ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Bunge: CCM pekee ndiyo imewasilisha jina la Mgombea wa nafasi ya Naibu Spika

    Bunge limesema zoezi la uteuzi limekamilika, na hadi kufikia muda huo Chama kimoja (CCM) ndicho kimewasilisha jina la Mgombea nafasi ya Naibu Spika iliyo wazi baada ya Dkt. Tulia Ackson kujiuzulu na kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge. Jina la Mgombea litawasilishwa mbele wa Wapiga Kura kesho...
  2. JamiiForums Tanzania Miaka 45 ya CCM ni tumaini na imani ya umoja wa kitaifa kwa Watanzania

    Miaka 45 ya CCM ni tumaini na imani ya umoja wa kitaifa kwa Watanzania Deogratias Mutungi Hii ni tafakuri fupi inayomulika kipindi cha miaka 45 ya Chama cha mapinduzi CCM katika uongozi wa kisiasa ndani ya taifa letu katika nadharia ya siasa, itikadi sambamba na kusimamia na kuenzi falsafa ya...
  3. JamiiForums Tanzania Maono: CCM inaenda kugawanyika, wasipoangalia hawatainuka tena

    Kwa namna hali inavyoendelea ndani ya hiki chama kikongwe Afrika, ni dalili mbaya sana inayotishia uwepo wake ndani ya medani za utawala katika siku za usoni. Kuna viashiria kadhaa vinavyopelekea mpasuko unaokuja 1. Kifo cha Magufuli namna kilivyotokea na mtiririko wa matukio baada ya kifo...
  4. JamiiForums Tanzania Dodoma: Zungu ateuliwa na CCM kuwania kiti cha Naibu Spika wa Bunge la Tanzania

    Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana leo katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Samia Suluhu Hassan kimempitisha Mbunge wa Ilala Mussa Zungu kuwa Mgombea wa Kiti Cha Naibu Spika wa Bunge la Tanzania. Nafasi hii imekuwa wazi baada...
  5. JamiiForums Tanzania Huku viongozi wa CCM wakizidi kutakata na kushereheke miaka 45 ya chama chao, Watanzania wanazidi kuteseka na umasikini

    Wananchi wakihangaika kupata Maji. Viongozi was CCM wanatakata kama dhahabu
  6. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe acha unafiki wa kutumika, hesabu yenu na CCM kuhusu Mbowe tunaijua

    Zitto huu unafki hsutakufikisha popote Wallah nakuapia. Ulisema mwenyewe kua hukumaanisha kwamba ulimuombea Mbowe msamaha kwa Rais isipokuwa CHADEMA walikuelewa vibaya, halafu leo unapigilia msumali kua ulimaanisha? Ipo siku utajutia tabia yako hii. Nia yako ni kutaka Mbowe ajinyenyekeze kwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania CCM ya leo na viongozi wake ni uncomfortable kuliko ya Kikwete na ya miaka ya nyuma na wanasumbuliwa na fear of unknown kutokana na chaguzi kuvurugwa

    Iko hivi: Wakati wa Kikwete na Mkapa, CCM waliweza kujipima kupitia chaguzi wanakubalika kwa kiasi gani au wanakaliwa kwa kiasi gani katika maeneo tofauti ya nchi yetu na hivyo kujipanga kutokana na hali halisi inayowakabili kutoka kwa umma. Ni kweli hata wakati wakati wa Kikwete na Mkapa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akiri miaka 45 ya CCM ndani ya 30 ya Upinzani haijawa rahisi

    === Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) Tanzania na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan katika hotuba yake Mkoani Mara yalikofanyika maazimisho ya miaka 45 ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) kitaifa, Pamoja na mambo mengine Rais Samia Suluhu Hassan amekiri CCM...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kwanini Mwl. Nyerere hakuwahi kuvaa sare ya CCM?

    Usije unapumua na kuhema juu juu kama una ushahidi wa picha ya Mwl aliyokua amevaa sare ya CCM tafadhali share, kama hakuna ni kwa nini aikua havai?
  10. M

    JamiiForums Tanzania CCM yazindua CCM Digital cards-CDC

    === Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Ndg Samia Suluhu Hassan leo tarehe 05|02|2022 amezindua rasmi mfumo mpya wa kadi za kielekitroniki, Baada ya " CHADEMA Digital " kukwama hasa kwa kukosa wanachama huenda Watanzania wengi waliisubiri hii " CCM Digital Cards " yaani " CDC "...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Fedha zilizotumika sherehe za kuadhimisha Miaka 45 ya CCM zingeelekezwa kwenye huduma za jamii

    Kwanza kabisa niipongeze Chama cha Mapinduzi kufanya sherehe yake ya miaka 45 Mkoani Mara katika Manispaa ya Musoma. Najua kuwa rasilmali nyingi zimetumika lakini ni matumizi ya siku moja tu LAKINI kwa ushauri wangu rasilmali zilizotumika leo zingeelekezwa katika miradi ya maendeleo kama...
  12. JamiiForums Tanzania Mubashara: Maadhimisho ya miaka 45 ya kuzaliwa kwa CCM

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka uwanja wa Karume - Musoma mkoani Mara katika maadhimisho ya miaka 45 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi. Kaulimbiu ya maadhimisho haya ni "CCM Imara, Shiriki Uchaguzi Kwa Uadilifu." Mgeni rasmi katika maadhimisho haya ni Mwenyekiti wa Chama Cha...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Hongereni CHADEMA, mnaishi kama familia kwenye shida na Raha; CCM ukipata janga unaondolewa kwenye ukoo

    Solidarity ilipo Ndani ya wana Chadema nikubwa Sana. Leo nimefanikiwa kufika mahakama aliyofikishwa Mbowe na wenzake. Nimependa kuona Kwamba Hawa ndugu muda wa chakula wanakula pamoja bila kijali chama, mke wa mtuhumiwa kafika mahakama wamemchangia nauli, wakati watuhumiwa wanaondoka saa kumi na...
  14. JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Chama cha Mapinduzi ni sikivu, kipo tayari kupokea ushauri wakati wote

    Kuelekea Maadhimisho ya Miaka 45 ya CCM, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amesema kwa kipindi chote hicho CCM kimeendelea kuwa chama sikivu na makini kinachojali majadiliano kuliko vitisho, kebehi, ubabe au kushurutishwa. Amesisitiza CCM kipo tayari wakati wote kupokea...
  15. JamiiForums Tanzania Kishindo cha Katibu Mkuu UVCCM maadhimisho ya miaka 45 ya kuzaliwa CCM kwa UVCCM kitaifa Wilaya ya Tarime mkoa wa Mara

    KISHINDO CHA KATIBU MKUU UVCCM KENANI KIHONGOSI KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 45 YA KUZALIWA CCM KWA UVCCM KITAIFA WILAYA YA TARIME MKOA WA MARA Tarehe 3 Februari 2022 Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Ndug: Kenani Labani Kihongosi ameambatana na Mwenyekiti wa Chipukizi UVCCM Taifa...
  16. JamiiForums Tanzania Anderson Ndambo: Zitto ni mamluki wa CCM anaitumia ACT na Zanzibar kwa malengo binafsi

    Kwanini zitto ametumia mtutu kumbeba Babu Duni. 1. Kulipa fadhila kwa Babu. Baada ya Maalim Seif Kufariki, Kikatiba ya Zanzibar, ilitakiwa ndani ya wiki mbili lipatikane jina la Mrithi wa Makamo wa kwanza wa Rais Zanzibar. Zitto akamfuata Babu na kumuuliza juu ya nani Ambae Maalim alikusudia...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Miaka 45 ya CCM: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA ndio wanaongoza kwa kujiunga CCM ukilinganisha na wapinzani wengine

    Wakati tarehe 05/02/2022 CCM itasherehekea miaka 45 tangu kuasisiwa pia kitawashukuru wanachama wa Chadema waliouona mwanga na kuamua kujiunga na chama tawala. Takwimu zinaonyesha kuwa wanachama na viongozi wa Chadema ndio wanaongoza kwa kuunga mkono juhudi za CCM katika kuwaletea wananchi...
  18. JamiiForums Tanzania Mbinu za Kuidhoofisha CCM

    Habari za asubuhi wanajamvi. Nimekuwa nikitafakari sana hali ya kisiasa nchini. Ni ukweli ulio wazi kuwa Chama tawala (CCM) ni chama kikubwa, chenye rasilimali watu na fedha pamoja na kufanya kazi kwa ukaribu na vyombo vya ulinzi na usalama, bila kusahau tentacles zake ziko kwenye kila eneo la...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Nukuu ya hotuba Shaka Hamdu Shaka katika uwekaji jiwe la msingi ofisi ya CCM wilaya Musoma Vijijini - 02 Februari 2022

    NUKUU YA HOTUBA YA KATIBU MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KATIKA UWEKAJI JIWE LA MSINGI OFISI YA CCM WILAYA MUSOMA VIJIJINI 02 FEBRUARI 2022 "Uamuzi wa kuanza kuyaunganisha Mataifa ya Tanganyika na Zanzibar baadae vikaungana TANU na ASP Februari 5 Mwaka 1977 laiti hatua hizo zisingefanyika kwa...
  20. I

    JamiiForums Tanzania During the Magufuli regime, CCM was about to die, thanks to coercive apparatus

    Everybody saw that CCM was in jeopardy during that dark era of Magufuli. Thanks to coercive apparatus to make it shine irrespective of the brutality to oppositions. When I hear that JPM raised CCM up, I wonder. It is widely known that every person was forced to like or love CCM even though...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…