya chama hicho. MC Mwingira alifariki dunia katika ajali ya basi la SAMA Luxury lililokuwa likisafiri kutoka Songea kuelekea Dar es...
  5. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanin wapinzani dhaifu kiuchumi hususani Chadema masalia wanaumizwa sana na hali ya CCM kua na wanachama matajiri wa hoja, mali na fedha?

    Nini hasa sababu ya wapinzani kughadhabishwa mno na wanaCCM kukichangia chama chao mabilioni ya fedha ndani ya masaa kadhaa tu? My friends, ladies and gentleman, Chama cha siasa ambacho kimeshindwa na hakiwezi kujikomboa chenyewe kiuchumi kwa mikakati yake na hazina ya wanachama wake, kamwe...
  6. JamiiForums Tanzania Barua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenda FIFA

    15 Agosti 2025 Kamati ya Maadili ya FIFA Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) FIFA-Strasse 20 S.L.P. 8044 Zurich, Uswisi KUMBUKUMBU YA MALALAMIKO RASMI DHIDI YA KLABU YA YOUNG AFRICAN SPORTS CLUB KWA KUJIHUSISHA NA SIASA ZA VYAMA – TANZANIA Waheshimiwa Wajumbe wa Kamati ya Maadili ya FIFA...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Rosemary Kirigini ahamia ACT-Wazalendo Kutoka CHADEMA na CCM

    Mwanasiasa mwandamizi aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalumu CCM mkoa wa Simiyu, Mkuu wa Wilaya ya Meatu na pia Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Kanda ya Serengeti, Rosemary Kirigini amejiunga na chama cha ACT Wazalendo. Kirigini amejiunga na Chama hicho na kutangazwa mbele...
  8. JamiiForums Tanzania Mashahidi watakaofichwa ambao watatumiwa na Jamhuri ni wasaliti wa CHADEMA ya Lissu. Waliogopa mabadiliko sababu ya njaa zao

    Wengi wameshajulikana na wengi wao wameshahamia CHAUMMA. Tumeshapata tetesi ni wasaliti na ndio hao walirekodi hiyo clip na kuisambaza. Lakini swali la msingi tujiulize kama kukinukisha ilikuwa ni kutoshiriki uchaguzi na kuitisha maandamano ya amani yasiyo na kikomo? Mbona kama shujaa anateswa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Wafuasi wa CHADEMA waonyesha umoja na mshikamano msiba wa Kamanda George Mwingila. Japokuwa chama kipo kwenye kipindi kigumu

    Fikiria chama kinafungiwa kujihusisha na shughuli za kisiasa kisa tu kibaraka wa CCM ametumika kwenda mahamani.Kangaroo court. Mwenyekiti wa chama yupo jela kwa kesi ya maonevu ya kisiasa. Alafu kada aliyetunga wimbo kwa ajili ya chama anafariki kwa ajali akiwa safarini kwenda kuhudhuria kesi...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Nawashangaa CHADEMA wanamshabikia Askofu Gwajima leo, ina maana wanasahau mapema kiasi hiki?

    Mtu akiwa ni msaliti ujue huyo ni msaliti tu Yani usaliti upo damuni, usaliti ni sehemu yake ya maisha. Kwahiyo nyie wafuasi wa CHADEMA msidhani mkimshabikia Askofu Gwajima akija kwenu atakuwa mtu mwema hiyo msahau hiyo ni kujidanganya ndugu zangu. Nimeandika uzi huu kwasabu nimeona nyie...
  11. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Brenda Rupia amejiuzulu nafasi yake ya uongozi CHADEMA

  12. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Jambo TV wamechapisha taarifa inayosema 'Lema atumia jina la Lissu na CHADEMA kutafuta misaada Canada

  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wizi wa Kura haunogi bila CHADEMA kushiriki uchaguzi (Vikaragosi havina mvuto)

    Sasa kama CHADEMA hawashiriki uchaguzi hata wizi wa Kura haunogi na hao Vikaragosi pandikizi mapacha
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA yatoa tamko kuhusu sakata la Timu ya Yanga kuchangia Harambee ya CCM

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeitaka Klabu ya Yanga kujiepusha na Siasa na kurejesha Shilingi milioni 100 zinazodaiwa kuchangia kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia GSM Foundation. Kupitia taarifa iliyotolewa Agosti 15, 2025 na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Fikiria Mbowe angeendelea na Uenyekiti Chadema saa hizi Chopa ya Kampeni ingeshakodishwa huku Watanganyika wakishangilia kama Mazuzu vile!

    Binafsi naona kuliko kuendelea kudanganywa na akina Sugu kuwa Chadema ni Wapinzani halisi huku Wafuasi wao wakipotea na wengine Wakifa kwa kukipigania chama cha mchongo ni afadhali kabisa maamuzi ya Lisu na Heche kutoshiriki Uchaguzi Chopa zingekodiwa na Watu wangejeruhiwa hata kuuawa kwenye...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini CCM wanatamani CHADEMA ife?

    Tangu baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 kupita, harakati za kuisambaratisha CHADEMA zimekuwa nyingi. Ingawa sasa harakati hizo zimechukua mkondo mwingine na kuwa za kiwango cha juu, lakini ni jambo ambalo limeshazoeleka na kuwa sehemu ya siasa zetu Tanzania. Nakumbuka wakati fulani Mzee Steven...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Amani Golugwa: CHADEMA hatujanuniana na Mbowe, faragha yake iheshimiwe

    Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA – Tanzania Bara, Amani Golugwa, amefunguka kuhusu ukimya wa hivi karibuni kati ya chama na Mwenyekiti Mstaafu Freeman Mbowe, akisisitiza kuwa hakuna ugomvi wala kununiana.
  18. U

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika kabisa kama Uchaguzi Mkuu ungefanyika kwenye mitandao ya kijamii muda huu Chadema wangekuwa ikulu!

    Wapo busy na mitandaoni wakati kura hazipigwi wala kuhesabiwa huko!
  19. U

    JamiiForums Tanzania Chadema badala ya kuuza sera mshike Dola mmeamua kudandia, kujadili na kukosoa agenda za CCM!

    Mnacheza Ngoma ya Lumumba badala ya kuwazia kushuka Dola kwa sanduku la Kura. Niwape pole ila hamjachelewa sana
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya CHADEMA kusambaratika, Demokrasia imesitawi na kushamiri vizuri zaidi tanzania kuelekea Uchaguzi Mkuu wa October 29, 2025

    Uhuru kwa vyama vya siasa kufanya siasa za kistaarabu umeongezeka na mazingira bora zaidi ya kisheria kwa wananchi na wanasiasa kufanya shughuli za kisiasa kwa usawa, uhuru, uwazi na haki yameboreshwa na kua bora zaidi. Kuelekea uchaguzi mkuu wa October, vyama vya siasa nchini vinaenjoy kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…