ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Naapa kuachana na CCM

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza mimi Raia mtanzania ninaapa kutokuiunga mkono CCM chini ya Samia kwa kutukosesha mikopo wanafunzi wa vyuoni na wengine tumeishafika chuo tukitegemea tungepata walau boom itusaidie maisha ya chuo, kwa maandamano yoyote ya kuipinga serikali nitaunga...
  2. JamiiForums Tanzania Ni Bora turudie mfumo wa chama kimoja tu (CCM) basi!

    Ni Bora tubakie na chama kimoja ili tupate umakini katika kuchagua aina ya viongozi, hii attention inayopewa mfumo wa vyama vingi, inaondoa mkazo kwenye kuchakata aina za viongozi tunaowachagua ushindani wa kweli inaweza kuwa na nguvu zaidi kwenye chama kimoja kuliko kingine, na pia hakutakua na...
  3. JamiiForums Tanzania KERO CCM na Serikali yake wameharibu sana Miji ya Tanzania, na imebakia kuwa magulio, miji imejaa Frame hadi kwenye makazi ya watu. Miji ni michafu sana

    Miji ya Tanzania kitambo back ilikuwa mizuri sana, kabla hawa wajinga CCM hawajaingia hadi kwenye mipango miji. Angalia mji wa mishi ulivyo kuwa msafi kipindi fulani. Now moshi ni chafu imejaaa wachuuzi kila kona, sehemu za wazi zimegeuzwa kuwa magulio ya wamachinga au stendi za Bajaji. Dar...
  4. JamiiForums Tanzania CCM na Chadema VS Yanga na Simba: Ukisikia yala ujue imempata, alielenga ana shabaha hajafanya makosa

    Habari zenu wanaJF wenzangu Leo mimi kama mtanzania mwenye haki ya kutoa maoni, nimekuja kutoa maoni yangu na kuweka sawa historia kuhusiana na swala la michezo pamoja na siasa zetu hapa nchini. Kabla ya kuendelea na mada yangu, naomba nikiri tu kwamba kwa sasa michezo imekuwa ikipewa...
  5. JamiiForums Tanzania Jukwaa la Siasa Tanzania: Kwa Nini Vijana Wanajihisi Kusalitiwa na CHADEMA?

    Nakumbuka mwaka 2015 jijini Dar es Salaam, kipindi ambacho kishindo cha kampeni za CHADEMA kilikuwa kikubwa. Kati ya matukio yaliyonivutia ni kundi kubwa la watu nililoliona maeneo ya Magomeni likielekea Msimbazi kuhudhuria mikutano ya chama. Ingawa wakati huo sikuwa na mshikamano wa karibu na...
  6. JamiiForums Tanzania Hawa wakulima wa Dar ndio wanalima wapi, mjini hakuna shamba CCM tunafeli wapi?

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Jiji la Dar Es salaam Ndugu Elihuruma Mabelya amekabidhi pikipiki 25 kwa Maafisa ugani wa Kilimo Jijini Dar Es salaam, akihimiza kutumia pikipiki hizo katika kuleta tija kwenye sekta hiyo muhimu kwa uchumi wa Tanzania. Leo Ijumaa Disemba 06, 2024 wakati...
  7. G

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Rais mstaafu, mzee Kikwete naye ajitokeze kutoa maoni yake kuhusu ushindi wa ccm wa 99% ktk uchaguzi wa S/MITAA 2024

    Tumemsikia waziri mkuu mstaafu jaji Joseph Sinde Warioba, hakufurahishwa na mazonge yaliyofanywa na ccm ktk uchaguzi wa S/MITAA. Na akenda mbali zaidi aklaani tabia ya ccm kutumia vyombo vya dola ktk chaguzi. Tumemsikia spika mstaafu mzee Pius Msekwa hakufurahishwa na ushindi wa 99% ambao ccm...
  8. JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizi wa kura unaua morali ya wapiga kura

    Wale wezi wa kura wasioheshimu sanduku la kura,wanaishi kwa mbeleko Msijione washindi kwa wizi wa kura kimsingi mnaua morali ya wapiga kura kushiriki katika chaguzi mbalimbali hapa nchini. Imefikia hatua wanachi hawataki kujitokeza kwenye mikutano na wala hawataki tu kusikia habari za uchaguzi...
  9. JamiiForums Tanzania Malecela apongeza uimara wa CCM na Serikali zake kutumikia Watanzania

    Ataka uzalendo zaidi sambamba na utekelezaji wa Ilani ya CCM Na Mwandishi Maalum, Dar es Salaam Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee John Malecela, amewataka wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwa na moyo wa kizalendo na kujituma kwa ajili ya maslahi ya taifa...
  10. JamiiForums Tanzania LGE2024 Arumeru: Wananchi wamkataa Mwenyekiti wao mpya wa CCM, inadaiwa kampiga rungu raia na kumvunja mkono

    Wananchi wa kata ya kiutu wilaya ya Arumeru, Mkoani Arusha wameandamana na kufanya kikao na Diwani wao wa kata hiyo Malaki Marambo Kwa lengo la kushinikiza kumkataa Mwenyekiti wao Hashim Saitabao aliyeshinda uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27, 2024 Chanzo Cha wananchi hao...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mapya sakata la Lusako: Polisi wafunga reply kwenye account yao

    Kwenye taarifa ya polisi kuhusu tetesi za kutekwa kwa Alphonce LUSAKO ,Account ya Twitter ya polisi Imefungwa reply. Cha ajabu wale wote wenye vina saba vya CCM wameweza reply kwa kusifia tu.
  12. JamiiForums Tanzania Fungeni CCTV Camera kwenye maeneo yenu ili kujilinda na kulinda wengine

    Ukipanda basi ulizia Lina CCTV camera na inafanya kazi? Vituo vya kujazia mafuta tunaomba fungeni CCTV maana zitasaidia Sana mbele ya safari. Kama nyumba yako iko barabarani funga CCTV maana unaweza kuokoa maisha ya watu. Kwenye bar, mgahawa, hoteli, mtaa wenye maduka na shughuli nyingi...
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: Viongozi wengi waandamizi wa CHADEMA wakubali yaishe kwa amani, wengi wao wanatarajiwa kutimkia CCM kuliko vyama vingine vya siasa

    Unadhani ni nini kimewavutia hata wakuamua kukimbilia zaidi CCM kuliko vyama vingine vya siasa? Ni ukata wa fedha wa kutisha ulioko ndani ya vyama hivyo vya siasa nchini au ni ufinyu wa fursa za kazi na nafasi ya kubaki relevant kwenye political scene na angalau kula maisha kidogo na wana CCM...
  14. JamiiForums Tanzania Njombe: Watu 7 wakamatwa kwa kutishia kuwaua Mwenyekiti wa Mtaa, Katibu Kata wa CCM, Mtendaji Kata na Mtendaji wa Kijiji

    TAARIFA KWA UMMA. Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe linapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa linawashikilia watu saba kwa kosa la kutishia kuua kwa Maandishi huko katika kijiji cha Ngelenge Kata ya Luhuhu wilaya ya Ludewa Mkoa wa Njombe watu hawa saba walitenda kosa hilo tarehe 3.12.2024 kwa kubandika...
  15. JamiiForums Tanzania Katibu Uenezi CCM Dodoma: Sio kila kifo kinahusiana na uhasama wa kisiasa. Kufa hakusimami katika kipindi cha Uchaguzi!

    Wakuu, Naona ile kauli ya kifo ni kifo inaendelea kufanyiwa kazi kazi ipasavyo na chama kimoja cha siasa hapa nchini. Hawa viongozi wa CCM huwa hawafanyiwagi vetting na kupewa semina on what cha kuzungumza na kwa wakati gani? ====== Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa...
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge Ndaisaba Ruhoro Akabidhi Vyeti vya Mafunzo ya Udereva kwa Viongozi wa CCM Zaidi ya 150

    MBUNGE RUHORO AKABIDHI VYETI VYA MAFUNZO YA UDEREVA KWA VIONGOZI WA CCM ZAIDI YA 150 Ngara; 2/12/2024 Kufuatia kukamirika kwa mafunzo ya Udereva yaliyo tolewa na Chuo cha Lake Zone Driving College kwa Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Ngazi za Kata Wilayani Ngara Chini ya Uratibu wa CCM mkoa...
  17. JamiiForums Tanzania Hiki kikatuni kinaelezea ukweli kuhusu CCM na Polisi?

    Nimekiangalia hiki kikatuni, na kuunganisha alichokisema Jaji Warioba kwenye mkutano wake na wanahabari, kimenitafakarisha Sana. Wewe unaona kama kuna ukweli fulani kuhusu hil katuni? Tujadiliane.
  18. JamiiForums Tanzania Njombe: Mwenyekiti wa Kijiji kupitia CCM akimbia ofisi baada ya kupokea vitisho

    Barua za vitisho zilizosambazwa na watu wasiojulikana zimesababisha taharuki kubwa katika ofisi mbalimbali za kata ya Ruhuhu, wilayani Ludewa, mkoani Njombe. Kwa mujibu wa kituo cha habari cha Kings FM, barua hizo ziliripotiwa kubandikwa usiku wa kuamkia Desemba 3, 2024, kwenye ofisi za...
  19. JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM yahimiza waliochaguliwa kuwatumikia wananchi

    Chama cha Mapinduzi mkoani Lindi kimewashukuru wananchi mkoani humo kwa kukipa ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27 mwaka huu. Akiongea na wananchi pamoja na wanachama wa chama cha Mapinduzi wakati wa mkutano uliofanyika jimbo la Lindi mjini, Katibu wa...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Ikungi: Lissu epuka aibu nyingine 2025, usigombee Ubunge Ikungi

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ikungi mkoani Singida kimemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kutogombea ubunge 2025 katika jimbo la Ikungi Mashariki ili kuepuka kupata aibu kama ilivyojitokeza katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27, 2024. Katibu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…