chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Mbowe anastahili lawama asilimia 100 % Kwa kinachoendelea kwa demokrasia ya Tanzania na vyama pinzani

    Binafsi nilikua nawaangalia tu mlipoitwa kujadili maridhiano ambayo hamkuelezwa mmekosewa wapi. Mkajibeba mzobe mzobe na rais akaja na mziki wake mpya akawaomba muingie kucheza. Bila aibu mkausaliti umma wa watanzania uliokua nyuma yenu na kupiga kelele kwenye mitandao ya kijamii kuomba haki...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya: Polisi yawaachia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kwa dhamana, baadhi wakwama

    Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limethibitisha kuwashikilia na kuwahoji viongozi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wapatao 520 na kuwaachia huru baadhi yao kwa dhamana. Pia limesema ambao hawakuachiwa ni wale walioshindwa kukidhi masharti ya dhamana au kuwa na makosa zaidi...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya: Vijana wa CHADEMA waliokuwa wanashikiliwa waanza kuachiwa bila masharti yoyote

    Habari njema kutoka Mbeya Vijana wa CHADEMA waliokuwa kituo cha Polisi Utengule Mbalizi wameachiwa usiku huu bila masharti yoyote. Updates Catherine Ruge: Wameachiwa wote isipokuwa wanawake 19 bado wako mahabusu. HOW? Pia soma John Mrema: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA waliokamatwa hadi...
  4. JamiiForums Tanzania Vita ya U-IGP yaweza kuwa imechangia kukamatwa viongozi wa CHADEMA?

    Barua iliyopostiwa mtandaoni juzi na admin wa Police Tanzania kwenye mtandao wa X inaonyesha kusainiwa na Kamoshna Awadhi Juma Haji tofauti na barua nyingine zinazotolewa na Msemaji rasmi wa Polisi David Misime. Nini kimesababisha Mtu anayehisiwa kuyataka madaraka ya IGP atoe statement badala...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA imedhoofika na kunyong'onyea mno kisiasa nchini haina maono tena

    Ni dhahiri haina washauri kabisa, haina malengo, mipango, dira wala uelekeo wa kueleweka. Unaweza kusema imebumba. Hebu check, hakuna wanachama, mashabiki au wakereketwa, wanaojali, wanaostuka wala kutaka kujua kwamba viongozi wao wote waandamizi wa chama chao wametiwa nguvuni na nini...
  6. JamiiForums Tanzania Mbowe hebu tupe jibu, lini ulifanya maandamano ya CHADEMA Moshi mjini?

    Mzee Freeman Mbowe salaam! Nataka unipe mrejesho tu, ni lininuliitisha maandamano ya kitaifa ya CHADEMA Moshi mjini? Pia soma: Kilimanjaro: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Freeman Mbowe
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi aiagiza Serikali kuwaachia Viongozi wa CHADEMA

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amemwagiza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo kuzungumza na waziri wake, Hamad Masauni, ili kuona namna ya kuwaachia viongozi wa Chadema waliokamatwa mkoani Mbeya, akiwamo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe. Dk...
  8. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, jeshi la Polisi litatekeleza maelekezo ya Dkt. Nchimbi ya kuwaachia viongozi wa CHADEMA? Haiwezekani akawa yeye pia ana mamlaka ya kusema kamata?

    Kama Karibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi anaweza akaelekeza waliokamatwa waachiwe na Vyombo vikatii, upo uwezekano huyu ndiye aliyeagiza wakamatwe. Tukumbuke Juzi alimtaka Lissu ajiunge CCM then Lissu akamjibu shit, yawezekana kabisa mzee Nchimbi alichukia akaamua kutoa maelekezo kuonyesha...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM wanaandikisha wapiga kura wao je CHADEMA vipi?

    Hili ni jambo kubwa kama chama cha siasa hatua ya kwanza ni kuandaa daftari Yao ya wanachama vizuri. Leo nimeona wamefika shule sasa na kuanza kuandikisha wanafunzi kuingizwa kwenye daftari ya chama na kufanya maandalizi ya kuwapa kadi Yao ya electroniki. Sasa CHADEMA wanafanya nini kama chama...
  10. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA wamenywea, nimewaona Wamejaa kwenye coster wanarejea makwao Arusha wakipeperusha bendera kwenye hayo magari. Kweli shingo haipiti kichwa

    Yameonekana magari kadhaa aina ya coaster yakiwa yanapeperusha bendera za chadema yakielekea Arusha. Msemo wa wahenga Shingo haipiti kichwa umetimia. Wajifunze kutii Sheria bila shuruti. Amani yetu Tanzania ni tunu tuliyobarikiwa tuilinde kwa kuwakabili vilivyo wanaotaka kuichafua.
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi: Hatujazuia mikutano ya ndani wala ya hadhara, tumezuia mkusanyiko wa Viongozi wa CHADEMA

    Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa, halijapiga marufuku kufanya mikutano ya nje ya hadhara na ile ya ndani ili mradi inafuata matakwa ya sheria za nchi. Pia soma: Uzi Maalum wa Matukio ya Kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Kilicho pigwa marufuku ni mkusanyiko uliokuwa umeitishwa...
  12. JamiiForums Tanzania Je, maridhiano ya Mbowe na Ikulu ndo yanaitesa CHADEMA na upinzani kwa ujumla?

    Maridhiano ya Mbowe na Ikulu yana jambo ambalo wengi ulibeza Ila yamesaidia sana CCM kutawala kwa ujanja tena bila kufuata sheria na taratibu kadhaa Kama Katiba inavyotamka! Na kuna swali “Je kutolewa mbowe Gerezani wakati ushindi wa Kesi ulikuwa unaelekea kuwa kwa upande wake waka m time...
  13. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Kamatakamata ya Wanasiasa inapingana na 4R za Rais Samia

    Soma Pia: Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege Songwe
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA waliokamatwa hadi sasa ni 427

    https://www.youtube.com/live/Lw1Orezvek4 Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), John Mrema amedai kuwa mchakato wa kuwakamata Wanachana na Viongozi wa Chama hicho unaendelea. Akizungumza na JamiiForums amesema “Hadi kufikia leo Asubuhi...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege Songwe

    Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Mhe. John Pambalu wamekamatwa na Polisi muda huu uwanja wa ndege Songwe wakijiandaa kuelekea Mbeya, Ukamataji huu umeongozwa na RPC wa Mbeya. ======================== Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya...
  16. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la polisi watanda Ruanda Nzovwe kudhibiti maadhimishi ya Bavicha

    Askari wa Jeshi la Polisi wametanda katika Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya kulipopangwa kufanyika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani yaliyokuwa yameandaliwa na Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha). Maadhimisho hayo yalikuwa yafanyike leo Jumatatu, Agosti 12, 2024, lakini Jeshi la...
  17. J

    JamiiForums Tanzania THRDC yalaani madai kukamatwa viongozi Chadema ,waandishi wa habari

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), umeungana na wadau wengine kulaani madai ya kukamatwa kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na wanahabari wakielekea katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani jijini Mbeya. THRDC imetoa tamko hilo leo Jumatatu, Agosti...
  18. JamiiForums Tanzania Taifa lolote makini lazima liwe mikononi mwa vijana.Vijana makini watalinda mali za umma.

    Iwe kwenye tamaduni na mila zetu. Vijana ni nguzo muhimu sana. Vijana hutumika kuzalisha, na hata kuvuna na kulinda mazao. Soma Pia: Tundu Lissu, John Mnyika na Joseph Mbilinyi Wawasili Mbeya kwa ajili ya Kongamano la Bavicha, Wapuuza Amri ya Polisi Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa...
  19. N

    JamiiForums Tanzania THRDC: Kukamatwa kwa viongozi, wafuasi wa Chadema kuna lenga kuwazuia kufanya shughuli ya maadhimisho ya vijana duniani

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Nchini Tanzania(THRDC) umelaani vitendo vya kukamatwa kwa baadhi ya viongozi wa CHADEMA, akiwemo Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho bara, Tundu Lissu, Katibu Mkuu John Myika,Mwenyekiti wa CHADEMA, Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi, Wakili Deogratias Mahinyila...
  20. JamiiForums Tanzania Wito kwa ACT-Wazalendo na vyama vingine vya siasa pingeni manyanyaso wanayofanyiwa CHADEMA

    Nimeitaja ACT-WAZALENDO kama chama ambacho kidogo kina muonekano kwa jamii leo hii japo siyo kikubwa kuliko CHADEMA. Kinachoendelea kati ya jeshi la polisi na CHADEMA si uhai kwa vyama vya siasa hasa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu kuna kila dalili polisi watatumika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…