ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Za ndani kabisa, Biteko kuwa makamu mwenyekiti wa ccm

    Tetesi za ndani kabisa kutoka viunga vya Kizimkazi zinasema mama anamtaka Biteko kuwa ndiye awe makamu mwenyekiti wa ccm. Endapo itakuwa kama inavyosemekana, je, nani atachukuwa nafasi ya unaibu waziri mkuu? Au nafasi hii itafultiliwa.mbali??
  2. JamiiForums Tanzania Lisu Kutia Nia, Kwa Nini Kelele Za Kuchanganyikiwa Zinatoka Zaidi CCM?

    Jana Tundu Lisu, kwa kutekeleza matakwa, uhuru na haki ambayo chama chake kinatoa kwa wanachama wote, alitangaza nia yake ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Chake Ngazi ya Taifa. Wakati jambo hili ni la kawaida kabisa kwa vyama vyenye demokrasia, huko CCM watu wamechanganyikiwa na kutoa...
  3. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Demokrasia CHADEMA ni kubwa kuliko CCM. Sidhani kuna mtu atathubutu kutangaza nia yake kugombea uenyekiti wa CCM dhidi ya rais Samia Suluhu Hassan

    Hongera CDM kwa kuonesha upeo mkubwa wa ki-demokrasia kwa kuwa na mfumo unaoruhusu wanachama kugombea vyeo mbalimbali ikiwa ni pamoja na uenyekiti wa chama. Huwezi kusikia mwanachama wa CCM anatangaza nia yake ya kugombea uenyekiti wa CCM dhidi ya mwenyekiti aliyepo madarakani. Chadema...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni kama Vile CCM wanamsaidia Mbowe kwa kupunguza kasi ya Internet au?

    Tangu jana Lissu aanze kutrend naona kama kumetokea shida ya ghafla ya Mtandao. CCM wanamsaidia Mbowe au?
  5. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: CCM si mfano bora wa demokrasia ya vyama

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, ameonyesha wasiwasi wake juu ya hali ya demokrasia ndani ya vyama vya siasa nchini, akisisitiza kuwa vyama vingi vimejikita katika kuongozwa na viongozi badala ya kuheshimu matakwa ya wanachama...
  6. JamiiForums Tanzania KURA : CCM kuelekea 2025, Twende na Form 1 Au multiple Form ?

    Piga kura Yako . Je unakubali Twende na mama TU mpaka 2030 and may be possible up to 2035. Au wewe unapendekeza ccm I practice democracy kwa kugawa Forms kwa wagombea yeyote CCM mwenye sifa ya kuiongoza Tanzania . Wenu katika ujenzi wa Taifa hili changa
  7. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: CCM huwa hawachagui Mwenyekiti, wanateua Mgombea Urais wanamteka kuwa Mwenyekiti wao

    Vyama vyote vya siasa hapa nchini ni vyama vya viongozi, siyo vyama vya wanachama. Vyama vyetu vya siasa hapa nchini vina tatizo moja kubwa, ni vyama vya viongozi sio vyama vya wanachama. Matashi ya wanachama hayaheshimiwi na viongozi, kwahiyo nani anagombea nani hagombei kwangu siyo tatizo...
  8. JamiiForums Tanzania Yanayotokea Chadema muda si mrefu yatatokea CCM.

    Matokeo ya Mkutano wa Tundu Lissu;- Siasa zinaenda kubadilika sana kama Tundu Lisu ataingia madarakani nafasi ya Uenyekiti CHADEMA,huenda CCM ikatangaza Jambo lenye maamuzi magumu kuelekea Uchaguzi mkuu Kkuikabili hali hii,kumbuka TLS yuko Mwabukusi..... #Hapa ndipo refa huwa anaingia...
  9. JamiiForums Tanzania Democracy ya kweli ipo ccm sio CHADEMA mtu anagombea mnamuona msaliti? Mnamshambulia na kumtusi mlitaka mgombea gani?

    Tundu Lissu ndiye katuonyesha ujinga wa CHADEMA na ujinga wa wanachama wake. Wanachadema ni manamba wa mtu, tuseme CHADEMA iliundwa kwa ajili ya Mbowe tu au watu wa kaskazini. Lakini najiuliza swali, kwa nini demokrasia CHADEMA ni ngumu sana kuipata? Badala ya kumpima kwa hoja, wao wanamuona...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini magazeti yenye mrengo wa CCM ndiyo yameshadadia sana nia ya Lissu kugombea uenyekiti CHADEMA?

    Nimepitia vichwa vya habari vya magazeti ya leo karibia yoote hata Uhuru gazeti pendwa la chama na yale yanayojulikana kuwa na chuki na upinzani yameishabikia sana habari ya Lissu kutangaza nia ya kuchuana kuiwania nafasi ya mwenyekiti wa CHADEMA!. Ni kwa nini imekuwa hivyo!?
  11. JamiiForums Tanzania Je kuna kitu choche cha maana au kizuri watanzania wanaweza kujifunza au kujivunia toka CCM ya sasa na uchawa wake?

    Huwa siachi kujiuliza. Tangu CCM itekwe na mafisadi, kuna kitu cha maana au kizuri tunaweza kujivunia kama watanzania? Kila uchao, kuna matukio ya utekaji, tunapotezwa, tunatishwa, na watu wasiojulikana tunayonywa, tunadharauliwa, tunauzwa na kubinafsishwa, tunanyamazishwa, tunachanganywa na...
  12. JamiiForums Tanzania Je, ni ipi tofauti ya Mbowe, Kagame, Museveni, Nyerere na viongozi wa aina hiyo?

    Nyerere Alikaa madarakani zaidi ya miaka 20, hakuna ishu ya maana aliofanya kwenye kuikomboa nchi na umasikini zaidi ya kupandikiza uoga kwa raia….hakupaswa kuitwa baba wa taifa. The worst president in our history. Museveni yupo madarakani tangu sijazaliwa… over 38 years ! Uganda ni nchi...
  13. JamiiForums Tanzania Hata Msigwa alianza kwa vitisho kwamba Mbowe lazima aondoke uenyekiti Chadema, baadae akaenda kumuona Lissu Singida, kisha akaenda CCM

    Naona kama kuna jambo linawekwa sawa kabla ya mtu kutimkia chama kingine. Msigwa pia alianza kwa kutamka kwamba Mbowe lazima aachie uenyekiti, akamshambulia sana, lakini baadae akahama chama. Sasa ni zamu ya rafiki mkubwa wa Msigwa kufata mkondo
  14. JamiiForums Tanzania CCM naona mmekosa mlichokita Mkutano wa Lissu

    Wengine tulijua hamu yenu ya kugeuza maneno ya Lissu kama angalau angemtaja Mbowe kidogo tu. Sasa naona mitandaoni mnakuja na stori za kuungaunga. Mmeaibikla. CCM mmekikosa mlichokitaka mkutano wa Lissu.
  15. JamiiForums Tanzania Lissu ni kirusi kibaya ndani ya CHADEMA. Wana CHADEMA tokeni usingizini, Lissu anakwenda CCM

    Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo. LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani. Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu. Wana CHADEMA...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Hongera CCM kwa ushindi

    1. Lisu kwa upumbavu wako umipa CCM ushindi! 2. kulikuwa na haja gani ya kuitisha press? 3. kama ulisema mara 100, kuwa hutagombea Uenyekiti, leo umegeuka Jiwe, ni kuwa HUAMINIKI https://www.instagram.com/habarimpyatv_/reel/DDUepM5iQsa/ KIFO CHA CHADEMA TAYARI
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini CCM Mwenyekiti wake Taifa, lazima awe Rais wa Nchi?

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa na ushawishi mkubwa katika siasa za Tanzania tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977. Katika mfumo wa kisiasa wa nchi, Mwenyekiti wa CCM amekuwa akichukuliwa kama lazima awe Rais wa nchi. Hii ni kwa sababu ya uhusiano wa karibu kati ya chama na serikali, ambapo CCM...
  18. S

    JamiiForums Tanzania nia ya lisu ni kwenda ccm ili kujisafisha ana mshambulua mbowe

    kinachokuja kutokea ni lissu kwenda CCM au ACT . ila kwasabau kuna mkasa wa kupigwa risasi atasema alipiga ni wana chadema
  19. Q

    JamiiForums Tanzania CCM haina Makamu Mwenyekiti kwa miezi sita sasa

    Tangu aliyekuwa makamu mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana atofautiane na Mwenyekiti wake na baadae kufukuzwa mwezi wa 7, hadi leo hakijapata mbadala wa kujaza nafasi hiyo. WanaCCM wengi wanahoji inakuwaje chama kikongwe kama hiki kikose mtu sahihi wa kumsaidia Mwenyekiti, wanahoji kwanini...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Arusha: Kada wa CHADEMA kuvunja chungu kisa matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa

    Alitangazwa wa Chadema, baadaye usiku akatangazwa wa CCM. Sasa wazee wa kimila Arusha masai wamesema wao hawana polisi, ni wa kwao, Mahakama ni zao, TISS ni yao. Kimbilio lao ni kuvunja chungu aliyetangazwa kiharamu afe. sikiliza
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…