ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania LGE2024 Rais Samia ameipa ushindi CCM Uchaguzi Serikali za Mitaa kutokana na kutekeleza Ilani ya chama kikamilifu

    Ona namna shule, madaraja barabara na shule pia hospitali zinavyojengwa . Je ni Mtanzania gani angechagua upinzani? Hii ndio sababu ya wagombea CCM kupita bila kupingwa kwa asilimia 90.
  2. JamiiForums Tanzania LGE2024 Singida: Polisi wanamsaka Katibu Mwenezi CCM kwa kumjeruhi Katibu wa CHADEMA kwa kisu

    Wakuu, Huu uchaguzi ni balaa! ====== TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamtafuta Joseph Shila, Katibu Mwenezi wa CCM Kata ya Mitunduruni, Wilaya ya Singida kwa tuhuma za kumjeruhi kwa kisu kwenye bega la kushoto Hamisi Nkua, (52) Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Singida. Kupata...
  3. JamiiForums Tanzania LGE2024 Polisi Rukwa: Vijana CCM hawakuwa na nia ya kuchoma nyumba ya Mbunge

    Wakuu, Maake hapo kwanza ncheke! === Jeshi la Polisi mkoani Rukwa limetoa ufafanuzi wa taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu vijana sita wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kukamatwa nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini, Aida Kenan wakiwa na petroli lita 20 kwa lengo la...
  4. JamiiForums Tanzania Ukiona kijana yeyote ni kada mtiifu wa CCM jua baba yake alikuwa ana nafasi fulani ya uongozi

    Wadau Tusitishane, Tusipangiane na Tusilazimishane. Wengi wa vijana wa ccm {kada} watiifu wamekuwa hivyo kutokana na wazazi wao kuwa watendaji wa vijini/kata, wengine ni watoto wa waalimu hawa huwambii kitu kuhusu chama ma mapinduzi. wengine ni watoto wa mafisadi papa hawa sasa kaa nao mbali...
  5. JamiiForums Tanzania Ni muda wa silver revolution nchini Tanzania

    Kwa Sasa CCM na serikali yake dhalimu wamezidi dharau nyingi. Wanafanya udhalimu wa wazi mchana peupe wakijua hakuna wa kuwafanya chochote. Chaguzi ndio njia pekee ya kukabidhiana madaraka kwa amani. Pale ambapo uchaguzi hauheshimiwi na kura za wananchi hazipewi uzito unatakiwa basi njia...
  6. JamiiForums Tanzania LGE2024 Msimamizi wa Uchaguzi akutwa na kura 25 zilizopigwa kwa Mgombea wa CCM

    Msimamizi wa uchaguzi amekamatwa Kura feki 25 zilizo pigwa kabisa kwa Mgombea wa CCM, Haya Mauchafu Yanaendelea Nchi Nzima.
  7. JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo waitupia lawama CCM, changamoto Uchaguzi Geita

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Mkoa wa Geita, Lucas Tibengana amesema kuwa zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa limekumbwa na changamoto kutokana na mfumo wa majina, hali Iliyosababisha baadhi ya wananchi kushindwa kushiriki katika upigaji kura. Akizungumza katika kituo cha kupigia...
  8. JamiiForums Tanzania LGE2024 Geita: ACT Wazalendo waitupia lawama CCM changamoto za Uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Mkoa wa Geita, Lucas Tibengana amesema kuwa zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa limekumbwa na changamoto kutokana na mfumo wa majina, hali Iliyosababisha baadhi ya wananchi kushindwa kushiriki katika upigaji kura. Akizungumza katika kituo cha kupigia...
  9. JamiiForums Tanzania Kuiondoa CCM madarakani ni sawa na kupoteza muda

    Kuiondoa CCM ni sawa na kupoteza muda kwasababu chama kingine kitakachochukua nafasi ya kuongoza kiuchumi kitakuwa kina tumia mfumo huu wa sasa. Sina elimu ya juu kama great thinkers wengi humu ndani, hiki ninachosema si biblia au msahafu, ni mawazo na msimamo wangu binafsi nilioamka nao leo...
  10. JamiiForums Tanzania Mbinu mpya ya CCM kuingiza kura fake vituoni ni kutumia Plice na magari yao.

    CCM ni sawa na yale magenge ya Madawa za kulevya kule Mexco, ambako kila mbinu ikijulikana huingia chimbo na baadae kuja na mbinu mpya ya kusafirisha Dawa za kulevya. CCM baad ya kugundua mbinu nyingi za wao kuiba kura hasa kura fake zinajulikana now day sana wanatumia police hao hao kuiba...
  11. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigoma: Mgombea adaiwa kukamatwa na kura feki

    Wakuu, Ingia hapa kupata matukio yote ya uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: https://www.jamiiforums.com/threads/special-thread-mijadala-ya-mikoa-yote-tanzania-bara-inayoshiriki-katika-uchaguzi-wa-serikali-za-mitaa-2024.2265632/ Anayedaiwa kuwa mgombea katika kitongoji cha Mgera B...
  12. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu ahamasisha wananchi kupiga kura

    MWENYEKITI WA CCM SIMIYU AHAMASISHA WANANCHI KUPIGA KURA. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed, ameendelea kuhamasisha wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi leo kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Mara baada ya kupiga kura katika kituo cha...
  13. JamiiForums Tanzania CCM haiwezi kupotezwa ushindi kwenye sanduku la kura

    Mimi ni CHADEMA, lakini uchaguzi wa leo umenipa funzo kubwa. CCM wana mbinu nyingi za kushinda uchaguzi, na kwa upande wa upinzani, inaonekana tuko usingizini. Hawa CCM wako tayari hata mtu afe ili wao washinde. Wana mbinu nyingi mno! Kimsingi, ni haki ya Watanganyika kupuuza uchaguzi, kwa...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Arusha: Gambo asaidia malazi kwa manusura wa ajali ya moto

    Wakuu, Unatoa msaada ukiwa umevaa shati ya mama mitano tena :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: ===== Zaidi ya wananchi 15 katika Kata ya Unga Limited mkoani Arusha, wamelazimika kulala nje kwa zaidi ya siku 10 baada ya moto uliotajwa kusababishwa na shoti ya umeme kuteketeza...
  15. JamiiForums Tanzania Utekaji Tanzania, Je ni ishara Serikali, na Vyombo vyake na CCM Kukosa Maarifa ya Uwajibikaji Kidemokrasia na Kikatiba?

    Taifa lenye misingi ya maarifa ya ukatiba thabiti na Demokrasia haliwezi kuwa na watu dhaifu katika kuishi kutenda haki na wajibu kwa misingi katiba na sheria, pia kuheshimu muundo wa demokrasia. Taifa lolote hutegemea maarifa ya tasnia ya sheria, political administration, policies...
  16. JamiiForums Tanzania LGE2024 Boniface Jacob: CCM wamechagua mwisho mbaya

    Jana usiku nimempigia Mzee mmoja mstaafu wa serikali aliyewahi kuhudumu kama msaidizi wa mambo ya ulinzi na usalama wakati wa Rais Julius Kambarage Nyerere. Nimemlalamikia namna serikali ya CCM, CCM yenyewe na vyombo vya dola jinsi vilivyochezea uchaguzi wa serikali za mitaa tangu zoezi la...
  17. JamiiForums Tanzania LGE2024 Sosopi: Tunaijua mipango miovu ya CCM kuzuia Uchaguzi

    Mjumbe wa kamati kuu CHADEMA taifa Patrick Ole Sosopi Patrick ole Sosopi akielezea uovu waliokutana nao wakati wa kuapisha mawakala wa chama hicho wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kata ya Idodi ,Wilaya ya Iringa mkoani Iringa.
  18. JamiiForums Tanzania LGE2024 Pwani: Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar ataka CCM wasiwachukie Wapinzani

    MAKAMU wa pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla amewataka Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutowachukia wagombea wa vyama vingine waliojitokeza kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa kwani wameshiriki kukamilisha Demokrasia. Makamu huyo wa Rais ameyasema hayo alipokuwa akifunga...
  19. JamiiForums Tanzania LGE2024 Morogoro: CHADEMA yadai Mwenyekiti wao wa Kanda ya Kati ajeruhiwa wakigombea Uwanja na CCM

    Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zimehitimishwa rasmi hapo jana, Jumanne Novemba 26.2024 huku leo, Jumatano Novemba 27.2024 zoezi linalosubiriwa na wengi ni la upigaji wa kura, ambapo kufuatia sera za mbalimbali vya siasa wananchi wanayo nafasi sasa ya kuchagua viongozi wanaowataka Hata...
  20. JamiiForums Tanzania LGE2024 Abdallah Kambaya: CCM inahudumia Wananchi katika misingi ya sera

    Kada wa chama cha mapinduzi CCM Bwana Abdallah kambaya Amesema chama hicho kinajenga hoja kwa misingi ya Sera Katika kuwahudumia wananchi wake Ameyasema hayo alipokuwa anazungumza na wananchi wa kijiji cha mtumbikile kata ya kilangala huko manispaa ya Lindi wakati wa mkutano wa kufunga kampeni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…