chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Kuukosa umakamu mwenyekiti Chadema taifa maana yake ni kukosa fursa, sifa na kipaumbele cha nafasi ya kugombea urais kupitia Chadema 2025

    Je, Tundu Antipas Lisu atavumilia kubaki mtiifu na mvumilivu kuishi katika upweke wa kutokua na nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chadema tunapoelekea uchaguzi mkuu Oct. 2025? Au atavuka boda na kujiunga na chama kingine cha siasa kujaribu azma na ndoto yake ya kujaribu kugombea urasi tena...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa;TUNDU LISSU ni Mkubwa kuliko ata CHADEMA yenyewe!!!!

    Siasa ni sayansi na sayansi inategemea siasa; CHADEMA wameondoka Vigogo wakubwa sana tena wenye profile kubwa na nzito kweli kweli kama vile Dkt Wilbroad Slaa,Zitto Kabwe,Kitila Mkumbo etc…… Ila Wanachama na wananchi wa kawaida waliona tu kuwa huo ni wakati wa kawaida chama chao kinapitia...
  3. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imeua kiki zote mjini. Uchaguzi wao unazungumziwa kuliko hata wa Serikali za mtaa uliopita

    Sasa hivi mpaka january wale wapenda kiki watulie tu mpaka upepo wa chadema uishe yaan nimejua kua CHADEMA inafatiliwa sana inapendwa huu uchaguz unazungumziwa kuliko hata ule uchafuzi wa serikali ya mtaa uliofanyika juz juz
  4. JamiiForums Tanzania Tatizo la CHADEMA ni kukosa wazee wa ushauri ndiyo matokeo ya kinachoendelea sasa

    TATIZO LA CHADEMA NI KUKOSA WAZEE WA USHAURI NDIO MATOKEO YA KINACHOENDELEA. Utakubaliana na mimi kwamba chama kikubwa cha siasa aina ya Chadema ambacho uhai wake ni zaidi ya miaka 30 kukosa wazee wa Ushauri ni aibu na ndio matokeo ya minyukano inayoendelea kipindi hiki cha Uchaguzi wa wao wa...
  5. JamiiForums Tanzania Ni dhahiri kuna kila dalili ya goli la mkono katika uchaguzi wa mwenyekiti CHADEMA hapo January

    Wasalaam Wote tumeshuhudia bwana Freeman Mbowe akiapa kushinda uchaguzi inyeshe mvua au liwake jua. Ukiangalia nguvu za kiuchumi za huyo mheshimiwa ni kwamba atatumia rasilimali zake kushawishi wajumbe wa kamati kuu kumchagua kwa kura za kishindo. Ukija upande wa pili mh Lissu amelalamika...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hela za Abdul ndicho chanzo cha mtafaruku CHADEMA

    Lissu anagombea Uenyekiti kwa hasira baada ya kuletewa Wenje ili amuondoe kwenye nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti aliyokuwa ametia nia. Akiwa anajibu maswali kwenye kipindi cha ClubHouse, Lissu amesema, "Yanayoendelea Chadema chanzo chake ni hizo hela za Abdul nilizozikataa ambapo Wenje alikuwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Garatwa: Nondo (6) za Tundu Lissu Mgombea Uenyekiti CHADEMA Taifa 2024-2029

    NONDO (6) SITA ZA LISSU AKIWA LIVE CLUBHOUSE LEO USIKU 1. SUALA LA MGAO WA RUZUKU "Suala la mgao wa Ruzuku ya chama kwenda kwenye ngazi za Wilaya na Mikoa hata kama ni kupeleka kidogo cha kadri lilishakuwa changamoto kubwa sana ndani ya chama chetu licha ya kelele nyingi tunazopiga"...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni matokeo yapi ya Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA yatakuwa na tija kwa chama na Taifa?

    Mimi ningependa Lissu ashinde ingawa simuungi mkono. Sababu zangu ni hizi: 1. Ushindi wake utaondoa dhana ya CDM kuwa ya mtu mmoja ambayo sio kweli 2. Najua Mbowe atakubali matokeo na kumpongeza mshindani wake. Hii itamuongezea yeye na chama chake sifa ya kuwa kweli ni cha kidemokrasia. Aidha...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Nikishindwa nafasi ya Uenyekiti CHADEMA nitabaki kuwa mwanachama wa kawaida, siendi popote

    Wakuu, Lissu amesema ikitokea ameshindwa nafasi ya uenyekiti CHADEMA hapo Januari, atabaki kuwa mwanachama wa kawaida CHADEMA, hatoenda kokote, watabanana humo humo. Pia soma: Pre GE2025 - Wilbroad Slaa amuunga mkono Lissu kugombea Uenyekiti CHADEMA, asema taifa linamhitaji Lissu kwa sasa...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wilbroad Slaa amuunga mkono Lissu kugombea Uenyekiti CHADEMA, asema taifa linamhitaji Lissu kwa sasa

    Wakuu, Wilbroad Slaa amuunga mkono Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti CHADEMA. Pia soma: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA Asema CHADEMA na Watanzania wanamhitaji Lissu katika kipindi hiki, akiwa ni kiongozi bora na mwenye msimamo. Mambo yanazidi kuwa moto.
  11. JamiiForums Tanzania Lissu akana tuhuma za Mbowe kuwa alishirikiana na Peter Msigwa kuvujisha nyaraka muhimu za CHADEMA

    Wakuu, CHADEMA mambo yamezidi kupamba moto. Lissu akiwa anajibu swali aliloulizwa kuhusu tuhuma za Mbowe kwamba nyaraka za chama zilikuwa zinqvujishwa na Msigwa ambaye ni rafiki yake mkubwa. Lissu akiwa anajibu swali hilo amesema kuwa hajawi kuvujisha nyaraka za chama na kuongeza kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hakuna mbunge hata mmoja wa CHADEMA atashinda uhaguzi ujao

    Mda unavyoenda CHADEMA inazidi kuwa mahututi,ingawa Mbowe atashinda kwa kura za kutosha kutoka kwa wajumbe lakini wanachama ambao ndo wengi hawana imani tena na CHADEMA chini ya Mbowe. CCM wameshajua madhaifu ya Mbowe ndo maana wanapambana ili ashinde kwenye uchaguzi ndani ya chama. Chadema...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tazama picha hii ya Lissu upate kujua anachukuliwaje ndani ya CHADEMA

    Ndugu zangu Watanzania, Katika picha hii unaweza kujua na kupata Picha Namna gani Lissu anachukuliwa na kiwango cha thamani na heshima yake ndani ya CHADEMA. Hapa unaweza kuona na kutambua wazi kuwa Lissu Tangia Awali na zamani alikuwa haheshimiki wala kuthaminiwa wala kukubalika wala kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Wajumbe MMK Chadema kuwa Mabilionea kuelekea January 21

    Napenda niwaoenyezee tu... Mbughi ya Uenyekiti CDM sio siasa ya kawaida, ni kama kudai uhuru mwaka 1961. Ni vita kubwa ya siasa niliyowahi kuiona toka siasa za vyama vingi nchini Mwaka 1995. Mikakati ya kumchomoa Mbowe sio ya kitoto huko Clubhouse na whatsap groups, Bahati nzuri sana ni...
  15. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Mbowe amesema hagombei Uenyekiti ila Lissu ataua chama

    Mbowe alisema kuwa Lissu ataua Chama?
  16. N

    JamiiForums Tanzania VIDEO: CHADEMA wote msikilizeni Mwl Nyerere

    Mwalimu Nyerere alishakataa mambo ya mtu kuongoza miaka kama ya baba Mkwe wake, R.IP BABA WA TAIFA LETU
  17. N

    JamiiForums Tanzania Afisa Makao Makuu CHADEMA: Mbowe anaendekeza Ukabila. Kati ya wafanyakazi 19 wanaolipwa Mishahara na CHADEMA 9 wanatoka Killimanjaro

    XxxxxX Twende Pamoja, kwa muda mrefu wapinzani wetu kisiasa wamekuwa wanasema udini na ukabila zaidi kwa swala la Ukabila wanalengwa watu kutoka mkoa wa Kilimanjaro anakotokea Mwenyekiti wetu wa Taifa. Naomba nikushirikishe na wewe upime Je kuna ukweli wowote? Secretariat ambacho ni chombo cha...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM na CHADEMA wote wanagombana, tofauti yao kubwa ni uzingatiaji wa wakati wa kugombana na wakati wa kuwa pamoja

    Hali ya migogoro ndani ya vyama vya siasa Tanzania, hususan CHADEMA na CCM, inaonyesha mifumo tofauti ya usimamizi wa migogoro na mshikamano wa ndani ya vyama hivi viwili: CCM: Licha ya migogoro na malumbano ndani ya chama, hasa kati ya wanachama au makundi yenye maslahi tofauti, wanapofika...
  19. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa punguza kisebusebu wewe ulinunuliwa na CCM kuhujumu CHADEMA

    Huyu amekuwa akijiona ni mkamillifu sna na mjuaji kinoma yeye ameusika moja kwa moja kuhujumu chadema na hata saulika Leo amekuja naanza kuleta chuki zake na ukatoliki wake kwenye siasa za chadema huku akiwa ni msaliti namba moja Akumbuke alihongwa pesa ili kuivuruga chadem Leo ameibuka amenza...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Atakayeshidwa CHADEMA avunje makundi

    MIJADALA inayotawala sasa hivi kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu uchaguzi wa Chadema ngazi ya taifa, huku mchuano ukiwa kati ya mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe na makamu wake, Tundu Lissu kutangaza nia ya kuwania uongozi wa juu. Tunashuhudia minyukano ya makada na hoja zenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…