chadema kutoshiriki uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    PostGE2025 Said Mohamed: CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi Mkuu imejikwamisha kisiasa, viongozi waliokuwa na ndoto na matarajio wameondoka kwenye chama

    Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Said Issa Mohamed akiongea na Waandishi wa Habari, leo Machi 5 akizungumzia mazingira ya kisiasa nchini ameeleza kuwa kitendo cha CHADEMA kutoshiriki uchaguzi mkuu kimepelekea chama kujikwamisha, kwani ili chama...
  2. Mafyangula

    PostGE2025 Dkt. Bashiru: CHADEMA kutoshiriki uchaguzi umechangia kwa kiasi kikubwa Samia kupata ushindi mnono

    Jamani njooni msikilize Bashiru! Kwa mimi nilivyomuelewa kwamba CHADEMA ndio mbabe wao ndio maana CCM imeshinda kwa kishindo!. Ila kajisahau kwamba uchaguzi uliharibika sana! hizo kura za kushinda kishindo zilitoka wapi? ==================== Katibu Mkuu mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt...
  3. R

    GE2025 Wenje: CHADEMA kutoshiriki uchaguzi ni hofu ya kushindwa

    Kuhama tu Chama ndo anaanza kutoa na taarifa kuhusu mikakati ya CHADEMA hadharani ----------- Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Victoria, Mbunge Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho Ezekia Dibogo Wenje ametangaza kukihama Chama hicho na kujiunga...
  4. W

    SI KWELI PreGE2025 Sugu asema uamuzi wa CHADEMA kutoshiriki uchaguzi mwaka 2025 ni wa watu wachache sio wa chama

    Wakuu hii ni kweli?
  5. Komeo Lachuma

    GE2025 Moja ya impacts za CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi zaanza kuonekana sasa

    Chadema ndo ilikuwa inatia wagombea hofu wa vyama vingine.kwa kutokushiriki sasa imefungulia kila mtu ambaye anajua atagombea kupitia CCM atashinda bila wasiwasi. Na wakati huo huo vyama vingine vya upinzani vinaona hii ni nafasi ya wao kuweza pata wabunge kwa kuwa ni wazi kuna majimbo ambayo...
  6. Cute Wife

    PreGE2025 Askofu Severine Niwemugizi: Chama kutoshiriki kwenye uchaguzi siyo mwisho. Wapo waliopigwa marufuku wakaja kuingia madarakani

    Historia inaonesha wanaokandamizwa kama hivi huja kuibuka na kuwa washindi.... upepo unaonesha nini kwa Tanzania? ==== Anaandika Mhashamu Askofu Severine Niwemugizi, Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara Wanaofikiri kutoshiriki kwa Chama kwenye uchaguzi ndiyo mwisho wake wajiulize...
  7. GENTAMYCINE

    PreGE2025 CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi Mkuu ujao ni Pigo Takatifu la Kisiasa kwao, ila ni Ishara kuwa kuna Mpasuko na pia hawana Washauri wazuri

    GENTAMYCINE nilidhani baada ya Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti Taifa basi asingeacha kuwa karibu na aliyemshinda Freeman Mbowe. Yawezekana kabisa kuwa Tundu Lissu alimhitaji zaidi Mbowe na baadhi ya Watu kwa Ushauri thabiti ndani ya Chama cha CHADEMA na Uhai wake. Kwa Kitendo cha CHADEMA...
  8. peno hasegawa

    PreGE2025 Vyama vya upinzani kama chadema ,kutokuwepo kwenye uchaguzi kuna athari nyingi, ambazo zinaweza kuwa na matokeo makubwa kwa mfumo wa kisiasa na jamii

    Vyama vya upinzani kutokuwepo kwenye uchaguzi kuna athari nyingi, ambazo zinaweza kuwa na matokeo makubwa kwa mfumo wa kisiasa na jamii kwa ujumla. 1. Kuimarisha Tawala za Kidemokrasia - Udikteta: Kukosekana kwa upinzani kunaweza kupelekea kuimarika kwa utawala wa kidikteta, ambapo chama...
  9. Mathias Byabato

    PreGE2025 Chadema kutoshiriki Uchaguzi, hasara kwa CCM, Tume na jamii hizi hapa

    Na:Mathias Byabato Binafsi uwa siandiki sana kuhusu mambo ya siasa. Leo nimeona nisaidie muktadha kadri ya uelewa wangu. Kwa watu wanaojua mantiki na umuhimu demokrasia katika taifa lolote wanajua hasara kadhaa zitazojitokeza iwapo itasalia hivi hivi Kwa chadema kutoshiriki uchaguzi wowote 2025...
  10. LIKUD

    PreGE2025 Side effect za CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi (Kufeli kwa Campaign ya No Reform No Reaction lawama zangu nazitupa kwa Intelligence ya chama)

    Duniani hakuna kitu ambacho hakina side effects. Mlevi mmoja huko nchini Uingereza, aliejulikana kwa jina la Isack Newton, siku moja baada ya kumaliza kufanya masterbation, alitamka maneno yafuatayo:👇👇 " To every action there is an equal and opposite reaction ". Na hii ndio wasomi wa...
  11. P

    Ni nini mateokeo ya chadema kutoshiriki uchaguzi mwaka huu?

    Chama kikuu cha upinzani, Chadema bado kinaendelea kusimamia ajenda yao ya No reforms, No elections ambayo ina lengo la kuitaka serikali kufanya mabadiriko kwenye sera na kanuni za uchaguzi mkuu. Vyama vya upinzani vimekuwa vikilalamikia sera ya uchaguzi kutotoa uwanja sawa kwa vyama vyote...
  12. ChoiceVariable

    PreGE2025 Lema: CHADEMA itawatimua watia nia ambao Wataenda kinyume na msimamo wa chama wa kutoshiriki uchaguzi kama hakuna mabadiliko

    My Take Muda utaamua ngoja tuone --- Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesisitiza kuwa ajenda kuu ya chama hicho kwa sasa ni kuhakikisha kunakuwa na mabadiliko ya sheria na kanuni za uchaguzi kabla ya kushiriki chaguzi zozote. Akizungumza...
Back
Top Bottom