LGE2024 Wazo lenye mantiki: Watanzania tuichague CHADEMA Serikali za Mitaa ili tuisimamie Serikali

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,382
6,947
Kwa ngazi ya viongozi wa serikali za mitaa ndio msingi wa kuja kupata wabunge ambao wataisimamia vyema serikali.

Tukiwa na bunge imara lenye meno tutaweza kuisimamia serikali.

Njia pekee ni kuichagua CHADEMA na si wapinzani wengine.

Viongozi wa serikali za mitaa watatengeneza njia ya kupata wabunge imara.

Nawakilisha.
 
Kwa mikakati ambayo tayari imeandaliwa na 'mboga mboga' itakuwa kazi pevu..
 
Kwa ngazi ya viongozi wa serikali za mitaa ndio msingi wa kuja kupata wabunge ambao wataisimamia vyema serikali.

Tukiwa na bunge imara lenye meno tutaweza kuisimamia serikali.

Njia pekee ni kuichagua CHADEMA na si wapinzani wengine.

Viongozi wa serikali za mitaa watatengeneza njia ya kupata wabunge imara.

Nawakilisha.
Wazo zuri,karibu kwa kuutambua ukweli mwanzo nakumbuka ulikuwa kundi kama la akina Lucas,choicevariable na rafiki zao wa nyakati hizi.
 
Kwa ngazi ya viongozi wa serikali za mitaa ndio msingi wa kuja kupata wabunge ambao wataisimamia vyema serikali.

Tukiwa na bunge imara lenye meno tutaweza kuisimamia serikali.

Njia pekee ni kuichagua CHADEMA na si wapinzani wengine.

Viongozi wa serikali za mitaa watatengeneza njia ya kupata wabunge imara.

Nawakilisha.
CHADEMA hii ninayoijua au tusubiri nyingine? Wazee wa sumu hailambwi! Wazee wa bapa!
 
Kwa ngazi ya viongozi wa serikali za mitaa ndio msingi wa kuja kupata wabunge ambao wataisimamia vyema serikali.
ni kweli
Tukiwa na bunge imara lenye meno tutaweza kuisimamia serikali.
ni kweli
Njia pekee ni kuichagua CHADEMA na si wapinzani wengine.
why hicho tuu?
Viongozi wa serikali za mitaa watatengeneza njia ya kupata wabunge imara.
ni kweli
Nawakilisha.
asante kwa wasilisho,its very unfortunately kwa Tanzania,chama kwa maana halisi ya chama cha siasa, tuna chama kimoja tuu,the one and only。
ndicho kinachokwenda kushinda kushinda kila kata,kitongoji na kijiji
p
 
Kwa ngazi ya viongozi wa serikali za mitaa ndio msingi wa kuja kupata wabunge ambao wataisimamia vyema serikali.

Tukiwa na bunge imara lenye meno tutaweza kuisimamia serikali.

Njia pekee ni kuichagua CHADEMA na si wapinzani wengine.

Viongozi wa serikali za mitaa watatengeneza njia ya kupata wabunge imara.

Nawakilisha.
Watanzaniza wako mtaani kawahamasihe hasa ndugu zako kule bushi, ukisha wabadilisha wale kazi kwisha.
 
Kwa ngazi ya viongozi wa serikali za mitaa ndio msingi wa kuja kupata wabunge ambao wataisimamia vyema serikali.

Tukiwa na bunge imara lenye meno tutaweza kuisimamia serikali.

Njia pekee ni kuichagua CHADEMA na si wapinzani wengine.

Viongozi wa serikali za mitaa watatengeneza njia ya kupata wabunge imara.

Nawakilisha.
Vizuri sana ila ushenzi ulishafanyika wa KUENGUANA.
 
Kwa ngazi ya viongozi wa serikali za mitaa ndio msingi wa kuja kupata wabunge ambao wataisimamia vyema serikali.

Tukiwa na bunge imara lenye meno tutaweza kuisimamia serikali.

Njia pekee ni kuichagua CHADEMA na si wapinzani wengine.

Viongozi wa serikali za mitaa watatengeneza njia ya kupata wabunge imara.

Nawakilisha.
Ni Wewe kweli au nimesoma Vibaya?? Kweli sio kila homa ni malaria..... nyakati zimebadilika. Asante mnooooo
 
Kwahy ndo mnadanganyana serikali za mitaa ndo wanaosimamia serikali 😂

Serikali yenyewe haisimamii serikali ndo mana unaweza kusikia kauli ya serikali inapingwa na serikali.
 
Kwa ngazi ya viongozi wa serikali za mitaa ndio msingi wa kuja kupata wabunge ambao wataisimamia vyema serikali.

Tukiwa na bunge imara lenye meno tutaweza kuisimamia serikali.

Njia pekee ni kuichagua CHADEMA na si wapinzani wengine.

Viongozi wa serikali za mitaa watatengeneza njia ya kupata wabunge imara.

Nawakilisha.
Naunga mkono hoja
 
Kwa CHADEMA hii sijaona km inaweza kufurukuta mbele ya CCM. Ingekuwa ile ya kipindi cha Dr Slaa ningeipa consideration ila siyo hii ya sasa

Bado hawajajipanga kuongoza nchi, ajenda zao ni nyepesi mno na muda mwingi kampeni zao ni za kutoa shutuma na kulialia kutafuta huruma ya wananchi. Ni rahisi sana kutolewa kwenye reli na kusahau kabisa agenda zao. Hawapo organized kabisa

Leo hii ikatokea mtu wao katekwa kwa makusudi ya kuwavuruga, wanachama wote nchi nzima wataenda na hilo beat. Yaani mm nataka mniambie nikiwachagua mtanifanyia nini mnaanza kunihubilia habari za kutekwa?

Baki kwny mstari nikuchague kwa sera zako sio kwa kukihurumia chama chako! Jifunzeni kwa walioendelea, Trump alikula shaba ya sikio lakini haikumfanya apoteze focus yake na kutwa nzima awe anawaelezea raia wake jinsi alivyonusurika kuuawa
 
Upo vizuri kabisa
 
Mh!
 
Naunga mkono, wananchi wachague CHADEMA. Ila nina ushauri uchaguzi ujao wa Serikali za mitaa. Chadema na viongozi wote kuanzia Mwenyekiti, wawekeze nguvu kuanzia huku, mtaa kwa mtaa. Wasisubiri ubunge na Uraisi.
 
Back
Top Bottom