chadema 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    CHADEMA yakemea vikali ukamataji unaofanywa na Polisi dhidi ya viongozi wake wa kanda ya Serengeti unaokiuka misingi ya haki za kibinaadamu

    Kupitia Taarifa kwa umma iliyotolewa leo Desemba 26, 2025 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinakemea vikali wimbi la ukamataji viongozi linaloendelea katika Kanda ya Serengeti, hususani mikoa ya Mara, Simiyu na Shinyanga. Vitendo hivi vinavyofanywa na Jeshi la Polisi ni mwendelezo wa...
  2. Idugunde

    PostGE2025 Pamoja na kamata kamata ya viongozi wa CHADEMA na mizengwe kibao ya kesi zisizo na mashiko bado kina ushawishi mkubwa

    Hili ndilo jambo kubwa la msingi CCM na makada wake wanapaswa kujiuliza. Wao wapo madarakani lakini wanazidi kuchukiwa. Chadema haipo madarakani lakini inazidi kupata ushawishi na inakubalika. Mizengwe kibao , kamatakamata, kesi zisizo na mashiko. Lakini bado watu wana imani na CHADEMA...
  3. tonicimmobility

    GE2025 Kagera: Viongozi wa CHADEMA washikiliwa na Polisi kwa kuchochea vurugu

    Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewakamata baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa tuhuma za kuhusika na kupanga mikutano na maandamano kinyume cha sheria. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera, Brasius Chatanda, amethibitisha kukamatwa kwa viongozi hao na kueleza...
  4. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 John Heche: Tumewekewa mazingira magumu sana hatutakiwi hata kukutana

    Makamu mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA John Heche akizungumza katika maadhimisho ya siku ya wazee duniani yaliyofanyika kwa njia ya Mtandao.
  5. DuaZaMama

    GE2025 Mastaa Nchini walaani kitendo cha polisi kuwapiga wafuasi wa CHADEMA

    Watu mbalimbali mashuhuri nchini Tanzania wamelaani kitendo cha Jeshi la Polisi kuwapiga kwa virungu baadhi ya wafuasi wa CHADEMA ambao waligoma kuondoka katika nje ya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, baada ya kuambiwa ukumbi umejaa.
  6. Waufukweni

    GE2025 Bwege: Vyama vyote vya upinzani vilipaswa kuungana kususia uchaguzi kudai reforms

    Kada wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa zamani wa jimbo la Kilwa Kusini Selemani Saidi Bungara (Bwege) amesema anaamini kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiko sahihi kusimamia 'No Reforms, No Election' na kwamba vyama vyote vya upinzani nchini ikiwemo chama chake ilipaswa...
  7. tonicimmobility

    GE2025 Wenje: Hakuna uchaguzi ni maigizo, Samia anashindana na kivuli chake

    "Tuendelee kupigania reforms, tupate reforms za kweli, twende kwenye uchaguzi wa kweli tutakapopata hizo reforms, kwahiyo hiki kinachotokea hapa ni ndoto",- Wenje. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje, akizungumza Septemba 2, 2025 kupitia...
  8. tonicimmobility

    GE2025 Slaa: CHADEMA haifanyi uchaguzi sio kwa ajali

    Mwanasiasa mkongwe wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwanadiplomasia, Dkt. Wilbrod Peter Slaa amesema kuwa chadema haipo kwenye uchaguzi wa mwaka huu siyo kwa ajali kwa sababu haina uchu wa madaraka kama kama vyama vingine. Akizungumza kwa njia ya mtandao na Baraza la Kidigitali...
  9. Mama Ametufikia

    Wakati wa Magufuli Chadema hawa hawa walisema bora Kikwete , muda huu wanasema Kikwete hafai hivi hawa Nyumbu wana akili kweli?.

    Hivi ukiwasikiliza Nyumbu wa Chadema unaweza kuwaelewaje. Wakati wa Magufuli walipiga Kelele kuwa bora utawala wa kikwete . Leo tena mnasema kikwete hafai, mnabidi mkapinwe UTI sugu
  10. tonicimmobility

    GE2025 CHADEMA yaungana na kanisa la Katoliki katika maombi ya Kitaifa

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa wito kwa Watanzania wote kushiriki maombi ya Novena Takatifu yanayofanyika chini ya Kanisa Katoliki, ambayo yanahitimishwa tarehe 23 Agosti 2025, kwa lengo la kuliombea taifa amani, haki na mshikamano wa kitaifa. Katika taarifa kwa umma...
  11. J

    Tetesi: Benson Kigaila kurejea Chadema na ataomba msamaha kwa Umma

    Bado ni Tetesi kutokea maeneo ya Bahari Motors Kijitonyama jirani na KKKT Ngoja tuone
  12. tonicimmobility

    TBT: Hotuba ya mwisho ya Tundu Lissu kabla hajapigwa risasi

    Hii ilikuwa ni tarehe 07, semptemba 2017 bungeni kabla ya jaribio la kumuua kwa risasi ingawa jaribio hilo liligonga mwamba. Hotuba hii ndiyo iliyochochea sana kutokea kwa jaribio la kumuua kwa maneno yake ya moja kwa moja akionyesha namna viongozi wasivyowawajibikaji na kuwakandamiza wananchi...
  13. DR HAYA LAND

    Ushauri :- CHADEMA , kwakuwa wanakubalika sana na Watanzania naomba wawekeze nguvu kubwa kufanya siasa za mitandaoni hiyo pekee inatosha sana

    Kwakuwa Kwa sasa Chadema inafanyiwa hujuma mbalimbali. Naomba wawekeze Katika majukwaa ya mitandaoni , Hizi Hujuma wanazofanyiwa Chadema zisiwe sababu za wao kurudi Nyuma. Tone Tone iendelee kama kawaida iwe online na hela inayokusanywa iwe inatolewa taarifa ili kuanagalia Speed na kuboresha...
  14. R

    GE2025 CHADEMA yatoa tamko kuhusu sakata la Timu ya Yanga kuchangia Harambee ya CCM

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeitaka Klabu ya Yanga kujiepusha na Siasa na kurejesha Shilingi milioni 100 zinazodaiwa kuchangia kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia GSM Foundation. Kupitia taarifa iliyotolewa Agosti 15, 2025 na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi...
  15. tonicimmobility

    Hivi foleni inasogea au bado msululu ni mrefu?

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche na wanachama wa chama hicho, wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, baada ya kesi inayomkabili Tundu Lissu kuahirishwa.
  16. Erythrocyte

    GE2025 Baada ya kujificha ficha sana hatimaye Yericko Nyerere ajiunga CHAUMMA

    https://www.youtube.com/watch?v=d650ZU07JKQ Ameambatana na James Mbowe Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
  17. Tlaatlaah

    Kwa kiburi na uropokaji tu, CHADEMA imeteketea ghafla kwenye medani ya siasa za Tanzania, kama inavyoteketea Iran huko mashariki ya Kati

    Hulka za viburi na ujeuri za viongozi wakuu wa chadema, mathalan Lisu na heche, vinalandana na kushabihiana kabisaa na ukaidi usio na faida wa viongozi kama vile Zelensky na Hayatollah Khemenei ambao kwa kauli za vinywa vyao tu, wanayaangamiza mataifa yao mchana kweupe, huku ulimwengu mzima...
  18. R

    PreGE2025 UVCCM: Hatuhusiki na Msiba wa CHADEMA

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida amezungumza kuhusu vuguvugu la vyama vinavyofungiwa na kuzuiwa kutokana na siasa zao, akisisitiza kuwa Chama Cha Mapinduzi hakihusiki na zuio hilo bali kimejipanga kuhakikisha kinashinda katika Uchaguzi Mkuu wa...
  19. R

    PreGE2025 Brenda Rupia: Tunaona kabisa kwamba huyu Jaji amepewa maelekezo yenye nia ovu na Chama chetu

    Vita ya Chama cha demokrasia na maendeleo dhidi ya amri iliyotolewa na mahakama kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam kupiga marufuku kufanya shughuli zozote za kiutendaji kwa muda, kauli iliyotolewa leo Juni 10, 2025 === Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa Chama cha Demokrasia na...
Back
Top Bottom