ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Vyombo vya ulinzi vinanufaikaje na uchaguzi wa ndani wa CCM?

    Chama Cha mapinduzi Kiko kwenye michakato ya Uchaguzi wao wa NDANI ila Cha kushangaza kwenye Kila uchaguzi hasa za wiki Jana za jumuiya vyombo VYA ULINZI na usalama vimekuwa mstari wa mbele kushiriki kwenye chaguzi hizo. Kuna wanaoshiriki Hadi kuhesabu kura ila hata kusimamia hizo chaguzi...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nauponda sana upinzani ila nikitaka kuisifu CCM nafsi yangu inanisuta

    Ukweli ni kwamba tuna aina ya upinzani dhaifu sana katika nchi yetu, upinzani ambao huoni mwelekeo wake katika siku za hivi karibuni ama siku nyingi zijazo. Jambo hili linaniumiza sana moyo wangu kama mtanzania mzalendo mpenda nchi, kwani naamini kwamba bila upinzani madhubuti ni nadra kufikia...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari Umakamu mwenyekiti CCM hakuna kuachiana hadi uchaguzi ufike, hawataki unafiki tofauti na Chadema!

    Kwa mfano Dr Shein ndiye Makamu mwenyekiti wa CCM upande wa Zanzibar hadi sasa Dr Mwinyi ambaye ni Rais wa Zanzibar atapokea kijiti wakati wa Uchaguzi mkuu wa chama Mungu wa mbinguni ibariki CCM
  4. JamiiForums Tanzania Shaka: CCM haitoachia madaraka abadani

    "...CCM haitoachia madaraka abadani na kwalo sisi mtaji wa kuendelea kukaa madarakani tunao kwa sababu huwa tunajiandaa mapema." Shaka.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Michakato na vikao vya CCM vinapokaa hufuatiliwa kwa karibu na Mamilioni ya Watanzania

    Ndugu zangu huo ndio utafiti unavyoonyesha kuwa kila CCM inapokuwa na vikao vyake vya ndani ngazi ya Taifa hufuatiliwa kwa karibu Sana na Mamilioni ya Watanzania, huku waandishi wa habari wakiongoza kupiga kambi katika viunga kunakofanyika vikao ili kufahamu yanayoendelea na maazimio ya vikao...
  6. JamiiForums Tanzania CCM inaanza vikao vya uteuzi wa ngazi ya Taifa leo Dodoma

    Vikao vya ngazi ya Taifa vya Chama Cha Mapinduzi (CCM) vimeanza jijini Dodoma huku miongoni mwa kazi zitakazofanyika ni kupokea mapendekezo, kujadili, kupitisha na kufanya uteuzi wa mwisho wa wanachama wanaomba uongozi katika ngazi za wilaya. “Chama cha CCM kinapenda kuwaarifu wanachama wake na...
  7. JamiiForums Tanzania CC& NEC ya CCM kujichimbia kwa siku tatu Dodoma. Tutarajie nini kutoka maazimio ya CC ya CHADEMA hasa kuhusu wabunge 19

    Kwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na watanzania wote kuhusu kufanyika kwa vikao vya kawaida vya uongozi ngazi ya Taifa Jijini Dodoma kuanzia tarehe 26 Septemba, 2022 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (CC) na tarehe 27 na 28 Septemba, 2022 Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa (NEC)...
  8. JamiiForums Tanzania Msele mwenyekiti mpya Jumuiya ya Wazazi CCM Hai kwa kumshinda mteule wa saashisha Mafue

    Mbunge wa Jimbo la Hai leo tar 25.9.2022 amepata pigo baada ya mjumbe aliyekuwa anampigania kushindwa na mr Msele kwenye jumuia ya wazazi ccm Hai.
  9. JamiiForums Tanzania Hawajui kinachoendelea Tanzania!

    Hakuna CCM tena, Mbatia hajaondolewa na NCCR, kuna sababu kwa nini akina Mbowe &Co. wapo pro Utawala uliopo, they have no choice, na yoyote atalayejaribu ku challenge status quo ataenda na maji, wengi watafwatia, siku moja mtakuja kutambua who pulls the strings na wala siye mnayemdhania...
  10. S

    JamiiForums Tanzania CCM wanaipenda sana hii kauli ambayo Rais Hichilema ameipinga

    Mara kibao CCM na wapiga mapambi wamekuwa wakisema "Rais anaangushwa na wateule/wasaidizi wake". Hii kauli Hichilema anaipinga vikali. Anasema uzwazwa wa wateule/wasidizi ndiyo unaakisi uwezo wa aliyewateua.
  11. JamiiForums Tanzania Mgombea CCM ataka tume huru kuhesabu kura

    Mgombea uenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT), Wilaya ya Sengerema, Mkoa wa Mwanza, Rosemary Linda ameomba kuwe na tume uhuru ya kuhesabu kura ili kuondoa dhana ya kuibiwa kura. Rozimele ametoa kauli hiyo leo Jumamosi, Septemba 24, 2022 mara baada ya kujitambulisha kama...
  12. B

    JamiiForums Tanzania CCM anapotaka Tume Huru si Bure

    Kwamba CCM hawajui umuhimu wa tume huru? Nani kasema? Mgombea CCM ataka tume huru kuhesabu kura Kafunguka mgombea kwenye chama hicho kikongwe bila tume huru, hamwamini mtu chamani humo. Aliyajua jiwe. Anayajua Samia. Anajua Majaliwa. Anajua Mukandara na hata Dkt. Mahera. Mengine ni manjonjo...
  13. JamiiForums Tanzania Umeme wakati wakati wa kuhesabu kura.

    Leo wilayani ludewa kulikuwa na uchaguzi wa viongozi wa mabaraza ccm na wajumbe wawakilishi.Ajabu umememe ulikatika wakati wa kuhesabu na jenereta halikuwaka wakati wa kuhesabu na wakati wa kutangaza limewaka hii itakuwa mbinu au nini?
  14. JamiiForums Tanzania Hivi huko CCM nani ni mwanasiasa Bora?

    Kwa kipindi kirefu sana ndani ya CCM ili mtu awe mwanasiasa bora ni lazima awe na madaraka. CCM nje ya Madaraka huwezi kuwa bora. Kwa maana nyingine ubora wa wanasiasa wa CCM unatokana na madaraka waliyonayo na wala siyo ubora binafsi. Kwa sasa ndani ya CCM nani anaweza kusemwa kwamba yeye...
  15. JamiiForums Tanzania Huu ujinga tutaufanya hadi lini CCM wenzangu?!

    Nina uhakika asilimia zote CCM kwa maslahi yake inamuunga mkono yule binti Katibu Mkuu wa NCCR MAGEUZI ili kuleta mgogoro ili Mbatia afukuzwe na kubaki NCCR yenye u CCM ya hewala boss. Sote tunatambua kosa la James ni pale alipojitokeza hadharani mwanzoni mwa Utawala wa Mtawala wa sasa kuuponda...
  16. JamiiForums Tanzania Serekali ya CCM mjitafakari upya, yaani kirahisi tu, kuachana na madai ya matrilion ya pesa mnakimbizana na tozo

    Endeleeni kukimbizana na wanyonge, ila laana itawatafuna na kizazi chenu kinachotafuna jasho la wanyonge, waziri anashindwa kujiekeza, Tatraaaa leo amesema hayo matrilion yaliondolewa kirahisi, Kwanini haya yanakuja baada ya kushindwa kujieleza? Kama mliunda tume, mkaleta yale yote kwa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Zitto alalamika kundi la Magufuli ndani ya CCM kuihujumu maridhiano na kuinyima ACT mbunge EALA

    Kama mnavyojua kulifanyika uchaguzi wa wabunge la Africa Mashariki na ACT kuwa na mgombea wao ambaye alikuwa Addo Shaibu Cha kushangaza ni kuwa wabunge wa CCM walimtosa Addo, ambaye ni Katibu Mkuu wa ACT na kumchagua mgombea wa CUF Imefichuliwa kuwa huo ulikuwa ni Mpango wa wabunge wahafidhina...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson, Mawaziri wa CCM hawana majibu usiwabane sana

    Nakusihi Spika, ulichomfanyia leo Dkt wa Uchumi hakikubaliki machoni mwa wana CCM Dkt kajikanyaga hadi huruma Trilioni 360 hatujui ziliko, hongera kwa Luhaga mpina kwa swali zuri. Sasa mama wana CCM hawapendi mambo kama hayo na usirudie kuwabana mbele ya kadamnasi namna ile, utaundiwa zengwe...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Anachofanya Gwajima ni mikutano ya dini au siasa ya CCM? Kwa ushahidi huu ni halali kuzuia mikutano ya Vyama vya Upinzani?

    Kichwa cha habari chahusika. Ushahidi upo ktk video hapo chini.
  20. JamiiForums Tanzania Chongolo: CCM ni kubwa kuliko mtu mmoja

    CCM ni kubwa kuliko mtu. Wapo watu wanatengeza safu za watu dhaifu ili waje kuwasaidia huko mbele ya safari. CCM si ya watu dhaifu bali chagueni watu wenye weredi na wachapakazi ili wakijenge chama chetu. Chongolo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…