The Chama Cha Mapinduzi (CCM) presidential primaries, 2015 took place in July 2015 to determine CCM's nominee for the Presidency of Tanzania for the 2015 election. The Chama Cha Mapinduzi (Party of the Revolution) is the country's dominant ruling party, and the longest reigning ruling party in Africa.
Incumbent president and 2010 nominee Jakaya Kikwete is ineligible for re-election due to term limits. He is looking forward to his retirement, and has described the presidency as being both "stressful and thankless". Kikwete, who also serves as the party's National Chairman, said that he was not backing anyone as his preferred and chosen successor.
More than forty candidates (including 12 Cabinet Members) collected the nomination forms. On 12 July, Minister of Works John Magufuli was selected as the party's presidential nominee, and was most likely to win. He won the presidential election by 58.46%.
Nimeangalia kampeni za CCM kipande kidogo leo. Wakati watu wanaruka ruka na kuimba kabla ya Kabudi kuongea mara paap kuna mtu akapita na ndoo yake ya miwa pale mbele basi mimi moja kwa moja nikamkumbuka yule Muuza Madafu wa Ikulu
Huu Utaratibu wa Viongozi kupewa dhamana na Kukiuka dhamana waliyopewa Umeanza kuwa ni Utaratibu wa kawaida sana.
Leo hii hakuna asiye fahamu Uchaguzi wa VITI MAALUMU MBEYA umeharibiwa na Wapuudhi waliopewa dhamana Ndani ya UWT MBEYA lakini cha ajabu Tuna kaliana kimyaa huku Mpasuko ukiendelea...
Mwenyekiti wa Ccm Mbeya Mjini Humphrey Nsomba amechukua Fomu kugombea Ubunge jimbo la Mbeya Mjini
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
Chama Cha Mapinduzi CCM mkoa wa Mbeya kimetoa rambirambi yake kwa familia 28 zilizoondokewa na ndugu kufuatia ajali ya magari iliyotokea siku ya Jumamosi usiku.
Soma: Watu 28 wafariki kwenye mteremko wa Mbalizi, mkoani Mbeya, wengine 9 wajeruhiwa
Akiongea na wafiwa kwa niaba ya Mwenyekiti wa...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mbeya Ndg.Patrick Mwalunenge ameweka wazi msimamo wake kuelekea Uchaguzi Mkuu kila mtu anayetaka kugombea ndani chama hicho kuacha vitendo vya ukatili na roho mbaya kitu ambacho si kizuri kabisa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mbeya Mjini kimeonesha kuridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara inayounganisha maeneo ya Ilomba na Machinjioni, chini ya mradi wa TACTIC awamu ya kwanza.
Akizungumza wakati wa ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi huo, Mwenyekiti wa...
Familia ya Katibu Mwenezi wa CCM Mbeya Mjini, Philimon Mng'ong'o, imekumbwa na hofu baada ya watu wasiojulikana kuvamia nyumbani kwake usiku wa kuamkia Aprili 22, 2025 na kuchoma gari. Moto huo pia ulianza kushika sehemu za nyumba, lakini watu 11 waliokuwemo waliokolewa salama.
Mng'ong'o...
Wakuu,
Naona miradi inaendelea kukamilika kwa kasi ya ajabu kabla ya Uchaguzi Mkuu.
CCM theatrics zenu tunazijua
==========================================
Mradi wa maji Luduga-Mawindi wilayani Mbarali Mkoani Mbeya awamu ya nne umetekelezwa kwa kutumia Mkandarasi GNMS CONSTRUCTIONS LTD...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.