Nimemsikia Heche analalamika kuhusu jitihada za kuiua CHADEMA kuweni proactive badala ya kuwa reactive lakini pia wekeni mpango mkakati wa kuivusha CHADEMA kwenye mawimbi na kubaki na nguvu yake.
Fanyeni SWOT anlaysis. TEHAMA na TEAM WORK ni silaha KUBWA sana
Mambo yanayondelea CHADEMA inawezekana yakaonekana mageni machoni mwa watu wengi
CHADEMA ina vita mbili, vita ya kwanza kati ya CDM ya sasa na iliyopita
CDM ya sasa imeshindwa kuvaana na iliyopita nadhani sababu kubwa ni maslahi ya Chama na Nchi
Vita hii ingeweza kuisha kwa njia tatu, ya...
Huku CHADEMA vs CCM, Kule Ibraah vs Harmonize, wadaku huu ni muda wa kujilia vyenu, nina hakika mapipa yenu yatajaa habari za kuwafikisha mpaka mwakani
Ebana Ibraah anadai kidogo Harmonize ambutue na mkonge wake alipomuita Chumbani
Katibu wa Itikadi, Uenezi na mafunzo wa CCM, Amos Makalla wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi katika Uwanja wa Maulid ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake katika mikoa ya Lindi na Mtwara, amesema;
"Mko tayari kwa uchaguzi...Niwaombe muda utakapofika mkiunge mkono...
Mimi nilikuwa ni pro Lissu alipokuwa anapambana na FAM
Lakini kusema ukweli so far sijaona kipya.
Juzi nilikuwa namsikiliza akizungumzia njia atakazotumia kustopisha Uchaguzi. Lissu bado anaamini kwenye MAANDAMANO na CIVIL DISOBIDIENCE, vitu ambavyo wabongo hawako tayari kufanya kwa sasa kwa...
..kwa kweli CCM hawawezi kabisa kukabiliana na wapinzani kwa hoja.
..kama uv-ccm ndio hawa basi taifa letu linaelekea siko.
https://www.youtube.com/watch?v=PFxl6jTnFzE
CCM vs CHADEMA.
Picha ipi hasa imeelekea kuongoza nchi kwa amani. Utulivu?
CCM wamekalia hasa kiongozi uongozi, picha inajieleza, pia hekima na busara uongozi wa CCM
CHADEMA ya Lissu imeelekea uharakati harakati zaidi na kukosoa kosoa.
Katika suala la kujenga amani nchi yetu CHADEMA ya Lissu...
Wengi hawajui Kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM wa sasa, Stephen Wassira aliwahi kuhamia NCCR Mageuzi ilikuwa u-Star
Masumbuko Lamwai akahamia CCM ulikuwa u-Star
Juliana Shonza akahamia CCM ulikuwa u-Star
Mrema akahamia NCCR Mageuzi ulikuwa u-Star
Funga KAZI Laigwanan Lowassa akahamia CHADEMA...
Mimi si mpenzi wa kuongea au kuandika mambo bila hata kufanya utafiti kidogo.
Ukweli ni kwamba mwaka huu, CCM imepoteza mvuto kwa kiwango kikubwa, na sijawahi kushuhudia hali kama hii hapo kabla. Angalia hata umaarufu wa matukio haya mawili: uteuzi wa Mwenyekiti wa CCM pale Dodoma na uchaguzi...
Chama cha Mapinduzi ni chama chenye mikakati, nguvu, uwezo na mipango mingi mnooo, kama kuna mtu anajidanganya kuwa fulani akishinda uenyekiti ndani ya CHADEMA mtakuja kushika dola, ni ujinga wa kiwango cha kimataifa.
Tena mimi natamani sana Lissu, Heche na Lema ndio wawe viongozi wake ili...
Ukiwasikiliza Chadema wayasemayo vinywani mwao unaweza kudhani wana angalau chochote cha kuifanya CCM kumbe wapi.
Chadema yao matamko, maandamano na mwisho wa yote huishia Ikulu kuhongwa juice na biscuits kama vitoto vya chekechekea vile.
Ukweli ni kwamba kwa namna yeyote ile Chadema kwa CCM...
Baada ya tamko la Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe kuhusu maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kuitisha maandamano ya amani tarehe 24 Januari, 2024 Jijini Dar Es salaam, ameibuka Katibu wa itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi na kutoa kauli potofu dhidi ya Maazimio ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.