chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pambalu: Tuachane na Wasira tupambane na Samia

    Wakuu, Kunazidi kuchangamka! === Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA (BAVICHA) taifa, John Pambalu amewashauri wanachama wa chama hicho kuacha kupambana kisiasa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira kwa kudai...
  2. upupu255

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Jambo TV wamechapisha taarifa ikisema 'Maria Sarungi aitelekeza CHADEMA na hayuko tayari kuichangia kutokana na mgawanyiko

    Wakuu nimekutana na hii taarifa mtandaoni kwenye magroup ya facebook. Je, ni ya kweli? === 𝗠𝗔𝗥𝗜𝗔 𝗦𝗔𝗥𝗨𝗡𝗚𝗜 𝗔𝗧𝗢𝗔 𝗧𝗔𝗠𝗞𝗢 𝗞𝗔𝗟𝗜 𝗖𝗛𝗔𝗗𝗘𝗠𝗔 Mwanaharakati Maria Sarungi ameweka wazi msimamo wake kuhusu CHADEMA, akieleza kuwa kwa hivi sasa hayupo tayari kukichangia chama hicho. Ameeleza kuwa sababu kuu...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chacha Heche: CHADEMA hakuna vibaka wala sio kweli chama hicho kilikuwa kinachukua vijana kutoka Tarime na kwenda kuwatumia kufanya fujo

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara Chacha Heche amesema katika chama hicho hakuna vibaka wala sio kweli chama hicho kilikuwa kinachukua vijana kutoka Tarime na kwenda kuwatumia kufanya fujo kama mamluki (Mercenaries). Soma Pia: Wasira: CHADEMA wakitaka...
  4. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA walipaswa wawe wameshaanza mchakato wa kumpata Mgombea Urais

    Binafsi naamini kampeni zinapaswa kuanzwa mapema kwa jambo lolote lile kama nia ni kushinda. CCM wameshateua mgombea Urais tayari japo sijui kama sheria ya uchaguzi inawaruhusu kafanya hivyo kabla ya ratiba na tangazo la uchaguzi kutoka tume. Chadema mpaka sasa haijulikani mgombea ni nani...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini niwaamini chadema na sio Act. Chauma, na Nccr mageuzi?

    Nani kawahi kumsikia Lissu au Heche kuzungumzia maswala ya jamii? Wao kutwa kuzungumzia uchaguzi, kubishana na Wasira. Lkn kuhusu nini watafanya katika sera za elimu, afya, miundo mbinu sijawahi kuwasikia. Angalau Act , nccr wao huzungumzia hilo.
  6. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hatimaye! Lissu na CHADEMA wafanikiwa kuwashika CCM pabaya!

    Kuendekeza njaa na maslahi binafsi kwa wana CCM kumekifanya chama hicho kuwa kwenye wakati mgumu sana kupingana na hoja ya CHADEMA na Lissu kuwa No Reform No Election. Utafiti wangu umeonesha kuwa suala la No Reform No Election lilitangazwa na CHADEMA linawapa wakati mgumu sana CCM kwa sababu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania CCM ni kama Wasira na Chadema ni kama Heche

    CCM ni kama Wasira chama kilicho zeeka lakini kinafikiri bado ni kijana. Chama kilichojisahau na kufikia wakati sasa wanaona hata chaguzi sio lazima kama una Polisi na Usalama. Chama ambacho kinafikiri vijana wote ni wasanii! yaani wakiweka wasanii machawa watapata support. Chadema ni kama...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Tundu Lisu ni nzuri sana ila wamekosea timing. Alipaswa aanze na nini CHADEMA inatamani kuifanyia nchi hii ikishinda Uchaguzi!

    Kwa Aina ya wananchi TULIONAYO watanzania wenzetu inahitajika mikakati na mbinu Kali mno ili wakuunge mkono Moja Kwa hutuba ya kwanza ya mkiti ilipaswa aanze kuelezea maono ya Chadema ya Muda mrefu juu ya nchi yetu na matamanio yao kwa wananchi Pili haikuwepo haja ya kuanza kuchumbua masuala...
  9. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Lissu chama kinamshinda mapema sana. Chadema haieleweki inafanya nini

    Uongozi ni kalama na zawadi hii anaigawa mwenyezi Mungu pekee. Lissu alitumia nguvu, matusi, kejeli, dhiaka na kila aina ya uchafu ili awe mwenyekiti wa Chadema. Alipata alichokitaka. Amekuwa mwenyekiti ila hakuna jipya analofanya. Tuliambiwa tumpe muda anaenda chimbo akirudi nchi itasimama...
  10. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ya LISSU na HECHE ijizuie Mikutano yake kuwa mikutano ya kutangaza Injili

    Kuna jambo linafanyika katika mikutano ya CHADEMA ambalo kama CHADEMA haitolifanyia kazi litageuka msumari wa kisiasa kwa chama hicho. Ninatambua kuwa CHADEMA siku hizi imekuwa ikiweka viongozi wa dini mbele katika mikutano yao. Lakini kitendo cha kuleta wachungaji na kuanza kuhutubia...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ester Bulaya: Lissu ana uwezo wa kutufikisha kwenye Demokrasia ya kweli. Apongeza CHADEMA kwa Uchaguzi Uhuru na Haki Bungeni Dodoma

    Wakuu Mbunge wa Viti maalum, Ester Bulaya amekipongeza chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe na Mwenyekiti mpya Tundu Lissu kwa Uchaguzi Uhuru na Haki akiwa Bungeni. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Msanii aimba 'CHADEMA unaishindaje', wimbo wa Harmonize kwenye mapokezi ya John Heche

    Msanii aimba remix ya wimbo wa Harmonize kwa kweka mistari ya "CHADEMA unaishindaje, kwenye mapokezi ya John Heche nyumbani kwao Tarime
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Rais Samia aliita vyama vya Siasa, CHADEMA hawakuja kwenye maridhiano

    "Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani aliita vyama kule Dodoma na nchi hii ina vyama 19 vilihudhuria vyama 18 kwenye huo mkutano. "Na Rais alikuwa akizungumzia kuhusu 4R maridhiano. Na katika vyama hivyo CHADEMA haikuwepo. "Na Rais akizungumzia kuwa na mfumo wa maridhiano ambao...
  14. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu anaipa ushindi CCM mapema sana

    Kwanza,kwenye chama chake tu kuna watu zaidi ya 40% hawamkubali,hiyo imethibitika kwenye uchaguzi mkuu wa chama,hata kama atapambana kuwarudisha, hutawarudisha wote.wengine atakua nao ila hawatakua upande wake abadani,na huo ndio ukweli akubali ukatae! Hoja ya kugomea uchaguzi na kutangaza...
  15. Abuka

    JamiiForums Tanzania LISSU na Msimamo wa CHADEMA, Je ni Faida au Hasara?

    1. Je, CHADEMA wanaweza kususia uchaguzi, NDIO, wanaweza kama chama lakini kwa sasa wametangaza hawatasusia uchaguzi, kwasababu waliwahi kuona madhara yake. Ukisusa wenzako wala 2. Je, CHADEMA wanaweza kuzuia Uchaguzi? HAPANA hiyo sio kazi yao, mwenye mamlaka ya kutangaza na kuhairisha uchaguzi...
  16. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mabeberu wanaisadia CCM au CHADEMA?

    Serikali ya Tanzania kwa sasa inaendeshwa na CCM. Kwa ivo kila jambo linalotendwa na serikali hapa nchini ni lazima iwe ni matokeo ya maelekezo ya CCM. Hivi karibuni Serikali ya Marekani chini ya uongozi wa Donald Trump imezuia misaada Kwa nchi mbali mbali duniani kupitia shirika lake la...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Tundu Lisu Leo imenifumbua macho kwanini Magufuli alitaka kumteua awe Mwanasheria Mkuu, Tundu Yuko Vizuri kichwani!

    Shujaa Magufuli 2020 akiwa Ikungi alikiri mbele ya Wazee wa Lisu kwamba alitamani sana kufanya kazi na kijana Wao lakini alikataa Leo Tundu Lisu alikuwa anapangikia maneno kama wale Wanasiasa nguli Wabobezi wa Sheria Nchini Kenya Kalonzo Musyoka na Prof Kindiki Mlale Unono Chadema 😄
  18. M

    JamiiForums Tanzania Chadema waanza omba omba

    Ktk account yake ya X, lema amewataka Watanzania kuchangia fedha chadema na kuweka account. My take. Walisema mbowe hakuandaa vianzio vya mapato na kufanya chama omba omba Leo hii mwezi tu chama kitandika bakuli la omba omba. Lissu kaanza kufeli mapema, omba omba imekuwa kubwa
  19. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania EAtv saa 1 kwanini mmepotosha maelezo ya mwenyekiti wa CHADEMA

    Kwenye taarifa ya habari ya leo saa 1 jioni ilikuwepo taarifa ya mwenyekiti wa Chadema kuhusu uchaguzi mkuu ujao, mhe. Lissu kwenye maelezo yake amesema Chadema haitasusia uchaguzi, lakini maandishi kuhusu maelezo yanasema Chadema itasusia uchaguzi! Upotoshaji huu ni kwa manufaa ya nani? EATV...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rasmi: CHADEMA imepevuka kustahili kupewa dola

    Hiki Chama ama kweli kimenivutia. Hiki chama kweli kimeshakuwa na sasa kinaonesha ni chama kinastahili kuwaongoza Watanzania. Walianza kwa kuwaonyesha Watanzania namna gani Uchaguzi huru na haki unapaswa kuwa kupitia uchaguzi wao wa Viongozi. Sasa Watanzania wote tunajua namna uchaguzi huru na...
Back
Top Bottom