chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Chadema mmebeba hatima ya watu wengi kuweni makini

    Uchaguzi ni jambo la kawaida katika nchi inayofata Karina na misingi sheria na Demokrasia. Lakini kinachoonekana kwa chadema sasa siyo uchaguzi ni Vita. Vitisho kuumbuana na mwisho ni kusambaratisha chama Naomba ni wakumbushe chadema kuwa wamebeba matumaini ya watu wengi. Wa Tanzania...
  2. JamiiForums Tanzania John Heche ndo anafaa kuwa mwenyekiti CHADEMA

    Merry Christmas 🎄 Lissu big no. Ana mihemko.hataweza kudeal na mambo makubwa.itakuwa vurugu Mbowe nae big noo.miaka zaidi ya 20 jamani apumzike. John Heche.kwanza handsome, bonge la genius, ana point za maana All in all mama Samia forever
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu afukuzwe CHADEMA haraka

    Nimeona mchakato huu usipite bila kutoa neno japo dogo kwa kuanzia. Kwa mambo aliyofanya na kusema mpaka sasa, kuna jambo moja pekee ambalo ni muafaka kwa Tundu Lissu nalo ni Kufukuzwa CHADEMA. Kwetu sisi tunaomfahami hasa maisha yake nje ya media, tunajua kuwa ni Muongo na mjanjamjanja sana...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe akishinda uenyekiti CHADEMA, hali kwenye mikutano ya hadhara itakuwa hivi

    USHAURI: (Mbowe & Lissu) na Wenje wajitoe kugombea uenyekiti na makamu uenyekiti mtawalia, ili kuinusuru CHADEMA, wagombee watu wengine kama akina Lema, Heche nk ambao hawana makundi ndani ya chama.
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa wajumbe wa CHADEMA, kula kwa Mbowe ila Kura kwa Lissu.

    Naomba niwashauri wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA, pesa zikija au kuletwa kwenu kuleni bila huruma ila kura mpigieni mwanamageuzi Lissu. Ushauri wangu kwenu ni kwamba kuleni kwa Mbowe ila kura mpigie Lissu. Asanteni kwa kunielewa.
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA mpya inakuja chini ya Mwenyekiti Tundu Lissu Wakili Msomi na mpinga Rushwa Tanzania

    Jamani moyo wangu umefurahi sana baada ya kuona wanachadema na watanzania wanaendakupata mwenyekiti mpyaaaaaaaaaaaa baada ya miaka 20 na zaidi kupita. Hii kwangu na kwa watanzania wenye akili timamu na wazalendo wataifa letu la Tanzania imekaa vzr sana tena sana. Upinzani ukiwa imara siku...
  7. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanaamini CHADEMA ni chama cha Wachagga ndio maana wanamuunga Lisu kuondoa mzizi wa fitna

    Mpo salama! Watanzania wanaamini Wachagga ni watu wote wanaotokea Kilimanjaro na Arusha bila kujali mikoa hiyo inamakabila mengine kama Wapare, Wameru, Wambulu, Wamasai, Wachagga na Wasambaa kidogo. Sio ajabu hata wakisikia John Mnyika, au Halina Mdee licha ya kuwa ni Wapare hao ila Watanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Bila kuwa na Uwazi na Uwajibikaji, CHADEMA itakufa

    Uwazi na uwajibukaji ndo utafanya CHADEMA idumu sio kuficha Uovu. Amyeaongea hayo kwenye Clubhouse alipoulizwa kwamba haoni kama kuongea mambo kwa Uwazi kunaua Umoja wa kitaifa wa chama? Kwanini asionhelee mambo ndani? Kufanya mambo kwa Uwazi kunaleta uwajibikaji. Wananchi wanatakiwa waambiwe...
  9. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Bila kuwa na Uwazi na Uwajibikaji, CHADEMA itakufa

    Uwazi na uwajibukaji ndo utafanya CHADEMA idumu sio kuficha Uovu. Amyeaongea hayo kwenye Clubhouse alipoulizwa kwamba haoni kama kuongea mambo kwa Uwazi kunaua Umoja wa kitaifa wa chama? Kwanini asionhelee mambo ndani? Kufanya mambo kwa Uwazi kunaleta uwajibikaji. Wananchi wanatakiwa waambiwe...
  10. JamiiForums Tanzania Kulikuwa na jaribio la Mapinduzi Chadema, Sasa wavamia Uchaguzi!

    Baadhi ya Wanachadema hawafahamu kuwa, Kulikuwa na jaribio la Mapinduzi ndani ya @ChademaTz chini ya Kikundi kinachojiita Sauti ya Watanzania ambacho ndani yake kuna Wanaharakati wa ndani wakiongozwa na Dr Slaa mwanaccm ambae ndie alikuwa akiongoza mikutano ya hadhara, Mwabukusi ambae ni...
  11. JamiiForums Tanzania Wajumbe wa CHADEMA muumbueni Mbowe utakapotaka kuwanunua

    Hakuna namna Mbowe anaweza kumshinda Mh.Lissu zaidi ya kununua wajumbe na kuiba kura. Wajumbe wengi wameonyesha kutokubali Mbowe kujimilikisha chama. Kama huyu mtu amekosa aibu kabisa basi na sisi tusimuonee aibu kwa vyovyote. Tumuanike popote bila aibu anapotaka kununua mjumbe yeye mwenyewe...
  12. JamiiForums Tanzania Dudubaya amshauri Tundu Lissu kuhamia CCM au Vyama vingine akidai hatamweza Mbowe na wala CHADEMA haiwezi kufa

    Dudubaya amshauri Tundu Lissu kuhamia CCM au vyama vingine akidai hatamweza Mbowe na wala CHADEMA haiwezi kufa kwasababu walikuwepo wanachama wakubwa sana akiwemo Chacha Wangwe, Ndesamburo, Lowasa, Alphonce mawazo na walipoondoka CHADEMA haikufifia Tazama Video hii
  13. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwabukusi: Kabla ya Maridhiano huwa tunaanza na Muafaka, Chadema tuonyesheni huo Muafaka wa Kitaifa vinginevyo hayo makubaliano yenu hayako kisheria!

    Rais wa TLS Mh BAK Mwabukusi amesema kabla ya Maridhiano huanza na Muafaka vinginevyo Bila muafaka hayo Maridhiano yanabaki kuwa domestic arrangements hayana nguvu ya kisheria wala Uhalali wa kisiasa Mwabukusi amewataka Chadema watuonyeshe huo Muafaka wa kitaifa Ni Ukurasani X Anaanza kwa...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Willibrod Slaa: Anachopigania Tundu Lissu ni kuisafisha CHADEMA

    Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Willibrod Peter Slaa akizungumza hivi karibuni kupitia jukwaa la Kumekucha la mtandao wa Clubhouse. "Mimi kwa maoni yangu Tundu Lissu (Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA bara)...
  15. JamiiForums Tanzania Kibonzo Cha Siasa Za Chadema

    Posted by Akim kutoka X Ni hayo tu!
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe iokoe CHADEMA kwa kuchukua maamuzi mazito ya kumuunga mkono Lissu, usisubiri kesho!

    Mheshimiwa mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe, ukitangaza leo kwamba baada ya tafakuri nzito umeamua kutogombea kwa mara nyingine uenyekiti wa Chadema leo utakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja. Utaijengea CHADEMA heshima Utajijengea heshima kubwa zaidi Kwa kuijengea CHADEMA...
  17. JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA wakubali au wasikubali Mdahalo wa Uenyekiti wa chama? Wenzenu CCM huwa hawakubali Midahalo

    Wanadodi Nimesikia nia ya kuandaa mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema. Huu ni uzi wa swali la ushauri wa bure kwa Chadema, Je wakubali au wasikubali mdahalo wa wagombea Uenyekiti wa Chadema?. Wenzenu CCM huwa hawakubali midahalo!. Kwa sisi tuliosoma zamani, tulikuwa tunafundishwa midahalo...
  18. JamiiForums Tanzania Tuache kuwabeza wajumbe wa Mkutano mkuu CHADEMA

    Ninatoa raia ya kwamba tusiwabeze wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Kwa kuonesha kwamba wanashinikizwa kufanya maamuzi kwa njia ya Rushwa. Wajumbe wa mkutano mkuu hawawezi kuhongwa maana wanajua nani anafaaa kuwa mwenyekiti wa chama na si vingine. Kuna watu kama akina Ntobi wameshajihakikishia...
  19. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuzijue "Sera za Mbowe" dhidi ya "Sera za Lissu," uchaguzi mwenyekiti CHADEMA 2025

    Haya ni kutokea katika waliyosema wenyewe hadi sasa, watia nia hawa: A. SERA ZA LISSU: 1. Ukomo wa madaraka kwa Kiongozi wa chama. 2. Uwazi katika mapato na matumizi. 3. Upatikanaji wa wawakilishi wa chama mfano Viti maalumu na ngazi zingine zifuate utaratibu. 4. Uwepo ukomo wa kupata nafasi...
  20. JamiiForums Tanzania Mipango ya ccm kuisambaratisha CHADEMA inaenda vema lakini wakumbuke kulinda milango yao pia

    Mpaka sasa wamefanikiwa walau asilimia 40 kutengeneza kundi la upinzani ndani ya CHADEMA Kwamba sasa kuna makundi mawili yanayokinzana 1. Kundi la mwenyekiti 2. Kundi la makamu Makundi haya kupitia mamluki wa CCM ndio yatagombanishwa siku ya uchaguzi na mambo mawili yanaweza kutoka 1...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…