chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Mch Msigwa asema matumaini yapo CHADEMA akihutubia mkutano wa CCM

    Hata hivyo haijajulikana mara moja kama alimaanisha au alitaka kusema Tumaini lipo ndani ya CCM. bado hakuweza kupataikana kutoa ufafanuzi juu ya kauli yake hiyo Alikuwa akiongea katika mkutano mmoja mkoani Kagera. Hotuba yake nzima unaweza kuitazama katika link hapa chini...
  2. JamiiForums Tanzania Intelijensia ya CHADEMA ilishindwaje kubaini mipango ya Msigwa kabla hajatoka?

    Ni dhahiri, Msigwa alipojiunga CHADEMA, kama ilivyo kwa wengi waliokuja kukengeuka baadaye na kuamua kuwa mapandikizi, alikuwa ni mwanachama halisi aliyekuwa ameamua kuwa CHADEMA. Lakini wakati wa uongozi wa Magufuli, bila shaka, kwa hulka yake ya tamaa ya cheo, alishindwa kuhimili kuishi bila...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ubalozi wa Marekani watoa tamko baada ya Viongozi wa CHADEMA na waandishi kuachiwa. Je, ndio walioshinikiza kuachiwa?

    Tumepokea vyema taarifa za kuachiliwa kwa viongozi wa vyama vya siasa, vijana, waandishi wa habari, na mawakili waliokamatwa walipokuwa wakitaka kutekeleza haki yao ya kikatiba ya uhuru wa kukusanyika kwa amani. Pia soma: Mbeya: Polisi yawaachia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kwa dhamana...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA, mtalia mpaka lini?

    Ndugu zangu wa CHADEMA na Watanzania wote, kumekuwa na hujuma mbalimbali ambazo zimekuwa zikifanywa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Hujuma hizo ni pamoja na uchaguzi na kuwakandamiza wapinzani. Haya yote yamekuwa yakifanyika miaka yote. Mara zote wapinzani wamekuwa wakiishia kuitisha...
  5. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kilichowaponza CHADEMA ni kauli na hamasa ya vurugu

    Kilichowaponza CHADEMA ni kauli na hamasa ya vurugu Na Mwandishi Wetu MWAKA 1994 hauwezi kufutika katika historia ya dunia baada ya watu zaidi ya 800,000 kupoteza maisha kwa mauaji ya wenyewe kwa wenyewe nchini Rwanda. Wengine zaidi ya 2,000,000 walikimbia nchi na kwenda maeneo mbalimbali...
  6. JamiiForums Tanzania Kama Kijana nimeamua rasmi kuikumbatia CHADEMA

    Nimuda sasa umepita na niwakati wa kuamua na kuifata ndoto yangu ya kuikomboa tanzania kutoka kwenye matatizo zungu nzima Sasa nimeamua rasmi nitatafuta kadi ya CHADEMA na kuanza kupaza sauti si kwa matusi ila kwa kuonesha kwamba we need development Hii ji baada ya kukwazika kwa vijana wengi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Chadema hawawezi kuwa kama Gen Z kwa sababu hawana Mtandao wa Falsafa za Teknolojia, bado wanakusanyika kama enzi za Yesu

    Ni kweli Kabisa Chadema wanaweza kuleta vurugu na uvunjifu wa Amani lakini tusiwape kichwa kwamba wanaweza kufanya kama Gen Z Fikiria Chadema wanasafiri kwa Mabasi na Malori kwenda mkutanoni Mbeya lakini Gen Z wanakutana bila kuonana USO kwa Mwili Chadema wanatangaza kila watakachofanya kabla...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kila kinachotokea kwa CHADEMA kinapaisha umaarufu wa chama hiki, tusonge mbele

    Hiki chama kimebarikiwa sana na ni suala la muda tu kitaingia madarakani. Haitakuwa rahisi ila itatokea. Baba wa Taifa aliwahi kuitabiria CHADEMA makubwa, na hili jambo linaitesa CCM sana. CHADEMA tuendeleze mapambano ya ukombozi wa Mtanzania, haitakuwa rahisi ila tutashinda mwisho wa siku.
  9. JamiiForums Tanzania Tutarajie Mkeka wa Baraza, Wakurugenzi, Ma DC Lengo Kuzima Mjadala CHADEMA

    Wanajamvi, Moja kwa moja kwenye maudhui. Kamatakamata ya Viongozi wakuu na makada wa CHADEMA, imemletea mfadhaiko mkubwa mkuu wa nchi, kutokana na Matokeo yake watu walivyopokea Tanzania hasa Vyombo vya Habari, Mitandao ya Kijamii na Jumuiya ya Kimataifa. Kwa sasa habari ya CHADEMA ndiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Oscar Oscar: Kwanini Polisi hawajawahi kukamata viongozi wa CCM? Je, hawakosei?

    Jumapili hii taarifa za kukamatwa kwa viongozi wa CHADEMA akiwepo Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, Makamu mwenyekiti Tundu Lissu na viongozi wengine zilitangazwa kupitia vyombo mbalimbali vya habari.Taarifa rasmi ya msemaji wa CHADEMA ilieleza pia. Hii Siyo Mara ya kwanza, kwa viongozi Hawa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akimuita Mbowe na uongozi wake kufanya mazungumzo ya masaibu yaliyowapata utamshauri vipi Mbowe?

    Swali ili limetokana na lawama ambazo watu wamekuwa wakizitoa kwa Freeman Mbowe kuwa kwanini alikwenda kwenye maridhiano na kwanini alipotoka jela alikubali kwenda Ikulu kwa Rais Samia. Kila mmoja ametoa mawazo yake na walio wengi bila sababu (reason). Sasa kwa hili la kuwaweka jela/mahabusu...
  12. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi limeichafua taswira ya Tanzania kwa kuzuia kongamano la CHADEMA na kuwakamata viongozi wake wakuu

    Jana taswira ya Tanzania imechafuliwa na Jeshi la polisi kwa kuzuia kongamano la CHADEMA na kuwakamata viongozi wake wakuu wote. Kongamano kama hilo la vijana wa CHADEMA limeshafanywa na vyama vingine kama CCM na ACT Wazalendo bila shida. Jana vyombo vyote vikubwa vya kimataifa vimeripoti...
  13. JamiiForums Tanzania Challenge: Tuache kuijadili CHADEMA, tujadili vyama vingine

    Kwa kuwa tangu kukamatwa Kwa viongozi wa CHADEMA na baadhi ya wanachama wake imeonekana kuwa CHADEMA imekuwa dhaifu. Natoa " challenge" hii Kwa watanzania wenzangu. Kama tunaweza kukaa wiki nzima, badala ya kukijadili chama ambacho baadhi yetu wanasema kimekosa maono, basi tujadili vyama...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi yatoa taarifa ya kukamatwa kwa viongozi na wafuasi wa CHADEMA, wawataka kufuata sheria

    TAARIFA KWA UMMA 12 Agosti, 2024 Jeshi la Polisi linapenda kutoa taarifa kwa umma kufuatia katazo na kupiga marufuku kongamano la vijana wa CHADEMA lililokuwa limepangwa kufanyika katika uwanja wa Ruanda Nzovwe Jijini Mbeya siku ya jumatatu Agosti 12, 2024 kwa mwamvuli wa kuadhimisha siku ya...
  15. JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi kutumia mikutano Chadema kukamata jinai ni kuwatisha wananchi kujiunga na Chadema.

    Jeshi la polisi limesema baadhi ya wanachama wa Chadema wanashikiliwa kwa makosa ya jinai! Watanzania tujiulize hivi wizi, mauaji na ukabaji ni vitendo vinavyofanywa na wanachama wa Chadema tu? Ni wazi mtindo huu umeanzishwa na jeshi hilo kuwatisha wananchi wasijiunge na Chadema kwa kuhofia...
  16. JamiiForums Tanzania Mbowe anastahili lawama asilimia 100 % Kwa kinachoendelea kwa demokrasia ya Tanzania na vyama pinzani

    Binafsi nilikua nawaangalia tu mlipoitwa kujadili maridhiano ambayo hamkuelezwa mmekosewa wapi. Mkajibeba mzobe mzobe na rais akaja na mziki wake mpya akawaomba muingie kucheza. Bila aibu mkausaliti umma wa watanzania uliokua nyuma yenu na kupiga kelele kwenye mitandao ya kijamii kuomba haki...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya: Polisi yawaachia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kwa dhamana, baadhi wakwama

    Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limethibitisha kuwashikilia na kuwahoji viongozi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wapatao 520 na kuwaachia huru baadhi yao kwa dhamana. Pia limesema ambao hawakuachiwa ni wale walioshindwa kukidhi masharti ya dhamana au kuwa na makosa zaidi...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya: Vijana wa CHADEMA waliokuwa wanashikiliwa waanza kuachiwa bila masharti yoyote

    Habari njema kutoka Mbeya Vijana wa CHADEMA waliokuwa kituo cha Polisi Utengule Mbalizi wameachiwa usiku huu bila masharti yoyote. Updates Catherine Ruge: Wameachiwa wote isipokuwa wanawake 19 bado wako mahabusu. HOW? Pia soma John Mrema: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA waliokamatwa hadi...
  19. JamiiForums Tanzania Vita ya U-IGP yaweza kuwa imechangia kukamatwa viongozi wa CHADEMA?

    Barua iliyopostiwa mtandaoni juzi na admin wa Police Tanzania kwenye mtandao wa X inaonyesha kusainiwa na Kamoshna Awadhi Juma Haji tofauti na barua nyingine zinazotolewa na Msemaji rasmi wa Polisi David Misime. Nini kimesababisha Mtu anayehisiwa kuyataka madaraka ya IGP atoe statement badala...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA imedhoofika na kunyong'onyea mno kisiasa nchini haina maono tena

    Ni dhahiri haina washauri kabisa, haina malengo, mipango, dira wala uelekeo wa kueleweka. Unaweza kusema imebumba. Hebu check, hakuna wanachama, mashabiki au wakereketwa, wanaojali, wanaostuka wala kutaka kujua kwamba viongozi wao wote waandamizi wa chama chao wametiwa nguvuni na nini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…