chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. 4

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwenu wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA kwa uchaguzi ndani ya chama , ole wenu

    Wakuu JF amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yenu ,popote mlipo ,niwatakie kheli ya mwaka mpya popote mlipo. Husika na mada tajwa hapo juu. Kuleni pesa ikitokea mtu kajipendekeza kwenu na vijisenti vyake ila kumbuka mmetumwa na wanachama ambao wamewapa dhamana kubwa ya kiuongozi...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 MDAHALO: Wagombea Uenyekiti wa CHADEMA kuhojiwa na Chief Odemba. Ni tarehe 18.01.2025 Jumamosi

    Kumekucha ila ngoja tuone Miamba hii miwili ya CHADEMA itakavyomenyana mbele ya Wananchi, Tuendelee kumwomba Mungu ili sote tufike salama 2025. ==== Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utafanyika tarehe 18/01/2025, siku ya jumamosi kuanzia saa 3:30 Usiku hadi saa 6:00 Usiku, mahali...
  3. JamiiForums Tanzania Askofu Mpemba: Kwa Mbowe uenyekiti ni muhimu kuliko malengo ya CHADEMA

    https://www.youtube.com/watch?v=5zmBG-wfUTU Kwa kweli Mbowe anashangaza na kusikitisha sana. Maneno haya mazito na marahisi yametolewa na Askofu Mpemba huko ughaibuni. Unamuuliza Mbowe kama lengo la chama ni kushika dola na yeye ameshindwa kutimiza lengo, kisha akatokea mtu ambaye anaweza...
  4. JamiiForums Tanzania Pwani: CHADEMA waendelea na Ujenzi wa Ofisi mpya, watoa wito kwa Wanachama kuchangia

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Pwani kimeanza kwa kasi utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa ofisi ya chama hicho, ambao sasa uko katika hatua za msingi na unaendelea vizuri. Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi, Baraka Nandonde, amethibitisha kuwa mafundi wameshaingia eneo la mradi...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Shinyanga watangaza kumuunga mkono Tundu Lissu kwenye Uchaguzi mkuu wa chama hicho

    Wakuu, Uchaguzi wa ndani ya CHADEMA umeendelea kupamba moto ======================================== Wajumbe wa mkutano mkuu wa taifa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutoka mkoa wa Shinyanga wamesema watamuunga mkono Tundu Lisu ambaye ametangaza kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema kuingia maombini kupata upande sahihi wa kuunga mkono Uchaguzi Chadema Taifa

    MWENYEKITI mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amesema atafanya maombi kwa Mungu kupata upande sahihi wa kuunga mkono katika mvutano wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho. Amesema muda si mrefu ataonesha ni upande gani anaounga mkono kati ya...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA imeiteka Tanganyika

    Ni wajinga pekee wenye maono kimo cha mbilikimo ndio wanaoweza kafanya uharamia ili CHADEMA kigawanyike , kivurugane ama kisambaratike! Tangu harakati za kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA zianze hakuna habari nyingine yoyote imeweza kuipiku CHADEMA kwenye top trending discussions. Ni kama...
  8. JamiiForums Tanzania Mbowe ameongoza CHADEMA kwa muda mrefu sana kwa hiyo ampishe Lissu" Hoja ya kitoto kama nini

    Halafu unakuta mtu anae toa hoja hiyo anajiita msomi. Mnaendaga shule kukariri eti eeh? Mtu alie ongoza Chama kwa muda mrefu tena kwa mafanikio makubwa si ndio anatakiwa kuendelea kupewa nafasi ya kuongoza kwa sababu tayari ana experience? Na amesha prove kwamba anaweza. Mnataka learner wa...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA ni Marhumu Ibn kuzimu?

    CHADEMA NI MARHUMU IBN KUZIMU? Anaandika Mo Mlimwengu. Waliamini lila na fila vinaweza kukaa pamoja wakapingana na wahenga waliosema havitangamani. Kila kitu kipe muda sasa hivi yako wapi? Huku kwetu huwa kuna msemo mmoja kwamba ' Enjobe erafa tehurila rukuli" kwa tafsiri ambayo siyo sisisi ni...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sijawahi kuwa na Ndoto Ya Uenyekiti CHADEMA- Lissu

    Tukisema Lissu ni Muongo muwe mnatuelewa. August tu alisema hana ndoto ya kuwa mwenyekiti. Leo yumo.
  11. N

    JamiiForums Tanzania John Marwa: Dani wewe kampeni meneja wa Mbowe tuambie kwanini baada ya mauji ya Ali Kibao na kupotea kwa vijana wa CHADEMA haijachukua hatua yoyote?

    Sasa nimeelewa kwanini Mbowe anaendelea kugombea hata baada ya watu wote kumkataa kumbe shida ni aina hii ya washauri, Huyu Dani Naftali nikimtazama naona kabisa hana akili za kutulia hata kwa Jinsi anavyomtetea boss wake ni wazi hajui anatetea Nini.
  12. JamiiForums Tanzania Kiunzi hiki cha CHADEMA wamekiingia, lazima watoke, nachelea ni kwa kuchelewa

    Watu wengi wanashangaa na kushtushwa na mtifuano wa uchaguzi wa viongozi wa kitaifa ndani ya CHADEMA. Wanaona ni jambo jipya. Wengi wameanza na kubashiri chama kupasuka. Lakini ukweli ni kwamba kwa wafuatiliaji na watafiti wa siasa za upinzani hususan zinazohusu CHADEMA na chaguzi zake karibu...
  13. JamiiForums Tanzania CCM ni SACCOS isiyo na Mwenyewe, CHADEMA ni Kikoba Chenye Mwenyewe

    CCM kila mtu anajipigia anasepa. CHADEMA shoo zote anasimamia kamanda wa anga, mjomba wangu kumbukeni kuwa mjomba ni mama. Ambao hamjachangia kadi zenu fanyeni hima tunahitaji kuchoma mbuzi zaidi mwaka mpya.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wafadhili wa Lissu na CHADEMA wamwahidi Lissu Helkopta 3 na magari 31 mapya kwaajili ya Uchaguzi Mkuu wa 2025.

    Habari za Chini chini zinasema wafadhili wa CHADEMA na Lissu wamemuhakikishia Lissu endapo atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wao na marafiki zao watatoa helkopa tatu pamoja na gari moja katika kila mkoa ya Tanzània bara na Visiwani ili kukisaidia chama hicho kuelekea Nov 2025. Haijafahamika...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania John Mnyika, Kigaiya na Lema mko wapi, chama kina pasuka vipande?

    Katibu Mkuu John Mnyika, Kigaiya, Lema na Mrema mko wapi chama kinapasuka. Mnawaangalia Viongozi waandamizi wakiumbuana hadharani!!!! Mnyika umekaa kimya!!kulikoni? Au ndio tunagawana mbao? Tunajua mwenyekiti kafeli, mwambieni ukweli, aache kukipasua chama.
  16. JamiiForums Tanzania Mambo ya msingi yaliyowasukuma Lisu na Mbowe kuwania Uenyekiti Taifa wa CHADEMA

    Great Thinkers, Nimerejea hotuba za wagombea wawili wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA, Haya ndiyo mambo ya msingi ambayo kila mgombea ameyatabainisha kama sababu zilizomsukuma kuwania nafasi hiyo. Kwa ambao ni wapambe ama wapiga kampeni wa kambi hizi, mnaweza kuja na uchambuzi wenu iwapo...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utafanyika tarehe 18/01/2025

    Edwin Odemba: Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utafanyika tarehe 18/01/2025, siku ya jumamosi kuanzia saa 3:30 Usiku hadi saa 6:00 Usiku, mahali mtajulishwa. Mpaka sasa wagombea wawili wamethibitisha kushiriki mdahalo huo, tunaendelea na jitihada za kuhakikisha wote wanashiriki katika...
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA tupate wapi mtu kama huyu anayependwa hivi?

    YOHANA 1: 4 -- 6. mtu pekee mwenye nuru inayomlika nadi ya CHADEMA ✌️ na ndani ya CCM NA SERIKALI YAKE. MH. TUNDU LISSU aliyejaa neema na kweli, Mtu peeke tuliyepewa zawadi kutoka kwa Mungu. SIKU ZOTE maneno yake yamejaa nguvu na kweli yeto na ushindi. TUMPATE WAPI MTU KAMA HUYU!? Eee Mungu...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna jambo watu hawalioni kuhusu uchaguzi wa CHADEMA.

    Kuna jambo nalitafakari kwa kina na ninadhani watu wengi hawajaliona Wala kulifikiria. Iwapo Lissu atafanyiwa figisu kwenye uchaguzi ndani ya CHADEMA na akatimkia ACT Nini kitatokea? Hili Jambo watu hawalioni. Lissu akihamia ACT ndio utakuwa mwisho wa CHADEMA kama chama kikuu Cha upinzani...
  20. JamiiForums Tanzania Huyu mgombea Uenyekiti wa CHADEMA Taifa kila kiongozi mwenzake mwandamizi, pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa anawona kama madui au wabaya wake

    Ni wazi ana hamaki na mawenge ya kiwango cha juu mno. Anaweweseka sana na amekosa utulivu, hana uhakika wa amani na kwakweli kujiamini kwake, mdomo na makelele kuna pungua kadiri siku zinavyokwenda. Nadhani sasa amefikia ukomo wa kufunguka yaliyokua yakimzonga moyoni mwake baada ya kuyahifadhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…