chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Kuna nchi zilipigwa Nuclear Bombs na bado zilisimama, msikate tamaa!

    Hata wajaribu kubomoa vipi bado Tanzania itabakia na tutakuwa na muda wa kuijenga upya, mifano ipo mingi Duniani, kuna nchi zilipigwa mabomu na kuna majivu wakajipanga wakaokota tofali kwa tofali na kujenga upya leo hii ni nchi tajiri kila mtu anapenda kwenda kuishi huko. Hivyo hakuna kukata...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usikubali. CCM walikataa Katiba leo wanataka Katiba Mpya, walidhani Katiba ni ya CHADEMA tu

    Leo maji yamewafika shingoni wanakosa jinsi ya kukutoa madarakani wanaanza kujipitisha huku wakisema katiba mpya inahitajika, walidhani mfumo dume utadumu milele hawakujua mungu ndiye apangae. Sasa hivi wa CCM wanaumizwa na katiba kuliko wana Chadema.
  3. JamiiForums Tanzania Wana-CHADEMA mna chuki na Sabaya sababu alisimama kidete kumg'oa Mbowe Hai na kuifuta CHADEMA. Kwenye maisha lolote linaweza tokea msikariri

    Alichofanya ni kuwaambia watu wa Hai kuwa hawana Mbunge maana anashinda Dodoma akila bata. Watu wa hai wakampiga chini Mbowe. Sasa kuwa na kesi kama Armed robbery kwa aliyekuwa mkuu wa ulinzi na usalama wa wilaya mnaona kawaida? Tena kosa lenyewe analifanyia wilaya nyingine yenye mkuu wa...
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA ya sasa ni ya kizazi cha watu waoga sana

    Inawezekana mkanipinga kama ilivyokawaida yenu huwa hampendi kuambiwa ukweli. Chadema hii ni ya vijana waoga sana sana, wako Dkt. Slaa CHADEMA walikuwa wakitangaza maandamo yanakuwa maandamano kweli. Watu walikuwa wanasafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine kushiriki maandamano. Si kwamba...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA kujazana mahakamani ili kurekodi mwenendo wa kesi kwa lengo la kupotosha jamii na kutengeneza chuki dhidi ya mahakama siyo sawa

    Mbona mwandishi anarukaru. Hii hapa iko mwananchi ila hapa hamna Taarifa ya Uchunguzi: Shahidi: 13/8/2020 Maabara ya uchunguzi wa Kisayansi ikipokea barua na vielelezo simu nane pamoja na simu card zake kwa ajili ya uchunguzi kubaini Mawasiliano kupitia mitandao ya kijamii Kama vule Whatsapp...
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Salamu za pole kwa wafanyabiashara soko la Karume

  7. JamiiForums Tanzania Chama chetu kinaonekana hakipo makini, CHADEMA tuna matatizo gani kukosa mikakati mizuri ya kisiasa kama ACT-Wazalendo?

    ACT ndicho chama chenye viongozi wenye akili na uwezo wa kuchanganua mambo kama wanasiasa na wasomi. Mambo haya ndiyo yalifanya manguli kama Maalim Seif (RIP) wakajiunga huko maana walikielewa sana. MASHINJI utavikwa taji na Mungu kwa kuwaambia akina Seif wasije SACCOS watajuta...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni unaharakati mahakamani. Mmevuka mipaka. Ona Wakili Kibatala alivyonywea kuwatetea

    Kibatala: Mheshimiwa Jaji Naona tusifungue mambo mengine, itoshe tu kusema, hakuna wakili atavunja kanuni za Mahakama wala Kwenda Nje ya utaratibu wa mahakama au Taaluma yake, mengine ni mambo ya kibanadamu tu...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa miaka mitano kuanzia mwaka 2015 mali nyingi za Chadema yetu zimepotea. Tuunde tume kuchunguza zilipo mali zetu zikiwemo Ford Ranger za M4C

    Ofisi nyingi mikoani zimefungwa huku mali nyingi za chama zikiwa hazijulikani zilipo. Tuunde tume ili kujua mali za chama zilipo. Nyingi ya mali za chama zilipotea kuanzia mwaka 2015 baada ya uchaguzi mkuu. Sio kwamba watu hawaoni wanaona kabisa kuwa mali nyingi zimepotea hovyo hovyo.
  10. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Kesi imeahirishwa hadi 17, January 2022

    Kama kawaida kesi hii yenye kuvutia mamilioni ya watu duniani inaendelea tena leo 14/01/2022, kila siku inapotajwa yanaibuka mambo mapya yenye utata mkubwa, ya miamala umeyasikia, sasa hatujui leo kutaibuka jambo gani. Peter Kibatala na timu yake wapo tayari. ======= Kufahamu ilipoishia...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA tuwekeze kupata wanachama na viongozi wasomi. Hii itabadili mustakabali wetu na kuwa na watu makini

    Tumejaza kwenye chama wafuasi na wanachama wahuni wahuni ambao wanamatusi na hawana uwezo wa kujenga hoja. Tuwekeze kama ilivyokuwa Nccr mageuzi. Tuwe na wasomi na watu wenye vision kubwa. Maana wasomi ni watu wenye busara. Sio kama hawa wahuni na wapayukaji.
  12. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Dkt. Hussein Mwinyi atajwa kumtumia pesa Mtuhumiwa

    Hii kesi itavua Watu nguo saana, nakiri nilikua sahihi kusali usiku na mchana isifutwe. Muda huu kwenye cross examination, Mtobesya anamtaja Aliyewahi kuwa Waziri wa Ulinzi Ndugu Mwinyi kuwa alimtumia pesa Mtuhumiwa ndugu Bwire. Judge kaona isiwe tabu, kauliza kama wako tayari Waziri huyo...
  13. JamiiForums Tanzania Lema, kama hautaki Chenge awe Spika CHADEMA wenzako wanamtaka, acha kuwaburuza

    Wanaukumbi. Msigwa alipigwa mkwara na Lema “Futa” lilivyo anamuogopa Lema kuhofia kufukuzwa Chadema naye akafute post yake Lema, kila siku unapiga kelele kwenye kijiwe chenu cha Space unataka watu wawe huru kisha wewe huyo huyo unataka watu wafuate fikra zako. Bw. Andrew John Chenge aliyekuwa...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA tumegeuzwa mazoba wa kisiasa. Tumegeuzwa washabiki wa matukio ya WanaCCM. Sasa hivi tunashabikia uchaguzi wa spika wa CCM

    Kila sekeseke la WanaCCM sisi ni mashibiki. Alivyofukuzwa uspika Ndugai tukageuka kuwa mashabiki. Sasa tena sekeseke la uchaguzi wa Spika tumegeuka kuwa washabiki. Duh kweli huu ni uzoba wa kisiasa.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kutokana na support anayoipata, Andrew Chenge anaweza kuwa ni Spika ajae na hii itathibitisha CHADEMA walikuwa sahihi kumteua Lowassa kuwa mgombea wao

    Japo mini sio kiongozi ndani ya CHADEMA zaidi tu ya kuwa mshabiki wa hiki chama, ninaamini mwaka 2015 CHADEMA walimptisha Lowassa kuwa mgombea wao baada ya kusoma mood ya watanzania na kuwapa kile wanachokitaka. Ninahakika walikuwa sahihi katika maamuzi yao kwani kilichotokea katika kampeni na...
  16. JamiiForums Tanzania Habari ziwafikie wanachama wote popote walipo

    Hakuna maneno mengine huu ndio ukweli japo mchungu ila makamanda waoga sana ushahidi anao Lissu! ===== Sisi tulipokuwa katika siasa za uke wenza ambazo @ChademaTz inaziona ndio mtaji hatukuwa kama wao. Tulipigana kweli kweli, tulikufa kwa mamia. Hatukupiga kelele tu mitandaoni, tuliandamana...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nawaamini CHADEMA individuals kuliko kama taasisi

    Nikiwaangalia na kuwasikiliza wanachadema mmoja mmoja kama Peter Msigwa, God bless Lema, Sugu Lissu, na vijana wengi wa chama hiki hakika ni wazuri katika kujenga hoja ukitafuta wanaccm waje kushindana na chadema kwenye mdahalo CCM watapoteza asubuhi saana Lakini kwenye ubora wa taasisi CCM...
  18. JamiiForums Tanzania Pamoja na Wanachadema kufurahia anguko la Ndugai kujiuzulu Uspika, Ndugai hajapoteza kitu

    Pamoja na kukosa kiti cha uspika, bado atavuta mkwanja mrefu na atapata 80% ya mshahara aliokuwa anaupata mpaka kufa. Chadema walifurahi kama vile anaenda kuteseka. Kumbe sio hata kidogo. Pia ndani ya chama chao bado atakuwa na nafasi ya ujumbe wa Halmashauri kuu. Kwa hiyo hajapoteza kama...
  19. JamiiForums Tanzania Mbowe akifungwa CHADEMA inakufa?

    Mbowe yuko maabusu, Lissu na Lema wako uhamishoni. Je, huu ndio mwisho wa CHADEMA?
  20. B

    JamiiForums Tanzania Naziona dalili zote kwamba Mbowe na wenzake wanatoka Gerezani

    Awali tuliona nguvu kubwa inatumika kudhibiti Watu wasiingie mahakamani. Tukashuhudia Majaji wakitoa hukumu zilizo kinyume kabisa na mwenendo wa kesi na baada ya kutoa hukumu hizo wakapandishwa vyeo Switch za ukutani tukaambiwa zimeharibiwa kudhibiti umeme usipatikane Tukashuhudia ubunifu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…