cecilia daniel paresso

Cecilia Daniel Paresso (born November 22, 1981) is a Tanzanian politician and a member of the CHADEMA political party. She was elected as a member of the Special Seats in 2015. She has bachelor degree from the Open University of Tanzania in 2011. [1]

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Cecilia Daniel Paresso asisitiza ushirikishwaji wa Wananchi katika Sheria ndogo Serikali za Mitaa

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo, Cecilia Daniel Paresso amesisitiza ushirikishwaji wa wananchi wakati wa utungaji na uhuishaji wa Sheria Ndogo za Mamlaka za Serikali za Mitaa, ili kuwajengea wananchi uelewa wa sheria hizo ambao utawezesha utekelezaji wake katika Mamlaka...
  2. R

    GE2025 Paresso: CCM ndiyo Chama kinachoweza kuongoza nchi hii

    Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Cecilia Paresso amesema kutokana na utekelezaji wa miradi ya maendeleo uliofanywa na CCM, chama hicho kinakuwa chama pekee kinachofaa kuendelea kuongoza nchi Paresso ambaye alikuwa mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha na kwa muda mrefu kada wa CHADEMA kabla ya...
  3. CHADEMA

    Hotuba ya Kambi ya Upinzani: Bajeti Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

    HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA WAZEE NA WATOTO, MHESHIMIWA CECILIA DANIEL PARESSO (MB), KUHUSU UTEKELEZAJI WA MPANGO WA MAENDELEO MWAKA WA FEDHA 2018/19 NA MPANGO WA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA, KWA MWAKA...
Back
Top Bottom