ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatutaki Act Wazalendo kushiriki ukombozi wa Watanzania kwani ni vibaraka wa CCM

    Watanzania hawaitaki Act Wazalendo ya Zitto. Vibaraka wakubwa wa CCM
  2. JamiiForums Tanzania Sababu za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa na wasiwasi kuhusu maandamano ya amani ya September 23, 2024

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaweza kuwa na wasiwasi kuhusu maandamano ya amani kwa sababu kadhaa: 1. Kudhibiti Siasa: CCM inaweza kuona maandamano kama njia ya kuonyesha upinzani na kutishia ushawishi wao katika siasa. 2. Usalama wa Umma: Kuna hofu kwamba maandamano, hata kama ni ya amani...
  3. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mongela: Tunaingia kwenye uchaguzi na uhakika wa ushindi

    Wakati vyama na wadau wakianza kujiweka mguu sawa na uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika baadaye mwaka huu, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kina uhakika wa kupata ushindi wa kishindo. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu (CCM-Bara), John Mongella baada ya kupokea taarifa ya...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo yawaomba CHADEMA kuahirisha maandamano waliyopanga kufanya 23/09/2024

  5. JamiiForums Tanzania Kwanini watawala na CCM wanaogopa Maandamano kama polisi watayasimamia?

    Maandamano ni njia muhimu ya kuonyesha hisia na mawazo ya wananchi kuhusu masuala mbalimbali yanayoathiri maisha yao. Inapotokea hali ya kutokubaliana kati ya wananchi na watawala, maandamano yanaweza kuwa jukwaa la kuwasilisha malalamiko na kudai mabadiliko. Hata hivyo, wapo wanaoshawishi...
  6. JamiiForums Tanzania CCM ndio imebeba dhamana ya kudumisha amani au kuleta machafuko ndani ya Tanzania

    Naomba niseme yafuatayo, CCM yenye kufuata demokrasia, yenye kuheshimu sheria na katiba, CCM yenye ufahamu kuwa haina umiliki wa Tanzania bali li inadhamana ya watanzania ndio itadumisha amani na utulivu. Utawala wenye kuzingatia ukatiba na misingi ya demokrasia ndio nguzo ya amani na utulivu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, ni kweli Mungu hana Demokrasia? Mbona alisema "Tufanye mtu kwa mfano wetu"

    Nauliza tu baada ya kumsikia RC Makonda akisema Mungu hana Demokrasia. Mwanzo 1:26 - Tufanye mtu kwa mfano wetu. Je, ni kweli? Nawatakia Dominica njema 🌹 ===== RC Makonda atahadharisha akuhusu walaghai wanaotumia neno la Mungu kurubuni wananchi Akizungumza na maelfu ya Wananchi...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Wanoishabikia CCM ni wale wanaolipwa na CCM, wasitutoe nje ya mstari wa kupigania haki, uhuru na amani ya Taifa letu.

    Ukiangalia wengi wa wale wanaoishabikia CCM ni wale wanaolipwa au kufaidika kibinafsi na uwepo wa CCM. Labda ni viongozi, au wazazi na ndugu zao ni viongozi au wanufaika wa CCM kwa namna moja au nyingine. Ni wakati mzuri sasa wa kuondokana na CCM na mfumo waliokwisha kuujenga kwa miaka zaidi ya...
  9. JamiiForums Tanzania CCM WANAJIMWAGIA MAJI YA MOTO WANASEMA TINDIKALI

    Siku ya Leo limetoka igizo Moja ya kiongozi wa ccm eti kamwagiwa TINDIKALI kumbe Yale ni maji ya moto wanaigiza Ili kupoza raia wasiingie ground tarehe 23 nasema hivi ccm acheni kuigiza mnajimwagia maji ya moto ambayo Kila siku tunayaoga mnaema eti kamwagiwa TINDIKALIwezi nyie
  10. JamiiForums Tanzania Kada wa CCM amwagiwa tindikali

    KWAMBA WASIOJULIKANA HAWACHAGUI WA KUWADHURU? AU TUNAJARIBU KUBALANCE MAMBO DAKIKA ZA JIOOOOOOOOONI, KUELEKEA SEPTEMBER 23 —— Watu wasiojulikana wanadaiwa kumvamia na kummwagia kimiminika kinachosadikiwa kuwa tindikali, kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Idrissa Makishe...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Unyanyasaji wa wapinzani wakati wa Magufuli na huu wa Rais Samia kunawafanya wapinzani kufikia "The point of no return"

    Muendelezo wa unyanyasaji wa viongozi wa upinzani hasa kuanzia zama za Magufuli na sasa wakati huu wa Rais Samia, una impact moja: kuwafanya wapinzani kuwa jasiri huku msingi mkuu wa huo ujasiri ni kuona au kuamini kuwa kwa sasa hawana tena cha kupoteza kwani kama ni kuteswa, wameshateswa...
  12. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Lissu baada ya kuzuiwa kufanya mkutano wa hadhara Tanga, atishiwa kuvunjwa mguu mmoja uliobaki

    "OCD wa Tanga mjini nimemwambia Taarifa yetu ya Mikutano ya Hadhara tuliyowapa ina mikutano kuanzia Tar 10 hadi 24 Sep. Nikamwambia sisi tutaendelea na mikutano yetu 21 na 22 kwa kuwa HAIJAZUIWA. Jibu lake kwangu akaniambia wewe nitahakikisha namaliza huo mguu uliobaki. "Nimemwambia wacha mguu...
  13. JamiiForums Tanzania Ngumu Kumeza: Wapiga kura Milioni 6 waliongezeka zaidi mwaka 2020 ukilinganisha na 2015

    Wanajukwaa, Ninachojua ni kwamba ukilinganisha na mwaka 2015 ambapo battle ilikuwa Lowassa Vs Magufuli, mwaka 2020, muitikio wa watu kupiga kura ulikuwa ni mdogo mno. Kutokana na rafu zilizotokea mwaka 2019 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, mwaka 2020 wananchi wengi walikata tamaa kupiga...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tukumbushane baadhi ya Matukio ambayo hufanywa na Wanasiasa Majimboni kuelekea Uchaguzi ili kuombea kura

    Kuna msemo wa Waswahili wanakwambia bora Ukosee njia lakini usikosee Kuoa ila binafsi naona hakuna kosa kubwa katika hii dunia kama kukosea katika kuchagua kiongozi bora ambaye atakuja kutatua changamoto katika Jamii. Katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu na uchaguzi wa serikali za mitaa...
  15. JamiiForums Tanzania Uhusiano wa India na CCM wazidi kuimarika. CCM kushinda uchaguzi mkuu 2025 kwa kuimarisha diplomasia .

  16. JamiiForums Tanzania Kamata kamata ya Vijana: Niwakumbushe CCM, Vijana wa CHADEMA wa leo ndilo Taifa la Kesho

    Viongozi wa Chadema, mnao wateka, kuwakamata, kuwafunga, na kuwanyanyasa watu leo. Katika mazingira haya ya kisiasa, ni muhimu kutambua kwamba vitendo hivi vinaathiri sana demokrasia yetu. Kila hatua tunayoichukua sasa ina umuhimu mkubwa kwa Taifa la kesho. Tunapaswa kujenga mazingira ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mama Hata CCM Wamechoka na Utekaji, Mbunge Amtaja Mtekaji Kuwa ni Mtoto Pendwa.

    Huyu pamoja na kuwa ni mchungaji lakini kisiasa ni kiongozi yaani ni mbunge wa Kawe. Amepiga verse za kutosha na kwa lugha ya Alama ametutajia mtekaji mkuu kuwa ni yule aliteka studio za TV na akamteka mwanamuziki. Huyo mtu ni mtoto pendwa wa #1 na toka amrudishe kwenye system matukio...
  18. JamiiForums Tanzania UVCCM ni wakati wa kuingia kwenye Social Media na kueleza ukweli!

    Haiwezekani kuwaacha vilaza waliofeli eti ndio news makers huku mitandaoni na kuchukua credits eti wao ndio wasemaji wa Taifa. Wito wangu kwa vijana makini na waliolelewa na kufunzwa vyema na wazazi pamoja na vyombo vya chama cha Mapinduzi na Serikali kuingia rasmi mitandaoni na kuwapa...
  19. JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Wapinzani Wanauza Malalamiko, CCM inauza Mafanikio

    My Take Wapinzani wa Tanzania ni uchwara na hawajitambui . 👇👇 "Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imetekeleza miradi mingi ya maendeleo hasa kwenye Jimbo letu la Ubungo ndio sababu tunasema wapinzani wanauza malalamiko lakini sisi CCM tunauza mafanikio" Prof. Kitila...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini vyama vya siasa kila siku ni katiba mpya na ununuzi wa ndege? Athari za mabadiliko ya nchi kwanini hamzipi vipaumbele?

    Wanabodi, Uchaguzi umekaribia. Tunajua CHADEMA watakuja na sera zao Katiba mpya meanwhile CCM watakuja na sera zao za jinsi walivyonunua madege, kujenga flyover na SGR. Lakini kwanini, vyama hivi havizungumzii kuhusu masuala ya utunzaji wa mazingira na mabadiliko ya tabia ya nchi hasa katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…