chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nn viongozi wastaafu wote wa chadema taifa wanaishia kukimbia

    Inavyoonekana huko ndani ya chadema kuna mengi tusiyoyajua na yasiyosemwa maana karibia wastaafu wao wengi wa kitaifa huishia kukikimbia. Rejea kina Arfi Slaa Zito Sumaye Lowasa Safari Nk
  2. JamiiForums Tanzania Hivi wagombea uongozi wa chadema ngazi ya taifa wana misimamo ipi na mikakati gani kuhusu suala la kupambana na kutokomeza ushoga nchini Tanzania?

    Maana wathirika wakubwa wa fedheha hii ni pmoja na watoto wao, ndugu, jamaa, marafiki, wanachama wa chadema wafuasi wa chadema na waTanzania kwa ujumla.. Je, ni ipi hasa mipango mikakati yao katika kukabiliana na ufirauni huo, ikiwa watapata fursa ya kuiongoza chadema Taifa? au itakua ni aibu...
  3. JamiiForums Tanzania Mambo 14 yaliyomshinda Mbowe kwa miaka 34 CHADEMA

    20+ Years Freeman Mbowe ameshindwa kuitoa CCM madarakani. Ameshindwa kulinda kura za Watanzania. Ameshindwa kuweka mashinikizo chanya juu ya chaguzi huru na haki. Ameshindwa kuwatengenezea viti maalum kwa wajimbo na kupisha wengine. Ameshindwa kutengeneza vyanzo vya mapato ili achangie yeye na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania CCM, mnawaona CHADEMA walivyo na akili kubwa na ujasiri?

    Wagombea uongozi wa CHADEMA wanafanya sana midahalo. Mimi nimewapenda sana kwa kufanya hivyo. Ninachokiamini ni kwamba, CCM walivyo waoga, hata ukimwambia mgombea ubunge wa CCM afanye mdahalo na mwanafunzi wa darasa la pili, huyo mgombea ubunge ataogopa na atakimbia mdahalo. CHADEMA mmeonesha...
  5. JamiiForums Tanzania DR Slaa alisahau nini Chadema?

    Ndugu zangu, kuna huyu Kiumbe anaitwa Dk Slaa, Sikatai mchango wake kwenye kukijenga Chama cha Demokrasia na Maendeleo lakini kwa sasa anakera. Wote mnakumbuka, baada ya Mzee Lowasa kuja Chadema huyu jamaa aliondoka Chadema akahamia CCM, NA kupewa Ubalozi huko CANADA, kiuhalisia kwangu Mimi...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Angalizo la usalama: Lissu na wanaoitwa wahaini wote CHADEMA, Akili kichwani asiaminiwe mtu hata baina ya ninyi Kwa ninyi!

    Hii ni wakati tukimpambania Dk. Slaa: Pia soma: Tusio na adui wa kudumu tunasimama na Dkt. Slaa Nani asiyejua kuwa TAL ni High Valued Target (HVT) kwa maadui wote wa ndani na nje? Kwamba kwa maneno yao wenyewe, kumbe kipi kinaweza kisiwepo mezani? Kwamba wengine wanajutia kushikilia chupa...
  7. JamiiForums Tanzania Hisia Zangu; Hoja hizi zinambeba Lissu Chadema

    HISIA ZANGU, MAMBO HAYA KUMBEBA LISSU CHA Baada ya chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA kutangaza mchakato wa uchaguzi wa viongozi wakuu wa chama umeibuka mjadala juu ya nani ataweza kushinda uenyekiti katika uchaguzi huo. Mjadala unaendelea wakati ambapo Mwenyekiti wa chama hicho...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema: Je, pesa za rushwa leo zinatoka wapi? Na wanaotoa pesa wananunua kura kwa kazi isiyo na mshahara?

    ==== Swali moja la msingi kwa WAJUMBE wa CHADEMA ni hili , Ikiwa utapewa pesa , usafiri , pombe na chakula wakati huu lakini hukuletewa pesa wakati wa uchaguzi wa serikali za Mitaa , Kijiji na Vitongoji , Je hizo pesa sasa zinatoka wapi ? Na wanaotoa pesa wananunua kura kwa sababu gani kwa...
  9. JamiiForums Tanzania PICHA: Kazi ya Padre au Askofu ni kupatanisha sio katika siasa tu hata kwenye ndoa. Wanaoshangaa Dkt Kitima kuwapatanisha CHADEMA hao si wakatoliki

    === Kwanza, Nataka nyie msio wakatoliki mfahamu kuwa Mapadre na maaskofu wa Katoliki sio ngurumbili kama baadhi ya Viongozi wetu wengine wa dini hapa nchini. Mapadre na maaskofu wa kikatoliki ni watu wasomi na wabobevu wakubwa katika maswala mbalimbali ya Kijamii kama siasa, Uchumi, Elimu etc...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Alitaka kuuawa kwa sababu yeye ni Mzalendo kwa Chedema?

    Wafuasi wa Lissu wanashikilia kuwa Lissu anastahili kupewa uenyekiti wa CHADEMA kwa sababu moja wapo ni kuwa mzalendo wa chama aliyepoteza damu yake kwa ajili ya CHADEMA. Swali langu: Je, Lissu alipigwa risasi kwa sababu ya kuipigania CHADEMA? Alikuwa anaipigania CHADEMA kwa lipi hasa? Je...
  11. JamiiForums Tanzania Sugu yupo Chadema kisanii na ni msanii, kifupi Sugu ni mnafiki

    Wengi mnaweza kudhani ni Wenje pekee ndiye msanii sanii kwenye kile Chama jambo ambalo si kweli kabisa. Yupo mdau mwenzake kwenye uga huo al-maarufu kwa majina Joseph Mbilinya a.k.a Sugu. Mwamba huyo maisha yake yote si ya uhalisia hata kidogo pale Chadema. Muda wote yeye ni mnafiki na mfitini...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Haya mazungumzo ndio ya kumkamata Slaa?!! Mbowe kweli anapewa msaada na dola kubaki CHADEMA?!! Mbowe aaminiwe ama amegeuka kua dalali wa watawala?!

    MODERATORS: Tafadhali msiunganishe Uzi huu kwani una umuhimu,unatoa insights kadhaa za miaka mitatu nyuma na yajayo. Kwa mustakabali mpana wa yanayojiri kwa Slaa,Mbowe,Lissu na CHADEMA kwa sasa,nakuomba ungana nami kwa dakika chache tutafakari na kuamua baada ya kusoma,kutazama na kusikiza...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Watu wa 'Msaada Kontena Oysterbay' wanautolea macho mno huu Uchaguzi wa CHADEMA?

    au Uchaguzi huu wa CHADEMA ni sehemu ya Utendaji wao (kwa Kipaumbele) na kwamba yale mengineyo ya Kimsingi kwa sasa si Kipaumbele chao?
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA bado haijakomaa kidemokrasia, mioyo na fikra za baadhi ya wagombea uongozi wa kitaifa

    Ni wazi ukomavu wa kisiasa na kidemokrasia ndani chama cha demokrasia na maendeleo chadema, miongoni mwa wanaogombea uongozi wa kitaifa, wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa wanachama na mashabiki bado haijapevuka vizuri mioyoni na kwenye fikra zao. Shari inayombatana na masharti juu ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kama tutakuwa wakweli, Dk Slaa ana jema na nini kwa Chadema mbali na yule anayempigia kampeni na upatu?

    Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA aliyejirejesha CCM na kupewa ubalozi kabla ya kuenguliwa na Samia Suluhu Hassan, Dk Wilbrod Slaa alisikika akijifanya kukipenda CHADEMA hadi kutaka kushiriki kupiga kampeni kwenye uchaguzi wake. Je ana nini au alisahau nini CHADEMA? Inawezekana mwana CCM kama Slaa...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inasemekana baadhi ya Maaskofu wachukizwa na Padre Kitima kufanya Vikao vya Siri na CHADEMA

    Wakuu Inaelezwa kuwa baadhi ya Maaskofu wa Kanisa Katoliki hapa nchini wamemvaa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) Padre Dkt. Charles Kitima, na kumtaka kujitokeza kufafanua ni kwanini amekua akiendesha vikao vya siri vya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bila kuutarifu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kweli Dr Slaa anaipenda CHADEMA?

    Kwa namna za siasa za Dr Slaa na vile ambavyo akizungumza kuhusu CHADEMA. Je ni kweli anaipenda CHADEMA?
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni muhimu sana mzee Wilbroad Peter Slaa awekwe korokoroni hadi baada ya uchaguzi wa CHADEMA taifa kumalizika

    Tabia yake ya kuzusha na kuongopa mambo mbalimbali dhidi ya serikali sikivu ya CCM, dhidi ya viongozi wa CHADEMA Taifa na dhidi viongozi mbalimbali wa umma, wa vyama vya siasa n watu binafsi kupitia mitandao ya kijamii. Kwanza ni hatari kwa usalama wake mwenyewe, lakini pia sio ustaarabu bali...
  19. JamiiForums Tanzania Ya Kikwete na Mkapa wa 1995, kujirudia Chadema 2025?

    Wakuu salam, Wakati huko mitandaoni watu wanataka kuuwana na kuchukia wengine, siku zote wanasiasa ni wale wale Kwa miaka takribani 30 sasa, Chadema inaenda ku set a very new political pathway kwa vyama vyote vya upinzani kufuata.. Nawashangaa sana vijana wanaopasuana kwa matusi mitandaoni...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 PICHA: Mbowe, Lissu walivyokutana uso kwa uso kwenye Kikao cha Kamati Kuu Chadema

    Wakuu Vipi tusiamini vicheko😀? == Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwa na Makamu mwenyekiti wake, Tundu Lissu wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kinachoendelea makao makuu ya chama hicho, Mikocheni Dar es Salaam, leo Ijumaa, Januari 10, 2025...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…