ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kitakachowakera watanzania hadi waichukie kweli kweli CCM?

    Kwa ubaya wanaofanyiwa watanzania na CCM lakini wametulia tuliii... Inashangaza Sana. Hadi nawaza ni kitu gani kibaya ambacho CCM hawajawafanyia wabongo kitakachowakera awa watanzania wenzangu hadi waichukie CCM KIKWELI KWELI? Ni nini!???
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 January Makamba Mbunge wa Bumbuli (CCM), Bumbuli wanasema hivi

    Kwako mbunge wa Bumbuli January Makamba, 1. Uliwaahidi kuwatengenezea uwanja pale Toghotwe! Ukaishia kuuchimba uwanja ule bila kuumalizia hilo haliwezi kukuacha salama. Ni bora ungeuacha ulivyokuwa uwanja ule ingekusaidi. Wanawake Bumbuli uliwadanganya. Wao walikaa kimya wakijua ungetenda...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM inawajibika vizuri sana kwa wananchi

    Hakuna mbadala wake Tanzania, kimipango, kiuongozi au kimaono... Hazina ya wanachama na viongozi wake makini, mahiri na madhubuti ni kiashiria muhimu sana sana cha dhamira njema ya CCM katika kuwatumikia wananchi.. Kuwajibika kwa wananchi kwa dhati katika kuleta maendeleo kwa waTanzania...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nafikiri CCM wamefanikiwa. Swali Ni upinzani umefeli wapi?

    Sasa hivi CCM inazungumzwa kila mahali kwenye mitandao, mashambani, maofisini na hata kwenye mikutano ya wapinzani wenyewe wanaizungumza CCM. KATIKA hili wacha tukipongeze kitengo cha propaganda. Sio kwamba mtaani hakuna njaa, Ila Kuna namna hakuna jinsi Tena. Sasa sijui kimetokea Nini...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa yanayoendelea maana yake "CCM" imegawanyika vipande vipande na wana hali mbaya kushinda hata CHADEMA waliokuwa wanadaiwa wamevurugana kisa Msigwa

    Kwa Mbungi linaloendelea ndani ya CCM sijui kama hakutakua na kumalizana Juu kwa Juu inaonekana huku ambako ni makazi mapya ya Bwana Msigwa kunawaka moto kuliko Kule alikotoka bwana msigwa. Hali ya kugawanyika ni kubwa mno na kwa kuangalia Upepo wao hawa jamaa wa kijani wanaweza hata kuanza...
  6. JamiiForums Tanzania Kiutamaduni ndani ya CCM, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa ana nafasi kubwa ya kumrithi Kinana

    Ingawa mimi si mwana-CCM au mwanachama wa chama chochote cha siasa ndani na nje ya Tanzania, tangu utoto wangu nimekuwa nikifutilia siasa. Nikiwa na zaidi ya miaka 40 hapa duniani, nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa siasa na pia kushiriki kwenye chaguzi, kuanzia ule wa mwaka 1995. Wengi sasa...
  7. JamiiForums Tanzania Zaidi ya milioni 12 posho za Mabalozi, Makatibu tawi na Makatibu kata zaliwa na katibu wa CCM(W) Missenyi CDE Bakari Mwacha

    Historia ya Cde Bakari inaendelea kumtafuna kwa alikotoka na ambako yupo. Alipokuwa kwenye sekretarieti kama katibu wa vijana Simanjiro alikuwa kikwazo sasa kwa wilaya ya Missenyi ndio kawa kikwazo kabisa kama bosi wa chama. Ndugu Katibu Mkuu najua utakuja Missenyi ila naomba kabla hujafika...
  8. B

    JamiiForums Tanzania CCM inamhitaji Kinana kuliko Kinana anavyoihitaji CCM

    Kwanza ana uzoefu wa muda mrefu, ni Gwiji wa zile mbinu alizosema Mh Nape. Ameshika nafasi zifuatano ktk zile nyingi 1. Mwandamizi ktk Jeshi la JWTZ 2. Naibu Waziri wa Ulinzi 3. Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Kwenye chama amewahi kuwa 1. Memba Halmashauri kuu NEC 2...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mzee Alhaj Luteni (Mstaafu) Yusuf Makamba M/kiti CCM Bara

    Kufuatia kujiuzulu Kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara A. Kinana Wachambuzi wa siasa wanampa asilimia kubwa Mzee Luteni (Mstaafu) Alhaji Dr Yusuf Makamba kupokea kijiti cha uongozi CCM. - Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia - Nani atakuwa Makamu...
  10. JamiiForums Tanzania Maskini CCM "hakuna migogoro"

    Haya wacha tuone mwisho wa picha kama sterling ata-survive au lah, kile chama kitapata Usajili rasmi au itakua ni delay technique?? Yajayo hayafurahishi kwa jirani
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

    Abdulrahman Kinana Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amemwandikia barua ya kuomba kupumzika. Katika majibu yake Mwenyekiti...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Chagueni CCM kwani ndicho chenye ilani bora inayotekelezeka

    CHAGUENI CHAMA CHA MAPINDUZI KWANI NDICHO CHENYE ILANI BORA INAYOTEKELEZEKA - BALOZI NCHIMBI. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akizungumza kwenye mkutano wa hadhara Katika Viwanja vya Sabasaba Mtwara Mjini amesema Chama cha Mapinduzi ndo kinatekeleza...
  13. JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Mtwara kuonekana kavaa nguo za chama cha Mapinduzi wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ ni sahihi?

    Picha kama inavyojionesha kwa mkuu wa mkoa wa Mtwara leo tarehe 28.07.2024 kuonekana kavaa nguo za chama cha CCM wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ je leo jeshi letu ni CCM au ndyo utaratibu wa kijeshi. Mkuu wa majeshi kwa kukomesha ili mchukulieni hatua mkuu wa Mtwara kwa kuvunja kanuni za JWTZ...
  14. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kigwangallah ashiriki maombolezo ya aliyekuwa Kamanda wa Sungusungu, Mzee Chalya. Aahidi kujitolea pikipiki moja kwa kila kata

    Picha ya Kigwangalla akifanya mambo ya mila === Kupitia ukurasa wake wa Instagram Kigwangalla aeleza ukaribu wake na Sungusungu kutoka kijijini Bujuku ambako alienda kwaajili ya maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Mwenyekitu wa Sungusungu eneo hilo. Ambapo mbali na kutoa salamu za rambirambi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hakuna mahali Msigwa amesema CHADEMA ni Chama Kibaya bali Mbowe Ndiye Mbaya. CCM muwe makini atarejea CHADEMA huyo!

    Wakati wote na mahali pote Mchungaji Msigwa anaelezea ubaya wa Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe tu na huwezi kumsikia akielezea ubaya wa Chadema kama chama Ogopa sana Mtu wa namna kwani ni Janjajanja fulani Mlale Unono 😀
  16. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyekuwa Mbunge wa CCM Mbarali afunguka mazito "Wamenipiga fitina nzito"

    27 July 2024 Ubaruku, Mbarali Tanzania Mbunge : Chama dola kongwe kina michezo michafu ndani ya CCM , awekwa bayana .... Modestus Dickson Kilufi fomu za ugombea ubunge ziliporwa na mgombea asiyejulikana... Modestus D. Kilufi asema CCM haipendi mtu msemakweli na aliyemchapa kazi na aina hiyo...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Katibu Mkuu wa CCM Kuongoza Secretarieti Katika Ziara Nzito ya Mikoa Ya Kusini

    Ndugu zangu Watanzania, Wakati vyama kama CHADEMA viking'ang'aniana na kila mtu akijitangaza kuwa ndiye mgombea Urais,wakati CHADEMA ikiendelea kupukutika na kukimbiwa na wanachama wote wenye akili Timamu na wanaojitambua,wakati vyama kama CHADEMA vikiwa vimepotea kabisa mitaani kutokana na...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli ndiye aliyefichua Viongozi kuwekewa Sumu alisema hata yeye na Mfugale yalishawakuta!

    Nakumbuka Shujaa Magufuli ndiye alitoaga hii Siri ya Viongozi wa Kisiasa kuwekeana Sumu akisema yeye na Mfugale ni wahanga. Awali Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete aliwahi kusema huko Chamani Watu hawaachiani glass za vinywaji. Kadhalika Waziri mkuu mstaafu Mzee Sumaye aliambiwaga huko Chadema...
  19. JamiiForums Tanzania CCM kudai kuwa vyama vya upinzani bado havijawa tayari kukabidhiwa nchi, ni uzalendo au ubinafsi?

    1. Kwani TANU ilikuwa tayari kukabidhiwa nchi na Wazungu hasa ikizingatiwa kuwa ilikuwa ikiongozwa na "kijana" wa miaka thelathini na nane tu? Mbona aliweza kuiongoza kwa "mafanikio" makubwa? 2. Kwa kusema vyama vingine havijawa tayari, kunamaanisha nchi haina mifumo imara ya kiuongozi hadi...
  20. JamiiForums Tanzania Kati ya CCM na CHADEMA, ni kipi kinanufaika na watu wazuri wa chama hasimu?

    Kwa muktadha wa huu uzi, Chama hasimu kwa CCM ni CHADEMA na kwa CHADEMA ni CCM. Watu wazuri ni watu wanaoweza kuwa msaada kwa Chama. Kati ya hivyo vyama viwili, ni kipi kimenufaishwa zaidi na hasimu wake?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…