chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Ali Kibao alikuwa ni Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA

    Kumbe Mzee Ali Kibao alikuwa ni Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, na sasa ni marehemu. Ilibidi nitafute taarifa za wajumbe wa kamati kuu ambao wamefariki kabla ya kikao cha kamati kuu kilichojadili ishu ya pesa za Abduli na ambao wapo hai mpaka hivi sasa. NI MZEE ALI KIBAO PEKE YAKE NDIYE KAFA...
  2. JamiiForums Tanzania Neno CHAWA linavyowatafuna CHADEMA

    Sasa hivi wanachama wa CHADEMA wamegawanyika makundi mawili, kundi la Mbowe na Kundi la Tundu Lissu. Kundi la Mbowe wanaitwa CHAWA wa Mbowe. Nakumbuka neno hili lilitumika sana kuwatusi wafuasi wa CCM wanao muunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan. Sasa ni zamu ya waasisi wa neno CHAWA kunywa...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mambo manne ambayo yanaonesha uwezekano wa Mzee kibao kwamba alitekwa na wasiojulikana kwa kushirikiana na CHADEMA

    1.Nchimbi alimsafisha Mbowe mapema sana https://youtube.com/shorts/VuTy8LLhe4s?si=PHahPqXk2sRY40B_ 2.Mzee kibao hakuwa mtu wa mitandaoni na msemaji sana kama tulivyoona kwa watekwaji wengine 3.Kauli ya Tundu lissu kuwa alikuwa na ushahidi wa Rushwa ya Abdul 4.Historia za matukio ya nyuma ya...
  4. JamiiForums Tanzania Ikiwa ndani ya chadema wanaolipwa mshahara hawafiki watu 20 je ile ruzuku mil 300 ambayo chadema walikuwa wakiipokea mwaka 2015 -2020 ilienda wapi?

    Nimeshangaa juzi kumsikia MTU anayejiita Mbowe , Kwa kusema moja ya faida ya maridhiano ni chama kupata ruzuku ambayo ni bil 1 .6 iliyotumika kununua jengo ambalo ndo ofisi ya chadema na makao makuu HQ . Swali ikiwa mlikuwa mnapata ruzuku mil 300 Kwa kipindi cha miaka 5 ambayo ni sawa na Bil...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia,Kuzima Mjadala wa CHADEMA, wateue BAMBO na KINGWENDU.

    Heri ya Christmas Wanajamvi. Mjadala wa CHADEMA, kwa sasa ndio habari ya mjini, hata kwa wasiofuatilia Siasa. Imefikia hatua hata uteuzi na uapisho uliofanyika Ikulu ndogo ya TUNGUU uliofanyika majuma kadhaa yaliopita ,kutopata coverage ya kutosha kwenye mitandao ya kijamii kama ilivyo Habari...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza dkt Slaa vizuri, utabaini kuwa Mbowe hafai tena kuwa Kiongozi wa Chadema.

    Msikilize kwa makini. https://youtu.be/bm-1VGPLwdo?si=Iv2yOqYETyA72i3z
  7. JamiiForums Tanzania Madai ya Lissu ya hongo CHADEMA na maswali tata.

    Tuhuma za Lissu kuhusu Abdul kuhonga watu zinaacha maswali mengi na tata sana, 1. Kwa nini Abdul ndiye anahonga watu na sio watu wa CCM au serikali? Kwa nini hawakutumika watu magwiji wa hiyo michezo ambao wasingeacha alama au ushahidi ikiwa wangeweza au hata wangeshindwa kumuhonga Lissu...
  8. JamiiForums Tanzania Vijana wote iwe Chadema au Ccm wanakimbilia siasa ili kutafuta unafuu wa maisha .

    Huyu jamaa anajiita Mdude . Kwanza hana Elimu ya darasani , pili haelewi Kwa kina kuhusu siasa. Muda anaoutumia mitandaoni kuponda na kubeza wanasiasa bora angeutumia kuboresha Kazi zake za ufundi wa Simu na computer. Hao akina Mwambukusi sio wenzake hao wana Elimu kubwa Sana na wamempita...
  9. JamiiForums Tanzania Namtetea Mbowe, Chadema, Hakuna Ubaya Wowote, Mtu, Chama Kusaidiwa na Kupokea Fedha Zozote Toka Popote na Kwa Yeyote!. Sio Kila Pesa ni Rushwa!

    Wanabodi Merry Chritmas Mjadala wa tuhuma za rushwa unaovurumishwa na Tundu Lissu, umezidi kushika kasi, tuhuma zilianzia majukwaani, zikahamia mitandaoni sasa zinaendelea kule Club House, spaces na X- tweeter. Hivyo najitolea kumtetea Mbowe, Chadema, wengine wote wanaotuhumiwa kwa tuhuma za...
  10. JamiiForums Tanzania Lissu kupata uenyekiti wa chadema kumemshinda na itakua ni ndoto za kimweri kuupata, nadhani kupata urais wa Tanzania itakua ni ndoto za alinacha

    Ni wazi kwenye nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa anayogombea, anapingwa vikali sana kwenye chama chake, na kwahiyo tunaweza kuhitimisha kwamba hataweze kupewa ridhaa hiyo na wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema. Ni dhahiri, hekima, busara na mdomo wa huyo muungwana is completely not...
  11. M

    JamiiForums Tanzania UCHAGUZI CHADEMA UNATUFUNZA NINI WAISLAM?

    Mtume Muhammad (SAW) alitoa muongozo thabiti kuhusu namna ya kupata kiongozi wa jamii. Uongozi katika Uislamu ni jukumu kubwa na ni amana inayopaswa kutekelezwa kwa haki, uadilifu, na unyenyekevu. Muongozo wa Mtume (SAW) unajikita kwenye sifa za kiongozi, njia ya kumchagua, na maadili ya...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA asiye maarufu

    Najisikia vibaya kutenda dhambi leo kwa kuwapa mbinu wale watawala wa Puerto Rico mana naona wanataka kutumia njia mbaya ya kumng'ng'aniza Mbowe awe mwenyekiti ili azeeke kwa stress akiwa mwenyekiti mana kachokwa haswa na Lisu hatakiwi. Mnakumbuka ule uchaguzi wa DRC ambapo Joseph Kabila...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe CHADEMA ya 2013: Tamko la Zitto baada ya kuvuliwa uanachama kwa kupanga kumng'oa Mbowe katika nafasi ya uenyekiti kwenye uchaguzi

    Chadema imepitia mapito mengi: Leo tukielekea katika uchaguzi wa Mwenyekiti, tujikumbushe yaliyojiri mwaka 2013 pale Zitto na wenzake waliposuka mpango kazi wa kumng'oa Mbowe katika uchaguzi uliokuwa unakuja mwaka 2014. https://www.youtube.com/watch?v=JYYNNnnqD18&ab_channel=MTAAKWAMTAA
  14. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naishauri CHADEMA imchukulie Lissu hatua kali sana za kinidhamu na kumpa onyo kali kwa kukichafua Chama na kuwapaka Matope viongozi wenzake

    Ndugu zangu Watanzania, Lissu hajawahi kuwa na uchungu na CHADEMA,hana uchungu na CHADEMA zaidi ya maslahi yake binafsi. Anachokifanya Lissu kwa sasa kwa CHADEMA na kwa viongozi wenzake hakikubaliki mahali popote pale na kwa chama chochote kile atakacho kwenda. Tena kama kwenye chama changu...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Vijana wa CHADEMA hawana tena uwezo wa kujibu hoja wamebakia kusema " Hafai, hana sifa, aondoke"

    Askofu Mwamakula anesema ni aibu kwetu sote kama taifa iwapo Vijana wetu wamefikia hatua ya kushindwa Kujibu na kujenga Hoja na badala yake wanaishia kutoa lugha za mkato " Hafai, Hana Sifa, Aondoke ' ====================== 'Hana sifa', 'Hafai', 'Aondoke'! Hizo ndio kauli za makundi ya kampeni...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA nayo ni biashara ya Mbowe?

    I’m continuing to read the tea leaves from Tundu Lissu’s Clubhouse appearance. Lissu aliulizwa swali kuhusu Mbowe kuibeba CHADEMA kifedha. Akafunguka na kusema kuwa kuna nyakati kamati kuu ya chama ilikuwa inamwambia Mbowe kuwa chama kinahitaji kiasi hiki cha pesa kwa sababu moja, mbili, tatu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Lissu dhidi ya madai ya kukutanishwa na Abdul mwezi Oktoba

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na mgombea nafasi ya Uenyekiti, TunduALissu akizungumza kupitia clubhouse usiku huu amesema, kauli ya Mhe. Ezekiel Wenje hazina ukweli wowote na kwamba hamdai hata shilingi moja na hajawahi kumkopesha. "kama anasema alinikutanisaha na huyo Abdul basi yeye ni...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Nilipokuwa mdogo nlikuwa nawaona wazee wanaoacha familia zao na kuondoka home kuwa wabinafsi sana ila kwa yanayoendelelea CHADEMA Msigwa kaona mbali

    Kama kichwa kinavyojieleza... huenda wanachama chadema wameona mbali kuwa njia haitoki as long as mwamba Mbowe yuko enzini... Unajua baada ya kukaa ndani ya ndoa nimekuja kuelewa kuwa sio wababa wote wanachama home na kusepa kuwa ni wabinafsi... wengine ni sababu za wake zao kuwa na kero na...
  19. JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi wa uenyekiti CHADEMA, utayarishwe mdahalo mahsusi ukijenga, nini wanataka kuifanyia CHADEMA!

    Kuelekea uchaguzi wa uenyekiti CHADEMA utayarishwe mdahalo mahsusi ukijenga, nini wanataka kuifanyia CHADEMA! Mdahalo utatoa majibu ya moja kwa moja nani anatufaa na nani hatufai.
  20. JamiiForums Tanzania Mbowe v Lissu: Is this the beginning of the end of a united and resilient CHADEMA? Why or why not?

    The current power struggle between CHADEMA’s Freeman Mbowe and Tundu Lissu is undoubtedly a significant test for the party. Infighting at the top can weaken any political organization, especially in a fragile democracy where opposition parties face external pressures as well as internal...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…