chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: Katiba Mpya si jambo la mara moja, CHADEMA wanaangalia Uchaguzi tu

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema kuwa chama hicho kipo tayari kwa mchakato wa kupata Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Makalla ameyasema hayo siku ya Jumatano Machi 05, 2025 wakati akizungumza na...
  2. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri kwa CCM na CHADEMA kukaa meza moja kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao

    Kama Mwananchi na Raia wa Tanzania ninawashauri CCM na CHADEMA wakae meza moja na wajadiliane kuangalia yale mapungufu yanayoonekana kuelekea Uchaguzi Mkuu ili yafanyiwe marekebisho kama itawezekana. Pamoja na kusema kuwa uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa ni sawa lakini CHADEMA wanaweza...
  3. JamiiForums Tanzania Hii CHADEMA ya Dkt Slaa pale, huku Tundu Lissu kule Freeman Mbowe pale John Heche na John Mnyika katikati Godbless Lemma CCM kwisha kabisa

    Kama Kuna mziki CCM itapitia tangu kuanza kwa vyama vingi basi ni huu wa CHADEMA ya sasa. Najaribu kufikiria kama watakuwa na chopa tatu na wakawa na root tatu zitakazoongozwa na Dkt Slaa, Lissu, Mbowe na Heche naamini hii No reform No Election itakuwa ni kama kusukuma mlevi.
  4. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Lissu amesema wahariri walipewa fedha kuiharibia CHADEMA uchaguzi

    Wakuu wa JamiiCheck ni kweli Lissu amesema wahariri walipewa fedha kuiharibia CHADEMA uchaguzi?
  5. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA hoja yenu iwe ni kuzuia wizi wa kura na siyo kuzuia uchaguzi

    Kwa jinsi ninavyoiona hoja ya CHADEMA ya no reform no election haija kaa vizuri inalenga kukiua chama moja kwa moja. Hoja ambayo ni practical na ingekuwa na mashiko ni kuelemisha wananchi wazuie wizi wa kura kwa namna yoyote ile. kuzuia uchaguzi ni kujindaganya ni bora CHADEMA washiriki lakini...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Wakurugenzi hawatasimamia Uchaguzi, ahoji hofu ya CHADEMA kuhusu Uchaguzi licha ya marekebisho ya mfumo

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, Amos Makalla ameshangaa hofu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kutotaka kushiriki uchaguzi mkuu kwa madai ya kufanyika mabadilko wakati Serikali imeshafanya marekebisho...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Slaa: Wananchi watazuia Uchaguzi, CHADEMA ni mhamasishaji tu!

    Mwanasiasa mkongwe na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbrod Slaa, ametoa ufafanuzi kuhusu kauli ya No Reform, No Election, akisema kuwa si msimamo wa CHADEMA kususia uchaguzi bali kuzuia uchaguzi, na ni wananchi wenyewe ndio watakaoongoza zoezi...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Tundu Lissu ameingia kuiua CHADEMA, Chama kinaenda kuvunjika

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, ameyasema hayo leo katika Mkutano wa viongozi wa chama na jumuiya ngazi ya shina, Tawi, Kata na Wilaya, Ambapo amewataka watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bora Uenyekiti wa Mbowe, Lissu bado hajajua watanzania wanataka nini. Mpango wake wa kustopisha Uchaguzi unaenda kuangukia pua!

    Mimi nilikuwa ni pro Lissu alipokuwa anapambana na FAM Lakini kusema ukweli so far sijaona kipya. Juzi nilikuwa namsikiliza akizungumzia njia atakazotumia kustopisha Uchaguzi. Lissu bado anaamini kwenye MAANDAMANO na CIVIL DISOBIDIENCE, vitu ambavyo wabongo hawako tayari kufanya kwa sasa kwa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 No refom No election inawapelekesha sana CCM, Makalla anadai CHADEMA imeanza kushindwa kabla ya uchaguzi mkuu

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba uchaguzi hautafanyika bila mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi. Akizungumza siku ya...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema chini ya Lissu tumieni nguvu hiyo kukiimalisha CHAMA kuliko kutumia kuzuia uchaguzi.

    Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku. Chadema mpya hongereni na harakati za kuleta mabadiliko ya kikatiba kwa Tanzania. Tumeona nia yenu ni njema sana ktk kuleta na kupigania haki ndani ya nchi yetu." Hoja hii ya No reform No election" ipo vzr sana, lakini kwa maoni yangu , ni...
  12. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakati CHADEMA wakiendelea na no reform no election, UVVCM wanasema uchaguzi wa mwaka huu utakuwa ni pigo la "Radi" kwa wapinzani

    Wakuu anayejua pigo la radi aje atuelezee linavyokuwa, ili tupate picha ya kitakachotokea hiyo October. === Mjumbe wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Victor Makundi amesema ushindi wa chama hicho katika uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu utakua pigo la...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti BAVICHA, Deogratius Mahinyila anatoa tamko muda huu sakata la Utekaji nchini

    Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Deogratius Mahinyila anazungumza na Vyombo vya Habari muda huu akizungumzia sakata la utekaji nchini huku akianza kueleza namna ambavyo Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, alivyotekwa na kupotea tangu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema awataka watu kuendelea kuchangia tone tone hata kama wanakutana na changamoto, asema mwisho wa uhuni umekaribia

    "Msikate TAMAA kabisa , endeleeni kutuma pesa hata kama mnakutana na changamoto kama hizi. Mwisho wa uhuni umekaribia sana." - Godbless Lema Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maswali yangu kwa Wanaosema No Reform No Election haitafanikiwa

    Nawaona CCM na vibaraka wao wanapiga kelele sana kudai No Reform No Election haitafanikiwa kwa sababu vyovyote vile hakuna Watanzania watakaoweza kuwaunga mkono CHADEMA. Kelele hizi zinapigwa ili kwanza kuwakebehi Chadema na kuendeleza Propaganda za kuwarubuni Watanzania ili waendelee kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwandishi wa habari, Khalifa Said: Hakuna dalili yoyote inayoashiria kuwa CHADEMA kweli watazuia uchaguzi usifanyike

    Kwa mujibu wa Khalifa, hakuna dalili yoyote inayoashiria kuwa CHADEMA kweli kuzuia uchaguzi usifanyike, wala hakuna dalili za mageuzi yoyote kufanyika kabla ya uchaguzi. Ameeleza kuwa njia pekee ambayo kauli mbiu hiyo inaweza kuwa na maana ni ikiwa itachukuliwa kama mzaha. Khalifa anahoji kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yakusanya zaidi ya Milioni 64 kupitia kampeni ya Tone Tone

    Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 03 Machi 2025, Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam ametoa taarifa ya kiasi kilichokusanywa tangu kuzinduliwa kwa mkakati maalum wa TONE TONE uliolenga kushirikisha umma kukichangia Chama, ambapo mpaka...
  18. JamiiForums Tanzania Migongano ya ndani; Kwanini CHADEMA hawashtukii huu hili janga?

    Natamani kuona CHADEMA ambayo hata ikikumbana na mitikisiko, watu wanatafuta suluhu ndani kwa ndani bila kuvurugana wala bila kurudisha harakati nyuma sabab watu ambao kwakawaida huondoka chadema husababisha kupotea kwa credibility ya chama na kurudisha nyuma harakati za chama. Mimi ni kada wa...
  19. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi ndio tuseme Wahariri wanaamini Tanzania hakuna ‘Electoral fraud’?

    Nimejikuta nimemuonea huruma Tundu Lissu. Huruma ni sifa na silka ambazo binadamu hajifunzi. Nilistudy body language ya Lissu kabla na baada ya kupata reaction asiyotarajia kutoka kwa Wahariri. Wahariri wamemwangusha sana Lissu especially Deodatus Balile. Wahariri wa Tanzania sijui mnahariri...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 No reform no election Kauli mbiu inayothibitisha kuwa Chadema ya Mbowe sio sawa na Chairman Lissu. Lissu yupo kwa maslahi ya taifa

    Haina ubishi. Mfumo wa uchaguzi wa Tanzania upo kwa ajili ya kuhakikisha CCM inabaki madarakani. Hata Anthony Diallo aliyewahi kuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza alishathibitisha. Nape ndio aliweka wazi kabisa. Sasa kwa nini mabadiliko yasifanyike ili tupate Chama ambacho kitawakomboa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…