chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigoma: CHADEMA na ACT Wazalendo waungana kusimamisha wagombea katika vijiji viwili kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa!

    Vyama vya siasa Chadema na ACT Wazalendo vimeungana katika Kata ya Bukuba, Jimbo la Buhigwe mkoani Kigoma, kwa kugawana nafasi za uongozi kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo Taifa, Abdul...
  2. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Patrick Ole Sosopi: CCM Wanalazimisha kuongoza

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mkoani Iringa kimewataka Wananchi kuchagua viongozi wa serikali za Mitaa wenye uwezo watakaofanya shughuli za kijamii bila itikadi cha siasa. Hayo yamezungumzwa na mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa, Patrick Ole Sosopi katika Muendelezo wa kampeni za...
  3. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mjumbe Kamati Kuu CCM Arusha: CHADEMA wana sumu mimi nina maziwa

    Wakuu, Katika harakati za ufunguzi wa Kampeni Serikali za Mtaa jijini Arusha mapema leo Mjumbe wa Kamati kuu na Mlezi wa Mkoa wa Arusha Rajabu Abrahman Abdallah wa chama cha Mapinduzi CCM akiwa katika viwanja vya kilombero. Kupata taarifa na matukio yote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 Katibu wa CHADEMA Rukwa: CCM walipita bila kupingwa 2019 kama Viti maalum

    Katibu wa Chadema Jimbo la Rukwa amewataka wananchi kuichagua Chadema kwa ajili ya maendeleo ya taifa kwani ndio chama kinachojali wananchi. Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika...
  5. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa CHADEMA Katavi: Ninawaomba muwe na hasira mlinde kura zenu na polisi wakija msitishike na mabomu!

    Wakuu, Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi, Rhoda Kunchela, amewataka wananchi wa mtaa wa Kampuni, kata ya Misunkumilo, Mpanda Mjini, kujitokeza kwa wingi na kufanya maamuzi sahihi katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024. Soma pia: Mwenyekiti CHADEMA Katavi...
  6. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti CHADEMA Dodoma: Maeneo ambayo yalitawaliwa na CHADEMA yalikuwa na mafanikio zaidi kuliko yalipotawaliwa na CCM

    Katika kuendelea na kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Dodoma Aisha Madoga amewanadi wagombea wa chama hicho katika jimbo la Kibakwe ambapo pamoja na mambo mengine amesisitiza wananchi kuchagua viongozi wa CHADEMA kwani sio dhaifu na hivyo kutoa wito...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Lindi: CHADEMA yazungumza kukamatwa kwa Steven Membe

    Wakuu, Taarifa za kukamatwa na kisha kushikiliwa kwa Steven Membe ambaye pia ni mtia nia wa kuwania Ubunge wa jimbo la Mtama, Lindi kupitia CHADEMA katika uchaguzi mkuu ujao (2025) zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii hatua ambayo iliibua maswali na sintofahamu huku kukiwa na hisia...
  8. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbeya: Mgombea wa CHADEMA aahidi kutatua changamoto ya barabara eneo la Mashujaa. Atupa dongo hili kwa viongozi wa sasa!

    Wanabodi, Hivi CCM wanaposema wameleta maendeleo huwa wanaamanisha nini? Huyu mgombea wa CHADEMA kaonesha kabisa kuwa kuna ubovu mkubwawa barabara huko eneo la Mashujaa mjini Mbeya. Hawa CCM wanaposema wanaleta maendeleo ni maendeleo gani huwa wanasema wameleta...
  9. JamiiForums Tanzania LGE2024 Freeman Mbowe: Tuliwasusia mwaka 2019, kosa hilo haturudii tena. Safari hii tutabanana mpaka tone la mwisho la damu

    Wakuu, Akiwa kwenye kampeni siku ya leo Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema CHADEMA haitosusia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu kama ilivyosusa mwaka 2019 na kusema pamoja na changamoto za kuenguliwa kwa Wagombea wao bado wataendelea kushiriki Uchaguzi huo. 'Tuliwasusia...
  10. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbeya: Picha Katibu Mwenezi CHADEMA wa Kata ya Iganjo akiwaombe kura wagombea kwa namna yake

    Ukitazama hii picha kiongozi huyu ameonyesha hisia na hamasa kubwa katika kuhakikisha anatimiza majukumu yake bila kujali hali aliyokuwa nayo. Nyie! kuna watu wanavipenda vyama vyao katika kila mazingira. ============== Katibu Mwenezi wa Kata ya Iganjo, mkoani Mbeya, Muhamed Mwanitwe akiwanadi...
  11. J

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA na TLP zaungana na kukubaliana kuunda serikali ya Mseto, TLP itatoa Mwenyekiti na Chadema itatoa wale Wajumbe 5

    Wagombea wa CHADEMA na TLP Mtaa wa Tandale Kwa Tumbo wamekubaliana kuunganisha Nguvu ambapo Mwenyekiti kutoka TLP apewe Kura na Wajumbe Wote kutoka Chadema wapewe kura kisha wataunda serikali ya Mseto Mgombea Uenyekiti ni mh Ruben Peter ( TLP) Ushirikiano huu umeungwa mkono na Wafuasi wa vyama...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini tangu kuanzishwa kwake, CHADEMA haitaki kabisaa kuwa na kiongozi mwandamizi mwanamke kamati kuu?

    Ni mfume dume au wanawake hawaaminiki nyani ya vyama vya siasa? au muundo wake ni kwamba mwanamke marufuku kamati kuu Taifa? Mungu Inusuru CHADEMA na mpasuko 🐒 Mungu Ibarki Tanzania
  13. JamiiForums Tanzania LGE2024 Freeman Mbowe akinukisha Uyole Mbeya Serikali za Mitaa. Kumbe CHADEMA ina Watu

    Mkutano wa kwanza leo Novemba 24, 2024 kwa mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mbowe uliofanyika asubuhi leo Uyole, Mbeya. Mwenyekiti ameambatana na mwenyeji wake mwenyekiti wa Kanda Mhe. Sugu, pamoja na viongozi wengine.
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 Wazo lenye mantiki: Watanzania tuichague CHADEMA Serikali za Mitaa ili tuisimamie Serikali

    Kwa ngazi ya viongozi wa serikali za mitaa ndio msingi wa kuja kupata wabunge ambao wataisimamia vyema serikali. Tukiwa na bunge imara lenye meno tutaweza kuisimamia serikali. Njia pekee ni kuichagua CHADEMA na si wapinzani wengine. Viongozi wa serikali za mitaa watatengeneza njia ya kupata...
  15. JamiiForums Tanzania LGE2024 Suphian: Tundu Lissu na CHADEMA yao wanaiogopa Ikungi

    Video: Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM Suphian Nkuwi akiwanadi wagombea wa serikali za mitaa kupitia CCM Kitongoji cha Ikungi, Novemba 23, 2024. Suphian Nkuwi amesema CHADEMA imebarikiwa maneno matupu lakini CCM imebarikia Maji, umeme, barabara, afya, elimu bora. Soma Pia: Singida: Wagombea...
  16. JamiiForums Tanzania Chadema wasitumie chenja za jeshi kwenye kampeni.

    Jana nilikwenda kumsalimia ndugu yangu Kibamba nikasikia kwenye gari la kampeni za uchaguzi serikali za mitaa gari lilikuwa la chadema. Kuna baadhi ya chenja wametohoa na wanazipiga katika gari lao la mikutano. Nilisikitika maana naona ni kama kutaka kuleta mambo ya siasa kwenye majeshi yetu...
  17. JamiiForums Tanzania LGE2024 Polisi wamkamata na kumuweka Lock up Steven Membe, Mwanachama wa CHADEMA, nyumbani kwao Rondo

    Wakuu Yericko Nyerere ameandika; Jeshi la Polisi limemkamata Kamanda wetu Mwanachama wa Chadema Mhe. Steven Kamilius Membe nyumbani kwao Rondo na kumuweka Lock up ya Kituo kikubwa cha Polisi Lindi Mjini. Bado hakuna uwazi wa makosa wanayomshikilia nayo. Tunaendelea kufuatilia kwa ukaribu...
  18. JamiiForums Tanzania LGE2024 Fanuel Siyame aapa kuing’oa CCM Momba, CHADEMA kushinda kwa kishindo

    Mtia nia wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Momba kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Fanuel Siyame akiwa katika ziara ya kuwanadi wagombea wa Vijiji na Vitongoji wa chama hicho katika mikutano ya Kampeni, ameeleza namna Chama cha Mapinduzi kilivyoshindwa kutekeleza Ilani yake jimboni...
  19. C

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Watu wanaipenda CHADEMA, na CCM inalazimisha watu waipende

    Kwa jinsi kampeni zinavyoendelea nimejifunza kitu,Chadema ni chama kinachopendwa na wa Tanzania kutoka ndani ya Mioyo yao, haijalishi wanapitia kipindi kigumu kiasi gani, lakini watu bado wanakipenda hiki chama kutoka ndani ya mioyo yao. Tofauti na CCM inalazimisha watu waipende kwa kutumia...
  20. JamiiForums Tanzania CCM na CHADEMA wanatufanyia maigizo

    Hali dhofri waliyonayo Chadema ambayo hata CCM asipofanya kampeni atashinda kwa kishindo kuna ka-drama kanafanyika ili kuonyesha upinzani uko active kwa watazamaji. Jamani waacheni hao Chadema mnawapa hadhi wasiyokuwa nayo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…