ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Ni haki ya CCM kushinda uchaguzi mkuu kwa kishindo kwasababu iliwaahidi wananchi na kutekeleza ahadi zote kwa maneno na vitendo kwa uaminifu mkubwa

    Na kwa safu ya uongozi na wagombea uongozi wake kwenye ngazi ya urais na umakamu wa Rais wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania na ile ya Zanzibar, Ni wazi CCM madhubuti imejipanga vizuri mapema kabisa kwa makusudi ili kushinda nafasi hizo kwa kishindo kikuu Oct 2025. CCM inaamnika, CCM...
  2. M

    JamiiForums Tanzania JK hakwepi lawama kwa jinsi CCM ilivyogeuka kikundi cha watu wachache badala ya kuwa chama cha mamilioni ya wanachama

    Naam, hili wala halina ubishi. Katika watu ambao hawawezi kukwepa lawama katika kuvuruga chama cha Mapinduzi na hatimaye kuiweka nchi katika sintofahamu na kupelekea nchi kukosa muelekeo ni huyu JK. 1. BIFU LAKE BINAFSI NA EL LILIVURUGA CCM. Kila mtu anakumbuka jinsi EL alivyokatwa katika...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Abbas afanya ziara TAFORI, ahamasisha watafiti kufanya tafiti za kimaendeleo

    Na Mwandhishi Wetu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbas amewahamisisha Wataalamu wa utafiti wa Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI), kuandaa miradi mbalimbali ya utafiti yenye kuleta maendeleo chanya ndani ya Taasisi na katika sekta ya Misitu na ufugaji...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya Wananchi kugomea t-shirt na fedha za Kawawa, ajitokeza na kusema hizo ni fitna za Kisiasa na kuwa wanaichafua CCM

    Siku chache baada ya baadhi ya Wananchi kumjia juu Mbunge wao wa Jimbo la Namtumbo, Vita Rashid Kawawa, ameamua kujibu. Wananchi wao wa Kijiji cha Mlalamiwa na Matepwende waligoma kupokea zawadi za Mbunge wao ambazo ni fulana na fesha kwa madai kuwa hawawezi kufanya hivyo wakati huduma...
  5. JamiiForums Tanzania UKWELI USEMWE: CCM ni Chama Kikubwa Nambari 9 Duniani

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) cha Tanzania kinashika nafasi ya tisa duniani kwa ukubwa Hapa kuna orodha ya vyama kumi vikubwa vya siasa duniani kulingana na idadi ya wanachama: Bharatiya Janata Party (BJP) – India: Wanachama milioni 198 (2023) Chama cha Kikomunisti cha China (CCP) – China...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wa kuiondoa CCM madarakani ni wananchi na siyo CHADEMA

    Wakuu salama, Baada ya CHADEMA kupata mwenyekiti mpya watu wamekuwa na imani kuwa huenda chadema wataitoa madarakani CCM, lakini uhalisia ni kwamba kama wananchi hawatoungana kwa pamoja CCM haiwezi kubanduka pale ikulu. Lissu mwenyewe amekiri licha ya kampeni ya 'No reforms no election'...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi CCM walivyoburuzana na kulazimisha kupitisha mtu wao, kuna haja ya kufanya uchaguzi wakati matokeo yashajulikana?

    Jinsi machawa sorry CCM walivyplazimika kumpitisha mtu wao, kuna haja ya kufanya uchaguzi na kupoteza fedha na muda? Kama wanaogopana na kuburuzana uchaguzi utanusurika? Najiwazia tu. Kama anayosifiwa ni ya kweli, kwanini ameogopa machawa yake?
  8. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tamko zito la vijana CCM wa vyuo vikuu waunga mkono Rais Samia na Dkt. Mwinyi kugombea urais 2025

    24 January 2025 Dar es Salaam, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=woYIDnx1xcw Wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu mkoani Dar es Salaam wametoa tamko rasmi kuunga mkono azimio la Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya...
  9. JamiiForums Tanzania Ningekuwa Mwenyekiti wa CCM, Mapendekezo ya Lissu kuhusu mchakato wa Katiba ningeyakubali wakati huu na kuyafanyia kazi haraka!

    Kuna msemo unaosema no one knows tomorrow! Lissu kaja na mapendekezo mazuri sana kuhusu mchakato wa mabadiliko ya Katiba kuelekea Uchaguzi Mkuu. Mapendekezo ya Lissu ni Bunge kuongezewa muda, uchaguzi kupelekwa mbele alafu reforms za Katiba kufanyika ndipo twende kwenye uchaguzi. Kama...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo: Wizara ya Elimu iwache kuwatumia wanafunzi katika shughuli za CCM

    TAARIFA KWA UMMA Wizara ya Elimu iwache kuwatumia wanafunzi katika shughuli za CCM ACT Wazalendo tunalaani vitendo vinavyoanza kushamiri kwa kasi vya kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za siasa wakati wa muda wa masomo, jambo ambalo ni kinyume na miongozo ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya...
  11. JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama vya siasa kwanini CCM hawakufata katiba ya chama chao kumpitisha mgombea Urais?

    NB. JK ameonekana rasimi ni adui wa Demokrasia nchini, aliamia kuchukua mamlaka ya kujimilikisha uenyekiti wa kikao na kutoa pendekezo la udikteta kwa kulazimisha kupitishwa majina ya wagombea Urais bila kufuata utaratibu wa chama. Hii maana yake ni kuwa chama kimekiuka miongozo ya katiba ya...
  12. JamiiForums Tanzania Ni rasmi CCM wapo kwenye Panic Mode

    Sasa naamini kabisa kuwa CCM hawakujipanga na ujio wa Lissu. Suala la Lissu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA limewashtua na limewaumiza hakika! Kuanza kurudi kwa ma propagandists wa siku nyingi humu jamvini kama makada Ritz Laki Si Pesa ni ushahidi tosha kuwa Chama cha Mapinduzi kina hali mbaya...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa CHADEMA umefungua njia kwa wanasiasa kutambua nguvu ya vijana, CCM wamebadili gia sasa wanaenda na vijana siyo wazee

    Kama wewe ni kijana na unaamini katika kulitumikia taifa kama diwani au Mbunge anza kujiandaa kwenda kugombea. Mfumo umebadilika na fikra zimebadilika. Wapiga kura sasa hivi ni vijana na vyama vimebaini umuhimu wa wagombea vijana Kipenga kimepulizwa anzenu kujinoa, msiseme hakuna mtaji. Mtaji...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Lissu Bila Kukaa Kwenye Meza Ya Mazungumzo na CCM na Serikali yake hatafanikiwa kwa lolote lile

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna uwezekano kuna watu au kikundi cha watu au Wafuasi wa lissu wakawa na matumaini na matarajio makubwa sana na lissu kwamba anaweza badilisha au lazimisha kufanyika kwa jambo lolote lile analotaka au wanalolitaka wao kwa nguvu au mabavu au kwa shinikizo. Nipende tu...
  15. W

    JamiiForums Tanzania CCM mrudisheni Makonda kwenye uenezi, twanga pepeta ana pwaya

    Kwa upepo wa kisiasa unavyo vuma hivi sasa, Makonda ni mtu sahihi kueneza sera za chama tawala kuelekea uchaguzi mkuu Uzuri wa Makonda ni proactive Ushauri wangu ni huo Makonda na Polepole warudi kundini harak sana
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naiona kambi ya CHADEMA Kaskazini hiyoo inaeenda CCM

    Wanaukumbi Baada ya Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA kuisha na kupata viongozi wa wapya Mwenyekiti Tundu Lissu, na Makamu wake John Heche. Kama tulivyosikia na kuona hotuba ya Mwenyekiti aliyepita Freeman Mbowe, kuwa uchaguzi umeacha mpasuko mkubwa ndani ya chama ingawa hawa viongozi wapya...
  17. A

    JamiiForums Tanzania CCM mlichokifanya kwenye mkutano wenu wa tarehe 17-18 Januari 2025 ni kuwatukana Watanzania

    Mkutano wa CCM uliofanyika tarehe 17 hadi 18 Januari mwaka huu ulikuwa ni kituko cha mwaka na kuwatukana watanzania. Watu wananuka shida, maisha ni magumu kila kona, lakini CCM hawakuona aibu kutumia mabilioni ya watanzania walipa kodi, kusomba watu, wasanii, watangazaji, vyombo vya habari...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa hali na kauli za mzee wasira kuna kila dalili " kurudishwa kundini bwana bashiru" the ghang

    Wasira anadhihirisha dhahiri 80 years old man can not think and he is mentally tired. Kama vijana kama Christian wakipewa nafasi wanakosa chembe ya hikima kwenye brain wasira anakila dalili kukichoma moto chama cha Mapinduzi. Hii ni ishara kwamb Sukuma gang bwana Bashir akahitajika. Kiufupi...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu akimjibu Wasira CCM msikimbilie kutumia dola kama kipindi cha Magufuli

    Naona mzee Wassira anatingisha mzinga wa nyuki kwa kuanza kuleta mipasho ya kitoto dhidi ya CHADEMA. Ombi langu kwa Wassira na CCM, mmeshachokwa, achaneni na Chadema. Kwa mawe ya Lissu msikimbilie tena kutumia dola kama Hayati mzee Meko kipindi kile. Sote tunajua baada ya Press ya Lissu ule...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Tumuombee mzee Wasira

    Sijui kwanini familia ya Mzee Wasira wameruhusu hili la kuendelea na siasa. Kuna umri mtu unafikia familia ndiyo inatakiwa kufanya maamuzi na umri huo ni wa mzee Wasira. Huyu ni mzee ambaye anasahau mpaka yupo awamu gani kitendo cha kuwaachia CCM wamtumie mzee wenu hivi ni kitendo cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…