ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kutangaza utaratibu mpya ubunge viti maalum. Hoja za Lissu zimeanza kuwaingia?

    Wakuu, Lissu hapa majuzi aliuliza imekuwaje CCM ina wabunge 6 zaidi huku chadema ikiwa na 1 kwenye nafasi ya ubunge wa viti maalum, lakini pia Lissu huyu huyu alisema wabunge wa viti maalum wawe wanapewa muhula mmoja, akisema huo unatosha kufanya mtu ajipange na kujijenga kuwania nafasi hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Tumejihakikishia kwa chaguzi tatu kwamba CCM haitaki uchaguzi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche aivaa vikali Serikali ya CCM kwa kushindwa kutoa uchaguzi ulio huru na wa haki kwa kila chama badala yake imejimilikisha uchaguzi huo na kuona wengine hawafai kuongoza. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
  3. JamiiForums Tanzania Ligi za Tanzania kama tusipo kuwa makini Simba na Yanga ni mali ya CCM kiufupi

    Kuna mda unaweza kushangaa waziri au wabunge wa CCM sababu wote ni CCM wakawa wanaongea hizi club badala ya shida za watu tokea kupata uhuru. Hivi kuna nchi gani za ulaya zimekaa bungeni kukaribisha club ambazo zitangazi taifa mfano Brazil timu ya taifa kufanya vizuri japo hata bungeni...
  4. JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani, unganeni na CHADEMA , Waachieni CCM uchaguzi wao wenyewe , unganeni kupigania Hatima yenu ya Sasa na Baadae !!

    Ninawahakikishia, Siku mtakayotoa Kauli Moja tu ya kwamba, HAMTASHIRIKI UCHAGUZI WOTE BILA MABADILIKO , mchakato waabadiliko hayo utaanza mara Moja . Waachieni CCM uchaguzi wao, wajifanyie Kampeni wao, wajichague wenyewe !!. Achanane na Hadaa za muda mfupi za CCM , kwamba zitakupa Ruzuku ...
  5. JamiiForums Tanzania Miaka 64 ya uhuru: Watu wanakwama kwa siku 18 kisiwani bila usafiri, Hii ndiyo CCM

    Serikali inayojinasibu kukusanya matrilioni ya mapato ya kodi, Mwaka hadi mwaka inavunja rekodi! Achilia mbali vyanzo vingine vikuu vya mapato ambavyo nchi yetu imebarikiwa, kama madini, vivutio vya utalii, ardhi safi na amani inayohubiriwa kila siku! Lakini kwa miaka zaidi ya 60, Mkulima...
  6. JamiiForums Tanzania Makalla: Malisa amepita vyama tofauti vya siasa ndio akaja CCM, bado hajaelewa misingi ya CCM

    Malisa amepita vyama tofauti vya siasa ndio akaja CCM kwaiyo bado hajaelewa misingi ya CCM kwaiyo huko aliko akajifunze misingi ya chama cha mapinduzi – Makalla. Chanzo: Wasafi FM
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inakuaje Mkutano Mkuu wa CCM unaogopeka kama Mungu, Mwanachama huwezi kuhoji mamlaka ya Mkutano Mkuu hata kukiwa na Uovu!

    Wakuu Inakuaje Mkutano Mkuu wa CCM unaogopeka kiasi hiki mapaka Mwanachama huwezi kuhoji mamlaka ya Mkutano huo hata kukiwa na Uovu ndani yake. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Zanzibar, Khamis Mbeto, azindua rasmi Kituo cha mafunzo ya Amali kilichopo Mbuzini, Bububu

    Katibu wa Idara ya Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Zanzibar, Khamis Mbeto Khamis, amezindua rasmi Kituo cha Mafunzo ya Amali kilichopo Mbuzini, ndani ya Jimbo la Bububu. Kituo hiki kimejengwa kwa juhudi za Mwakilishi wa Jimbo hilo, Mudrik Ramadhan Soraga, kwa lengo la kuwawezesha vijana...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watoto wa 2000 ndo wataitoa CCM madarakani

    Ipo siku mtakumbuka huu Uzi Ila nawaambia vijana wa 2000 ndo wataleta mabadiliko ya kweli katika hili Taifa. Hiki ndo kizazi kimezaliwa katika nyakati ngumu sana, kizazi ambacho mtu anasoma degree Ila anakuja kulipwa 150K Kizazi kinachopitia mateso . So hiki kizazi Serikali inatumia nguvu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mama Maria Nyerere aitaka CCM kusimamia ipasavyo Serikali

    Mjane wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Mama Maria Nyerere, amekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kutimiza wajibu wake wa kuzisimamia Serikali zake zote mbili ili kuhakikisha nchi inaendelea kuwa na uwezo wa kujitegemea, hasa katika kujilisha. Mama Maria ameyasema hayo...
  11. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, na uongozi wa VETA watakiwa kuendesha program zitakazowasaidia Vijana wa Zanzibar kujiajiri na kuajiriwa

    Naibu katibu Mkuu wa Chama Cha cha Mapinduzi Zanzibar Dkt. Muhammed Said Dimwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Fatma Hamad Rajab kukaa pamoja na Uongozi huo wa Veta ili kuweza kuendesha program zitakazowasaidia Vijana wa Zanzibar na kuweza kujiajiri...
  12. JamiiForums Tanzania Kisa Lissu na Katiba Mpya, CCM na CHADEMA watupiana maneno ''Vijana wa CCM wameishia kupiga makofi na kubeba mabegi"

    Amani Ayoub ambaye ni Mwenyekiti, UVCCM - UDSM Mabibo - Hostel amemkabia kwa juu na Elia Evarist ambaye ni Mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA kisa hoja ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya 'No Reform No Election' na Katiba Mpya akidai hoja haina mashiko...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu usikubali kamwe Kuingia kwenye Uchaguzi , bila Mabadiliko ya Tume huru ya Uchaguzi, Usikubali kamwe, CCM haiaminiki Kwa Maneno tu!

    Najua Kuna presha ya kipuuzi inayorushwa kwako, ohooo hata kama hamna Mabadiliko ,Ingieni tu Kwa uchaguzi. Ohooo Kauli mbiu yako inalengo la kuleta machafuko!!. Na Ma blaah blaah mengi.!!. Sasa MH LISSU kataa katakata kuwapa CCM sababu za kuhalalisha uporaji wa Uchaguzi . CCM wasikudanganye...
  14. JamiiForums Tanzania Nitakapokuwa na Umri wa miaka 62 nitawasilisha maombi ya kuanzisha Chama Cha Siasa, hiki kitakuwa chama tanzu kupunguza mapungufu ya CCM

    Ndugu wanajukwaa, nawasalimu kwa jina la Mungu baba muumba wa Dunia na Tanzania yetu na wake. Napenda kuwashirikisha kuwa inshallah katika umri wa miaka 62 ninampango wa kuanzisha chama tanzu kupunguza mapungufu ya CCM. Basi na ikawe heri nawatakia maisha marefu sote tushiriki kuyaishi yote...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Tulia awataka vijana kujitokeza kugombea kwakua CCM imejipanga kushika dola

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mlezi wa CCM kwa Mikoa ya Kusini na Kaskazini Unguja, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amesema kuwa CCM imejipanga kikamilifu kuhakikisha inaendelea kushika dola...
  16. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kutoshiriki uchaguzi mkuu 2025 litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali ya CCM kidiplomasia na kiutawala

    No reforms, no election ni mfupa mgumu sana kwa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa kitaifa October 2025. Kama serikali ya CCM italazimisha kufanya uchaguzi pasipo ushiriki wa chama kikuu cha upinzani Tanzania yaani CHADEMA basi litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan kidiplomasia...
  17. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi CCM Fadhili Maganya amesema CCM kimejipanga kupata ushindi wa haki mwaka huu

    HAwa jamaa kumbe huwa wanajua hawashindagi kwa haki bhana eti wanadai mwaka huu watashinda kwa haki. Haki gani sijui wananzungumzia ==== MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi, Fadhili Maganya amesema CCM kimejipanga kupata ushindi wa haki katika uchaguzi Mkuu mwaka huu...
  18. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasanii wa Bongo movie waliokuwa CHADEMA wahamia CCM

    Wakuu naona sasa kila mkate utalainika kwa wakati wake ni suala la kupata chai tu. Wasanii waliokuwa wakii Support Chadema sasa wamekwenda kujiunga na Chama cha mapinduzi. Kwanza lini wamewahi kuwa Chadema? ==== Wasanii wa filamu Jimmy Mafufu, Shamsa Ford, Stamina pamoja na wengine wengi...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ramsey: CCM Arusha Mwiko kusema mitano tena kwa mbunge na diwani

    CCM mwiko kusema mitano tena kwa mbunge na diwani. Mitano tena ni kwa Rais Samia Suluhu tu kwa madiwa na wabunge mwendo wa ngiri mkia juu. Hayo yamesemwa na Katibu wa Siasa na Uenezi Mkoa wa Arusha Saipulani .A. Ramsey Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Hakuna mgombea ubunge kupita bila kupingwa

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameonya vikali Wanachama wanaotafuta uteuzi wa udiwani na uwakilishi ambapo Balozi Nchimbi alisema baadhi ya Wanachama wanaotaka nafasi za uongozi wanaanza kupitisha fomu ili watangazwe kuwa Wagombea pekee ambapo amesema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…