chadema 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. upupu255

    SI KWELI PreGE2025 Millard Ayo amechapisha taarifa ikisema "CHADEMA iko kipindi cha kupotea kisiasa"

  2. Singo Batan

    Wakenya punguzeni kiherehere

    Siku chache zilizopita nilikuwa na fikra za kuwaona Wakenya kama ni ndugu wa Watanzania. Lakini nimebaini nyie sio ndugu wala hatupaswi kuambatana nanyi abadani. Tanzania ni Jamhuri inayojitegemea na ina utaratibu wake wa kujiongoza. Hatuna unasaba wa kupeana maelekezo ya nini tufanye kwa tamaa...
  3. Mindyou

    PreGE2025 CHADEMA Kanda ya Magharibi: No Reforms No Election imetupelekea kuwajua wahuni wote waliokuwa madalali ndani ya chama

    Wakuu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Magharibi kimetoa msimamo wao wa kuendelea kusimamia ajenda ya chama hicho ya kuzuia uchaguzi endapo hakutakuwa na mabadiliko ya kisheria wanayoamini yatawezesha uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba kuwa huru na haki.
  4. MAHANJU

    CHAUMMA(G-55) Vs CHADEMA 2025, nani ataaminiwa na Umma Zaidi?

    Habari wanabodi! Binafsi napenda kuuliza swali moja dogo tu baada ya kuwasikiliza hawa wanaojiita G-55 wanaoondoka CHADEMA kwenda chama kipya ambacho inasadikika ni CHAUMA, hivi kuna Mtanzania ataacha kuangalia au kumsikiliza Tundu Lissu na John Heche akamsikilize John Mrema au Salum Mwalimu...
  5. BLACK MOVEMENT

    Ushauri kwa CHADEMA, wale wanao unga juhudi ambao ni viongozi wa either mkutano mkuu au Baraza kuu Taifa, wawe replaced faster, kuna move

    Kuna Move inachezwa hii ni zile move za Kikorea, Wanao jiondoa hasa wale wa Baraza kuu taifa au mkutano mkuu taifa lengo lake ni kutengeneza upungufu wa akidi, sasa sijajua kama wakina Mnyika au Heche walisha nyaka hilo. Kuna project ya kutengeneza upungufu wa akidi ya either Mkutano mkuu au...
  6. Just Pray

    PreGE2025 Julius Mwita aliyeondoka CHADEMA asema alikuwa anazuiwa kuingia ofisi ya Lissu, pia alikuwa hapendwi

    "Mwenyekiti wa sasa alisema ataishughulikia sekretarieti, na bahati nzuri watu waliamua kujishughulikia wenyewe na asilimia 90 ya wajumbe wa sekretarieti ya CHADEMA waliondoka wenyewe hawakufukuzwa, kwa mazingira yale unaishi katika kipindi hupendwi wala huthaminiki," - Julius Mwita aliyeondoka...
  7. Mindyou

    PreGE2025 Chama cha ADC chatangaza kupokea wanachama 30 kutoka CCM, ACT na CHADEMA

    Hivi kuna namna tunaweza tukawa tunajiridhisha na hizi statistics zinazotolewa na hivi vyama vya siasa? Yaani hapa tunapigwa mchana kweupe! Nani na akili zake timamu aache CCM, CHADEMA au ACT ahamie ADC? ===================== Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimepokea zaidi ya...
  8. Crocodiletooth

    Jinsi hali ilivyo, Tundu Lissu atakuwa kiongozi wa term moja tu CHADEMA

    Siwezi kuamini kama G-55, ndiyo wameondoka mazima hapana, G55 ipo mapumzikoni bila kupoteza status ya Chadema, wanangoja, wanasubiri anguko kuu, ukizingatia CHADEMA haiwezi kushiriki uchaguzi kwa namna yoyote Ile, I thought very soon itakuwa ban away, kufanya kampeni kwa chama ambacho...
  9. HenrysoN

    CHADEMA: Mbinu 10 za kimkakati za kuibua mageuzi ya kweli Tanzania – kwa Hekima, Busara, na Uswahiba na Wananchi

    Utangulizi. Katika mazingira ya sasa ya kisiasa nchini Tanzania, ambapo vyombo vya dola hutumika kudhibiti maandamano, vyombo vya habari vinakandamizwa, na wanasiasa wa upinzani hukumbwa na vitisho, utekaji na hata mauaji—ni muhimu sana kwa vyama vya upinzani, hasa CHADEMA, kuangalia upya mbinu...
  10. KakaKiiza

    Kuelekea Uchaguzi mpya 2025 CHADEMA itakuwa imegawanyika na ajabu mchakato upo kwa msajili wa vyama!!

    Wakuu hali si.......hali!! Kutokana vuta nikuvute iliyopo katika CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kwa sasa ni zao la uchaguzi mkuu uliofanyika hikaribuni ndani ya CHADEMA na Antipas Tundu Lisu kuibuka mshindi kwa kishindo na mbwaga mpinzani wake Ndugu Aikaeli Freeman Mboe kwa kishindo kikubwa...
  11. Waufukweni

    PreGE2025 UWT yashangaa ukimya wa BAWACHA sakata la mwenezi wao kushambuliwa

    Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa imeonesha kushangazwa na kitendo cha Baraza la Wanawake wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) kutokutoa kauli yoyote baada ya Katibu Mwenezi wa BAWACHA Taifa, Sigrada Mligo (34), kushambuliwa kimwili. Ikumbukwe kuwa, tarehe 25 Machi...
  12. Upekuzi101

    Idara ya uenezi CHADEMA ni kama imekufa, embu fanyeni bIdii kidogo

    Katika watu makini katika wakati huu ni watu waliotengeneza hii slogan ya No Reform, No Election,.mmeweza. Wenzenu wanasema kazi na utu, wakati hizo kazi hazionekani Wala huo utu haonekani. No Reform, No Election ni kauli iliyobeba common course and unified ideology ndo maana tunaona ikiungwa...
  13. Tlaatlaah

    PreGE2025 Ni kweli baada ya kugundua atashindwa uchaguzi, Lissu analazimisha wabunge na madiwani wa CHADEMA wasusie uchaguzi ili eti wawe kama yeye?

    Hii ni aibu sana kwa kiongozi, yaani kwa vile yeye hana pesa kwaajili ya kampeni, lakini pia baada ya kujipima na kujitathimini kwamba haupo uwezekano wa yeye kushinda uchaguzi mkuu wa Oct, kwa nafasi yake, sasa akaamua kuhakisha anaanzisha movement ya kuwakosesha na wagombeaji wa nafasi...
  14. Huihui2

    PreGE2025 CHADEMA kajiandikisheni kwenye vituo, hiyo No Reforms No elections, ni kukubali kushindwa

    Chadema wapo busy na "no reform no election" mara Matone ya mvua na mambo mengine ya hovyo hovyo halafu baadae waje kusema wameibiwa kura. Kwanza Huku kwetu wananchi wanajiandikisha kama kawaida hapa ndio nakuja kuamini kumbe hata Hawajulikani. Chadema wapo busy na "no reform no election" mara...
  15. Kong xin cai

    Kumbe naota!

    Ilipofika tarehe 21 Oktoba 2025, Tanzania ilikuwa katika hali ya taharuki. Mamilioni ya Watanzania walikuwa wanatazama kwa hamu kubwa tangazo rasmi la matokeo ya uchaguzi mkuu, uchaguzi ulioweka historia kwa kuwa na ushindani mkali zaidi kuwahi kutokea. Katika mitaa, vijiji, na miji mikubwa...
  16. Nyani Ngabu

    CHADEMA badilisheni hiyo kauli mbiu ya "No Reforms, No Elections"

    My two cents from a distance. Siyo siri kwamba naunga mkono kutokushiriki chaguzi za maigizo zinazoendeshwa na CCM. Naunga mkono harakati karibu zote za mwenyekiti mpya wa CHADEMA za kuleta mabadiliko ya kweli. Yote anayofanya ni sahihi kasoro hili la kusema kuwa watazuia uchaguzi kufanyika...
  17. G

    Hotuba ya Tundu Lisu ni nzuri sana ila wamekosea timing. Alipaswa aanze na nini CHADEMA inatamani kuifanyia nchi hii ikishinda Uchaguzi!

    Kwa Aina ya wananchi TULIONAYO watanzania wenzetu inahitajika mikakati na mbinu Kali mno ili wakuunge mkono Moja Kwa hutuba ya kwanza ya mkiti ilipaswa aanze kuelezea maono ya Chadema ya Muda mrefu juu ya nchi yetu na matamanio yao kwa wananchi Pili haikuwepo haja ya kuanza kuchumbua masuala...
  18. Mindyou

    PreGE2025 Tundu Lissu: Tuungane na ACT ili iweje? Tukishirikiana na vyama vingine kwenye Uchaguzi, tunaenda kuliwa vichwa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu siku ya leo Jumatano Februari 12, 2025. anazungumza na wanahabari Makao Makuu ya chama hicho mkoani Dar es Salaam Endelea kufuatilia uzi huu hapa Jamiiforums kupata updates kuhusu hotuba hii...
  19. T

    Kazi muhimu ya Tundu Lissu ni kujenga Umoja na mshikamano ndani ya Chadema. Nini kifanyike?

    Ni ukweli ndani ya chadema wanachama wamegawanyika mapande ya kiuchaguzi na kampeni. Ninatoa ushauri rahisi wa kutibu majeraha bila nguvu kubwa kama ifuatavyo: 1. Kushughulikia saikolojia ya kushindwa na kushinda kwa wanachama kwa kuonyesha wazi kuwa ushindi ni wa chadema yote na yeye Lissu ni...
Back
Top Bottom