chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe arudisha fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Wakuu, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akirejesha fomu ya kugombea Uenyekiti wa chama hicho kwa mara nyingine tena. Soma pia: Tundu Lissu arudisha fomu makao makuu ya CHADEMA akiwa amevaa bulletproof. Hii ina maana gani?
  2. JamiiForums Tanzania Rasmi BAWACHA wamemlipia Mbowe Milioni 1.5 fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Wakuu, Inaonekana BAWACHA wametimiza rasmi ahadi yao ya kumlipia Mbowe fomu ya Uenyekiti Soma pia: BAWACHA Pwani kutoa Tsh. Milioni 1.5 kumchangia fomu ya uenyekiti Mbowe Kundi la wanawake wanaomuunga Mkono Freeman Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa Chadema kwa kipindi kingine cha miaka...
  3. JamiiForums Tanzania Ni chama kipi kwa sasa kati ya hivi itakuwa sehemu sahihi kwa Tundu Lissu na wapenda mabadiliko?

    Ni ukweli uliwazi kwamba Mbowe akishinda katika nafasi ya uenyekiti, CHADEMA haitakuwa na nguvu tena ya kupambania dola . Hii ni kutokana na idadi kubwa ya wafuasi kuhitaji mabadiliko ambayo yanaonekana ni vigumu kuyapata CDM kwa sasa . Hivyo kuna weza kuwa na haja ya kukipa chama kingine...
  4. JamiiForums Tanzania Mpasuko mkubwa kuukumba chadema....wah kadhaa kujitoa chadema ...

    Hulu zoezi la mjumbee WA kamati kuu kujitoa rasmi Moto umeanza kuwaka huko Kwa ndugu ZETU Na habari za chinichini. KUNA kundi KUBWA la watu wakiwemo wenyeviti kadhaa wakanda na derkl za mitaa waliochaguliwa majuzi kujitoa Hali kadhalika BAADA ya uchaguzi WA mwenyekiti KUNA vitukoo vingi...
  5. JamiiForums Tanzania Hadi sasa kwa maoni mitandaoni, Karibu 90% wanamtaka LISSU ambebe sura ya chadema mpya.

    Wafia Chadema mitandaoni karibu wote wako upande wa LISSU. Watu wanaoikosoa Serikali bila kuwa na mlengo wa chama wako na Lissu. Inaonekana picha ya Upinzani mitandaoni ni chama kisicho na ukaribu kabisa na watawala. Yaani ule wa kupinga na kuponda. Chochote nje ya hapo unahesabika ni CCM au...
  6. JamiiForums Tanzania Awamu hii ni ama ivuke Chadema sanaa au ivuke Chadema wazalendo. Haiwezi kuvuka imechangamana

    Na huo ndiyo ukweli. Chadema ya sasa imechanganya Chadema sanaa na Chadema wazalendo. Hizi Chadema zilikuwa pamoja. Mbowe ambaye ni kiongozi wa Chadema sanaa ametengana na Lissu ambaye ni kiongozi wa Chadema wazalendo. Hawa watu walikuwa pamoja na sisi wafuasi wa kila mmoja tulikuwa pamoja...
  7. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hana mpango mkakati wa Kupambana na Rushwa

    Kwa jinsi alivyo hawezi kukataa kupokea rushwa, wala hawezi kupambana na rushwa kwa namna yoyote ile. Kwanza ni mbinafsi na amezongwa na shida za kifamilia sana. Na, ni mtu wa tamaa na uchu kupindukia, hususani kwenye suala la fedha, vyeo na madaraka. Ukimfuatilia kwa makini katika mazungumzo...
  8. JamiiForums Tanzania Niliwahi kuwaambia kuwa CCM na CHADEMA ni chama kimoja na nikawaambia Simba na Yanga ni timu moja, ila sikueleweka

    CHADEMA na CCM niliwaambia ni chama kimoja. Hata huyu mnayemuita Lissu ni tajiri mkubwa tu Ila yeye alichofanikiwa ni Ku-play low key na kuendana na watu wanaoitwa wanyonge, hii mbinu pia alikuwa anaitumia Magufuri this guy was multimillionaire Ila alikuwa anaigiza kuwa yeye pia ni mtoto wa...
  9. JamiiForums Tanzania Mbowe kaidhalilisha Chadema apumzishwe

    Nimemsikiliza Mbowe kauli zake ktk hotuba aliyo itoa nafikiri sio yeye aliye iandika ametumika kama spika.Navyo mfahamu huko nyuma kariba yake jana nimewaza tofauti kabisa na nilivyo muheshimu japo bado namuheshimu. Kwanza Mbowe anasema ameamua kugombea kwa kuwa hajaona mtu sahihi wa kuiongoza...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kumbuka sumaye aliwahi kusema kwamba sumu haionjwi kwa ulimi akimaanisha uenyekiti chadema ni sumu

    Kile kiti ni zaidi ya siasa ni channel maalumu ya kufanya money laundering in anyway. Hivyo bora ufe kiti kibaki kwa mwenye nacho
  11. JamiiForums Tanzania Mbowe akiri kwamba 4R za Samia zimeibeba Chadema

    Mbowe akiri kwamba 4R za Samia zimeibeba Chadema
  12. JamiiForums Tanzania Wajumbe CHADEMA mkipokea Rushwa mjue ndio itakuwa kifo cha chama chenu

    Wajumbe najua wengi mpo humu na mnasoma haya na mnaziona harakati na vikao vya siri na vya wazi mnavyo endelea navyo huko mafichoni, sasa kama mtajichanganya shauri yenu na heshima ya chama chenu mliyo ijenga miaka yote itapotea kabisa ndiyo mtakuwa mnakiua kama vilivyo kufa vyama vingine...
  13. JamiiForums Tanzania Maajabu ya CHADEMA tawi la mtandaoni

    Ukifuatilia mitandao ya kijamii utagundua CHADEMA ndicho chama chenye wafuasi au wapambe wengi sana katika mitandao ya kijamii nchini, katika hili utakosea sana ukifikiri uwakilishi mitandaoni unawakilisha uhalisia nje ya mitandao( kwa ground). Maandamano yakiitishwa na viongozi wa CHADEMA...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kama Lissu Anakubalika CHADEMA Kwanini Sasa Wafuasi Wake Wanalialia Na kupiga Mayowe Baada ya Mwamba Mbowe kutangaza Kugombea?

    Ndugu zangu Watanzania, Kweli Dunia ina maajabu yake,kweli kuna watu wana matatizo sana vichwani Mwao,kweli kuna watu hawajitambui,kweli kuna watu wana uwezo mdogo sana wa kufikiri na kupambanua mambo. inasikitisha ,kushangaza na kufikirisha sana kwa mtu mwenye akili Timamu na anayejitambua...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini CHADEMA wanaolilia katiba mpya hawataki kufuata katiba yao inayoruhusu Mbowe agombee?

    Hawa jamaa walitunga katiba ambayo inampa haki Mbowe agombee na amegombea, Lissu kagombea. Hakuna aliyevunja katiba. Kwa nini wanaona Mbowe kugombea ni tatizo? Lissu anataka mteremko? Si apiganie kura kwa wajumbe? Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa heri Chadema, sitakuwa siwezi kuwa chawa wa kumsafishia njia Samia

    Habari zote kuhusu Mbowe kung'ang'ania madaraka zipo humu, kwa hiyo hakuna haja ya kurudia. Nimekuja hapa kutoa taarifa tu kwamba nimeshtukia hii deal ya Mbowe na CCM. Sisi sio wajinga wa kufanywa kama CUF ya Lipumba. Sisi tuna akili, nenda peke yako bwana Mbowe kulamba viatu vya Samia. Kama...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini kila ikifika Mwaka mmoja kabla ya Uchaguzi Lazima kutokee Mikwaruzano Ya Kisiasa CHADEMA Ya FAM Hii ndo SIRI ILIYOJIFICHA

    Kiistoria, kila unapobaki mwaka mmoja au miwili kuelekea uchaguzi mkuu wa rais na wabunge nchini, ndani ya chadema kunaibuka minyukano. Hii ilikuwa kweli mwaka 2008 na 2009, kuelekea uchaguzi mkuu wa 2010 Na Ikawa kweli 2013 na 2014, kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 Na sasa ni kweli pia...
  18. JamiiForums Tanzania Laana ya Hayati Rais John Pombe Magufuli yaitafuna Chadema.

    Sikumuogopa Rais John Magufuli aliyekuwa na majeshi leo hii nimuogope Tundu Lissu,ambaye ni kiongozi mwenzangu tulikuwa nae kwenye chama! kauli tata sana hii,kumekucha!!,Chadema kazi imeanza,Lissu anasema ataendelea kupigania anachokiamini,ataendelea kupiga kelele kama zile kelele za vishindo...
  19. JamiiForums Tanzania Mkeka wa Chadema aliyeanza kuuchana ni Team Mbowe, Lissu aliwastukia akabadili gia angani

    Nitatoa hints TU: LISSU alisema awali kwamba hawezi kugombea nafasi ya MBOWE. Team MBOWE wakamwandalia mchakato wa Abdul. Inaelekea walikuwa na manufaa na mchakato. Mchakato wa Abdul ulipokwama wakaandaa mchakato wa kumwengua Moja kwa Moja kwenye nafasi za juu za uongozi wa chama. Wenje...
  20. JamiiForums Tanzania Hakujapata kutokea watu wanafiki dunia kama wafuasi wa CHADEMA na wanaharakati

    Niende kwenye mada moja kwa moja Tangu miezi sita nyuma au mwaka mmoja nyuma tulio karibu na uongozi wa chadema tuligundua ipo siri kwa vice-chairman ana matamanio na kugombea uwenyekiti na kuhisi yeye ana uwezo wa kuongoza chama cha Chadema kuliko kiongozi wa sasa anaye maliza muda wake, Kiasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…