Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Tabia ya Katibu Kata wa CCM Kata ya Nyalikungu,wilaya ya Maswa,Charles Kahema anatakiwa ashughulikiwe na uongozi wa CCM wilaya kwa tabia zake za kuwatukana matusi na kuwadhalilisha viongozi wenzake wa Kata hasa wa jinsi ya kike.
Aprili 14,2025 alifikishwa katika kituo cha polisi wilaya ya Maswa...
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita kimetoa wito kwa wanachama wake kuzingatia utulivu na kuheshimu taratibu zilizowekwa wakati wa kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi.
Akizungumza na wanachama wa CCM katika Kata ya Uyovu Wiaya ya Bukombe, Mwenyekiti...
Wakuu,
Gen Z tunavyojifunza mambo yalivyokuwa nyuma ili tufanye maamuzi sahihi. Hii imekaaje? Mwanajeshi ana utii kwenye chama kuliko serikali, kuna kutetea maslahi ya wananchi hapo?
=====
"Nilikuwa Mkuu wa Kikosi cha Jeshi wakati hairuhusiwi Afisa wa Jeshi kushiriki kwenye mambo ya kisiasa...
Maneno haya hayaachi shaka hata kidogo:
Tuweke rekodi sawa sawa, ipo tofauti baina ya kustaafu na kupigwa mweleka. Misamiati miwili hii ni tofauti.
Ama kwa hakika ukisikia mtu mzima kama huyu analalama hivi, "no reforms no election" ni kukamatia hapo hapo mapambazuko ni karibu.
"Kamanda...
Kwa nchi ilipofikia bila hatua madhubiti, viongozi baadhi wa serikali wanaweza kuamua jambo lolote hatari la kuhumiza watanzania wenzao kwa kisingizio Cha kulinda amani ya nchi.
Wanasahau pasipo HAKI kutamalaki hiyo AMANI wanayo ubili ni sawa na kusukuma UPEPO.
Baadhi ya viongozi wa CCM...
1. Wanachama wenzangu. Hii game tushashinda mezani.
2. Lililobaki, tupange Safu ya vyeo kuanzia PM, Mawaziri na vyeo vingine (Wakurugenzi, Makatibu Wakuu, RC, RAS, Wakurugenzi Halmashauri, DC, DAS) kila mtu apate.
Kutokana na uwepo wa taarifa za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoshiriki uchaguzi mkuu wa 2025 kulikosababishwa na kukataa kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, Mwenyekiti wa UVCCM Mohammed Ali Kawaida, amesema amepokea malalamiko mengi kutoka kwa vijana juu ya kunyimwa haki yao...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Mohammed Kawaida amesema kwasasa hana mpango wowote wa kugombea Ubunge kwani anataka akitumikie Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
Tangu mwaka 1992 mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa tena nchini, na tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi kufanyika mwaka 1995, sijaona chama kinachochukiwa na CCM kuliko CHADEMA.
Kitu pekee nisichoelewa, ni kwa nini CCM kila wakati husema hadharani kuwa CHADEMA inakufa ama itakufa!
CHADEMA...
Katika makosa ambayo ccm imewahi kufanya basi kosa la kimkamata tundu lissu wakati huu ni kosa baya sana.
1. Chadema imekuwa popula mara dufu kwa wananchi.
2. Chadema imekuwa popula kimatafa
3. tanzania imekuwa exposed kama nchi isiyo fuata demokrasia .
4.Kosa hili limefuta mazuri ya Rais...
Kati ya watu walioonekana kumwunga sana mkono Rais Samia mara baada ya yeye kutangaza 4R, walikuwa ni wanachama na wapenzi wa vyama vya siasa vya upinzani, na wapenda demokrasia wote wanaoipenda nchi yao kwa dhati na kweli ya moyo. Watu hao hao ndiyo leo hii wanaonesha kumchukia sana Rais Samia...
Hii si habari mbaya kwa mama kupatiwa mlango wa kutokea:
Wanasiasa waachwe wafanye siasa!
Heko Dr. Nchimbi rhumba liendelee:
Kazi iendelee.
"No reforms no election!"
Hapa nchini petu, kupitia taarifa mbalimbali, zikiwemo za wapiga kura, na hata taarifa za watazamaji wa kimataifa wakati wa uchaguzi, CCM ndiyo imekuwa ikivuruga uchaguzi ili kupora mamlaka ya wananchi.
Kule Zanzibar, watazamaji wote walithibitisha kuwa maalim Seif alikuwa ameshinda uchaguzi...
Nakumbuka kipindi cha utawala wa JK kule wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma iligundulika hazina kubwa ya madini ya Uranium
Ila tangu wakati huo sijasikia mwendelezo wa uchimbaji wa madini hayo ambayo ni muhimu kwenye nishati na mambo mengine.
Je CCM wameuza kwa mabeberu au shida ni nini hadi...
Oneni maigizo ya CCM yalivyobuma japo wao wanavyoyapanga wanakua wanahisi "Wametumia Akili kwelikweli”.
Suala la Uenyekiti wa CHADEMA na Mgombea Urais Kupitia CHADEMA , maandalizi yalianza kwenye uchaguzi wa Ndani wa CHADEMA , hapa wakadhani wameshinda.
Lissu akagombea Uenyekiti, CCM...
Kitakachotokea baada ya October 2025 kitakuwa hatari zaidi ya kilichotokea 2015 .
Huu Uzi utakumbukwa na watu wote
CCM inapambana kuua vyama Vya upinzani huku ikitengeneza upinzani .
Yaani watasiganyana wao kwa wao na hakutatawalika trust me
Wakuu hii ndo Ccm ninayoijua Mimi ambayo haijali wewe ulikuwa nani , umejitoa kiasi gani n.k
Mpaka Sasa Justin kimodoi mwili wake haujaletwa kwao Bukoba kwa ajili ya mazishi .
Changamoto kubwa ni pesa.
Hii ndo Ccm
Kwanza siamini kama Lissu analala mahabusu.
Na Nina uhakika Lissu hawezi kufungwa.
Ndio maana mashitaka yake yamekaa kimagumashi ili ashinde kesi kirahisi.
Kwa kazi kubwa ambayo Lissu ameifanya kwa kuisaidia CCM kushinda uchaguzi wa mwaka huu kirahisi, serikali haiwezi kumfunga wala kumfanyia...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, kimesema hakitamvumilia mwanachama yeyote ambaye ataanza kujipitisha majimboni na kuanza kupiga kampeni kabla ya wakati.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt. Mohammed Said Dimwa ametoa kauli hiyo Aprili 12, 2025 wakati akizungumza na kamati za siasa za...