chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuihoji CHADEMA kuhusu No reforms No election ni Akili ndogo

    Wakati mwingine kwenye hii nchi watu wanaoongoza kufanya vituko vinavyokataliwa kimantiki na Sheria ni wanasheria, tena wanasheria wabobevu. Sasa msajili wa vyama vya siasa kuwaita CHADEMA kuwahoji kuhusu kauli mbiu Yao ya No reforms No Election siyo matumizi mabaya ya muda kweli? Soma Pia...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini unahisi umetapeliwa pesa yako uliyoitafuta kwa tabu sana kwenye kampeni ya tone tone ya CHADEMA?

    Umegundua nini hata ukaamua kusita na kutoendelea kabisa kuchangia mpango huo wa chadema wa tone tone? ni kwasababu ya kufichwa kwa taarifa za makusanyo? au ni kwasababu ya matumizi makubwa ya kificho ya fedha za chama kwa viongozi waandamizi wapya chadema taifa? Je, ni kwasababu umeona...
  3. JamiiForums Tanzania Maulidi Kitenge , anatumika na CCM kufifisha harakati za upinzani , angalia anavyoripoti habari zinazohusu CCM na CHADEMA

    Hii Taarifa ya huyu diwani kuhama Ccm na kujiuzulu angalia anavyo andika. Ushauri endelea Ku-deal na michezo simba na yanga achana na siasa
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yafikisha No Reform No Election kwa Msajili wa Vyama vya Siasa Francis Mutungi

    Habari kutoka CHADEMA zinaeleza kwamba Mkakati wa No Reform No Election utamfikia kila mlengwa kabla ya hatua ngumu zaidi huko mbele, lengo la kumfikishia kila Mhusika jambo hili ni kujiepusha na lawama iwapo yatatokea mambo manene huko mbele, hakuna yeyote atayesema hakuambiwa. Kupata matukio...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 SAU: CHADEMA, ACT Wazalendo wanatukwamisha na kutuchelewesha katika safari yetu ya kuingia ikulu

    Katibu mkuu wa chama cha sauti ya umma (SAU) ndugu MAJALIO KYARA, akiwa katika kipindi cha front page cha global tv amesema kuna vyama vinasababisha watanzania tuchelewe kufika katika nchi ya ahadi nchi ya maziwa na asali --- Chama cha Sauti ya Umma (SAU) kupitia Katibu Mkuu wake, Majaliwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ndolezi Petro wa ACT Wazalendo asema kuwa kuwakataza wananchi wasijiandikishe ni kampeni ya hovyo ya CDM kuwahi kutokea

    Waziri kivuli wa ofisi ya waziri mkuu- bunge, Sera, vijana, kazi na ajira, Kutokea ACT Wazalendo, Ndolezi Petro kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuwa uamuzi uliotolewa na Mwenyekiti wa Chadema Ubungo wa kuwazuia wananchi kujiandikikisha kwenye daftari la uchaguzi kuwa ni kampeni ya hovyo ya...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwasababu ya ukata wa fedha inaoupitia, CHADEMA haiaminiki tena kwa wanachama wake na imepotea kabisa kwenye medani ya siasa Tanzania

    Kwakua CHADEMA haiaminiki tena kwa wanachama wake na wananchi kwa ujumla, na kwakua chadema ndiyo chama cha siasa Tanazania, kinacho ongoza kwa kuomba kuchangiwa pesa za matumizi kwajili ya viongozi wake waandamizi na matumizi mengine ya ofisi, Kwa kutumia mifano halisi, elezea faida na umuhimu...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Ubungo: Wananchi wasijiandikishe kupiga kura Dar Es Salaam

    “Nape yalimtoka yaliyokuwa moyoni akizungumza kwamba kushinda inategemea nani anayetangaza yule ni kijana wa kwenye chama kile kwa muda mwingi sana kwa hiyo kwa vyovyote ni vyema tukamsikiliza. Ikiwa hivyo kwamba mapenzi ya yule anayetanganza ndiyo uamuzi, wananchi wana haja gani ya kuja...
  9. JamiiForums Tanzania Kama mmeshindwa kupambana wafuasi wenu warudishwe au wasitekwe kabisa hizi ngonjera za kuizia uchaguzi achaneni nazo CHADEMA

    Siasa za kipuuzi na zi kilaghai hazina maana hata kidogo. Wewe kama chama cha upinzani Chadema hakuna jitihada za dhati za kweli kupambana na kufa ili vijana wenu warudi au wasitekwe lakini mnakuja na blah blah za kuzuia uchaguzi ujue huu ni ujinga mkubwa. Hivi siku huyo Soka kwa mfano kama...
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA haina budi kumtumia Emanuel Nchimbi ili kuboost kampeni yao ya kidigitali ya Tone Tone

    Kwasababu ni zaidi ya wiki sasa chadema inawachangisha wanachadema na wananchi Tanzania nzima na makusanyo hayajazidi million 65, wakati Dr Emanuel Nchimbi, kwa siku moja tu, tena chini ya masaa ma3, halafu ni kwa watu wachache tu, amefanikisha kuchangwa kwa milioni zaidi ya 950, kwajili ya...
  11. JamiiForums Tanzania Orania, Afrika Kusini: Kielelezo sahihi namna Ubinafsi, Rushwa na Siasa chafu zinavyoathili Maendeleo ya Waafrika na Usahihi wa sera za CHADEMA

    Amani iwe nanyi Wanabodi. Kila siku huwa nasema, mchawi katika maendeleo ya kweli kwa mwafrika ni akili. Sio rasilimali wala nguvukazi. Kati ya vitu ambavyo siku nikifika mbinguni nitakuja kumuuliza Mungu nikipata nafasi ni swali " Aliweka nini kwenye akili ya Mwafrika ikiwemo sisi Watanzania...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA mnahitaji tangazo jipya bora la TONE TONE, hili la sasa halitafika mbali

    Tangazo la TONE TONE la CHADEMA la sasa linaonyesha zaidi ufahari na lenye kuwakilisha mazingira ya tabaka la mjini na kishua zaidi. CHADEMA, halina msisitizo na msisimko wa wale mnayopigania au kuhitaji kutoka kwa jamii kama chama.
  13. JamiiForums Tanzania Changia CHADEMA TONE TONE. Nimo, umo, tumo

    Changia CHADEMA TONE TONE. Nimo, umo, tumo Tone tone Changia Chadema, 0744446969 Chadema HQ
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: Kupitia Tone tone kutapunguza utegemezi wa Ruzuku

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Godbless Lema na Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya fedha ya chama hicho amesema endapo wanachama na wadau wakikichangia chama hicho kwa wingi kwa kiasi walichonacho kwani fedha hizo zitakisaidia chama hicho kufanya kazi zake na kuwafikia...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: CCM hamtatuzuia kwenye kusudi ambalo lipo mbele yetu (Tone tone)

    CHADEMA muda huu wanzungumzia kampeni ya Tone tone namna inavyoendelea hadi sasa Updates... Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Godbless Lema na Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya fedha ya chama hicho amesema endapo wanachama na wadau wakikichangia chama hicho kwa wingi kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Chadema: Badili sera ya "no reform no election".

    Sera ya no reform no election inawaoeleka shimoni. Fanyeni vitu vyo lakini maneno hayo hayaeleweki hata nie wenyeqe chadema mnashindwa kuyafafanua vema. Yaondoeni kwenye sera zenu.
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA yatambulisha sare mpya ya Chama nchini Marekani

    Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa na ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho, Joseph Mbilinyi, Ametambulisha sare mpya za Chama hicho Nchini Marekani. Taarifa zinadokeza kwamba Mzigo huo mpya wa Chadema wenye nembo ya STRONGER TOGETHER umetengenezwa Nchi humo kwa quality za Kinyamwezi...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi CHADEMA zaidi ya kujitenga, kuandamana na kususia michakato ya kidemokrasia, inaweza kufanya nini cha maana zaidi?

    Pamoja na kujitenga, kuandamana na kususia michakato ya kidemokrasia, CHADEMA haijawahi kufanikiwa kubadili hali au uelekeo wa siasa za Tanzania, walau hata kuchochea mabadiliko yoyote yenye tija au ya maana kisheria au kisiasa kwa maslahi mapana ya waTanzania wote ispokua binafsi ya viongozi...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Chadema inahujumiwa na vijana wanaowalea na kuwachekea; Fukuzeni hao watu kwenye chama

    Chadema siyo taasisi ya kidinini bali ni chama cha kisiasa! Chama cha kisiasa kina sera na itikadi! Kuna vijana hapo chadema wanajiona wameshaota masharubu kiasi cha kuzarau uongozi wa chama hata kushindwa kufuata miiko ya chama! Hao watu hawafai kabisa kubakia wanachama chadema! Kama...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joseph Selasini: Hatususii uchaguzi, muda uliobaki hautoshi kufanya mabadiliko

    Wakuu, Panazidi kuchangamka huko, Baadhi ya vyama vya siasa nchini vimesema haviko tayari kususia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu kwa kigezo cha marekebisho ya katiba mpya. Haya yamebainishwa mkoani Morogoro na Makamu Mwenyekiti Taifa Chama cha NCCR Mageuzi Joseph...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…