ccm madarakani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    TUJADILI: Mbinu gani sahihi itumike kuiondoa CCM madarakani?

    Kwa muundo wa CCM na serikali yake ulivyo bila katiba mpya huwezi kuiondoa kwa njia ya sanduku la kura. Je, tuendelee ku-push kuandikwa kwa katiba mpya kwa njia za amani hadi tuipate? Je, tu-push Maridhiano ya kitaifa? Je, tuendeleze maandamano ya MO29 yalipoishia au tuyaboreshe. How. Je...
  2. R

    GE2025 Zitto: Wananchi Mnaweza kuiondoa CCM Madarakani

    CCM inang'ang'ania madarakani, haitaki kutoka jumlajumla, nyinyi wananchi mnaweza kuiondoa CCM rejareja kwa kuanza na wabunge. Geuzeni uchaguzi huu kuwa ni kura ya maoni, kura ya kutokuwa na imani na CCM kwa kuwachagua wabunge wa ACT Wazalendo, na kule kwenye udiwani madiwani wa ACT Wazalendo"...
  3. Sales man

    Huyu Dada anayejiita Aminata aliyesema Baba yake ni kinana , hakutumia Akili amejiharibia sehemu kubwa sana ya Maisha yake.

    Huyu , Aminata nilimwambia njia aliyoitumia kumbagaza Mzee Kinana haikuwa sahihi. Hata angekuwa baba yake kweli lazima angejitafakari Sana kabla ya kufanya maamuzi hayo. Pole Sana Aminata Elimu yako haijakukomboa .
  4. Mi mi

    Wa kuitoa CCM madarakani ni CCM yenyewe

    Kweli wakuitoa CCM madarakani ni CCM wenyewe wakitofautiana kinyume na hapo sioni hilo kutokea. Nyerere alijua fika jitu alilo tengeneza ni jitu la namna gani. Na ndio maana alisema upinzani utatoka CCM maana nje ya hapo hakuona kabisa kwa mifumo ya nchi ilivyo.
  5. kalisheshe

    Kuendelea kuishabikia na kuiweka CCM madarakani, ni ukichaa au kurogwa kwa watanzania?

    Ni kitu kinachoshangaza na kutuumiza vichwa baadhi yetu tulioamua kutumia akili za kuzaliwa watanzania. 1. Mfumo wa kodi ni mbovu mfano kodi ya uagizaji wa magari, haiwezekani kodi iwe sawa au zaidi ya bei ya kununulia gari. 2. Mfumo wa pasport haueleweki 3. Ufisadi ndo usiseme 4. Umasikini...
  6. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Angelah Kairuki: Hakuna mwenye Ubavu wa kuitoa CCM madarakani

    Mbunge na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Angelah Kairuki amesema hakuna mwenye Ubavu wa kuitoa CCM kwani Chama hicho kimesimikwa kwenye Misingi demokrasia na Utawala bora kutoka kwa viongozi wake Mahiri Wenye Uwezo mkubwa kiutendaji ambao ni Dkt Samia Suluhu Hassan na...
  7. Waufukweni

    PreGE2025 Vyama 14 Vyaungana kuiondoa CCM madarakani Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025

    Vyama vya siasa kumi na vinne (14) nchini vimeungana kuhakikisha vinaitoa CCM madarakani katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu 2025. Katika taarifa yao waliyoitoa Jumapili Juni 1.2025 jijini Dodoma kwa waandishi wa habari, Uongozi wa Vyama hivyo umesema unasubiri...
  8. Waufukweni

    PreGE2025 Makalla: Watanzania wameridhika na Utekelezaji wa Ilani, ushindi ni wa CCM

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) anayeshughulikia Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema ushindi mkubwa wa CCM katika maeneo mbalimbali ni ushahidi wa wananchi kuridhishwa na utekelezaji mzuri wa ilani ya chama hicho, pamoja na miradi iliyotekelezwa na...
  9. K

    Wakati umefika sasa viongozi wa TEC kutoa tamko la kuungana na wananchi kuandaa maandamano ya kuiondia CCM madarakani

    Muktadha wa kisiasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC umegawanyika sana kutokana na mzozo uliotokana na kukataa kwa Rais Joseph Kabila kuondoka madarakani baada ya muda wake kumalizika karibu miaka miwili iliyopita. Katika jitihada za kutatua mkwamo huo, Kanisa Katoliki lenye...
  10. Cute Wife

    PreGE2025 TBT: Kanali Mstaafu Lubinga akisimulia alivyoshiriki kuisadia CCM wakati sheria na taratibu hazimruhusu, alisema 'bila CCM Madarakani mimi sitalala'

    Wakuu, Gen Z tunavyojifunza mambo yalivyokuwa nyuma ili tufanye maamuzi sahihi. Hii imekaaje? Mwanajeshi ana utii kwenye chama kuliko serikali, kuna kutetea maslahi ya wananchi hapo? ===== "Nilikuwa Mkuu wa Kikosi cha Jeshi wakati hairuhusiwi Afisa wa Jeshi kushiriki kwenye mambo ya kisiasa...
  11. Knock life

    PreGE2025 Watoto wa 2000 ndo wataitoa CCM madarakani

    Ipo siku mtakumbuka huu Uzi Ila nawaambia vijana wa 2000 ndo wataleta mabadiliko ya kweli katika hili Taifa. Hiki ndo kizazi kimezaliwa katika nyakati ngumu sana, kizazi ambacho mtu anasoma degree Ila anakuja kulipwa 150K Kizazi kinachopitia mateso . So hiki kizazi Serikali inatumia nguvu...
  12. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Maoni ya mkazi wa Songea: Kwa mfumo wowote ule upinzani hawataweza kuing'oa CCM madarakani

    "Kwa mfumo wowote ule (upinzani) hawataweza kuing'oa @CCM madarakani, kwa sababu kila chama kinataka kupata ruzuku, ukitaka kuiondoa CCM madarakani inabidi uanze harakati za kufika hata maeneo ambayo hamjawahi kuyafikia, lazima muwe na ajenda," - Haya ni maoni binafsi ya Mohamed Kudeka Kupata...
  13. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    PreGE2025 Hiki kizazi ndo kinachoibakiza CCM madarakani. Hukiambii kitu kikakuelewa

    Kataa ukubali Kizazi hiki ndo mtaji mkubwa sana wa Ccm. Ccm kwenye kampeni zao Huwa wanakirinda Kwa wivu mkubwa mno. Kizazi hiki kinakiambia ccm imetulea.Ccm imeleta Amani Nchi hii nk. Kizazi hiki kikiisha wanaobaki ni vijana wachache tu ambao hawajitambui Bado ndo supporters wakubwa wa ccm...
  14. State Propaganda

    Siri ya kudumu kwa CCM madarakani ni nini?

    Kwa kifupi sana, naomba kujuzwa ni namna gani hiki chama kikongwe kabisa cha ukombozi barani Afrika na kama sio duniani, chenye alama ya "Jembe na Nyundo" kimeweza kuendelea kusalia madarakani mpaka leo hii February tano 2025, huku kukiwa hakuna hata chembe au dalili yoyote ya kung'olewa...
  15. W

    PreGE2025 Wassira: Wanaosema CCm imekaa sana walikuwa wapi wakati tunadai uhuru

    "Ndani ya nchi yetu kuna vibaraka ambao wanasema CCM imekaa muda mrefu sana, na mimi nawauliza walikuwa wapi wakati tunadai uhuru, nawauliza tulipokabidhiwa uhuru tulipatana nao tutakaa kwa muda gani? Kama wana huo mkataba wauoneshe" Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti Bara wa Chama cha Mapinduzi...
Back
Top Bottom