Baada ya chama imara kusisia uchaguzi basi kina Thobias Mwesigwa waridhani wanaweza wanunua viongozi wa Chadema na wakapata nguvu ya umma.
Wakawekeza fedha CHAUMMA na kuwanunua kina Yerrico Nyerere ,John Mrema, Kigaila na Salum Mwalimu.
Basi timu iyo iliwashawishi Wana mama wa Bawacha Kwa...
Mwaka 2025 ni mwaka wa historia kwenye nchi yetu.
Picha lilianza January 24, pale ambapo Mbowe alikumbana na kilio Cha kusaga meno Kwa kupoteza nafasi ya Mwenyekiti Chadema.
Basi G55, wakahama chama na kwenda CHAUMMA, kila siku walikuwa wanaitisha press conference kukinanga Chadema.
CHAUMMA...
Mgombea Ubunge Jimbo la Serengeti mkoani Mara kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Catherine Ruge amedai kuvamiwa na kuletewa vurugu kwenye baadhi ya mikutano yake ya kampeni huku pia akidai Jeshi la Polisi halilindi mikutano yake ipasavyo.
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye...
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Catherine Ruge, ambaye alihamia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na kuteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho katika Jimbo la Serengeti mkoani Mara, Jumatatu Agosti 25, 2025 ametimiza sharti la kikanuni kwa kuchukua fomu ya...
Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Uchumi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Catherine Ruge (Msubhati) amesema ameamua kusimama na kugombea ubunge wa Jimbo la Serengeti Mkoani Mara, kwa lengo la kupigania haki za wananchi na kurejesha matumaini kwa jamii inayokabiliwa na changamoto mbalimbali...
Waliokuwa wanachama wa Chadema, miezi miwili imepita kila siku walikuwa wanashindana kufanya press conference kuinanga na kuihama Chadema.
Walijiona wao ni wakubwa wanaweza nenda chama chochote na kushinda ubunge. Sasa toka CHAUMMA watangaze kutoa fomu watu hao wanachukua fomu Kwa kujificha ...
Catherine Ruge pia ameeleza kuwa ameenguliwa bila kupewa taarifa rasmi, akikiri kupata taarifa za kuenguliwa kwake kupitia ujumbe mfupi wa simu (sms)na Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika, bila ya kuelezwa makosa yake na sababu za kuenguliwa kwake ambapo pia ni kinyume na Katiba ya nchi ibara ya...
Huyu dada Catherine Ruge alivyopigwa Chini kwenye Ukatibu Mkuu wa BAWACHA nilihuzunika Sana.
Ila kwa Sasa naona waliompiga Chini waliona mbali Sana kumbe alikuwa kirusi kwenye chama. Kateuliwa tu kwenye Secretariat kwa heshima kaanza ujinga. Akae pembeni asaidie mambo ya uhasibu.
Tundu Lissu, Mwenyekiti wa chama Taifa CHADEMA leo 5.4.2025 ametengua uteuzi wa mjumbe wa sekretarieti na mtalamu wa dawati la jinsia Catherine Ruge.
Catherine Ruge ni mmoja ya Kikundi cha ndani ya CHADEMA cha G55 chenye Malengo ya kukwamisha Kampeni ya no reforms no Election. Pia wanadaiwa...
Katibu Mkuu wa zamani wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha), Catherine Ruge amesema vyama vya siasa ni nyenzo muhimu ya kuhakikisha wanawake wanajengewa uwezo wa kuwania majimbo, lakini bado haviamini kama kundi hilo linaweza kusimama.
Ruge aliyewahi kuwa mgombea ubunge wa Serengeti...
Dada Catherine, wee ni Moja ya Wanawake makini, wachapa Kazi ,wawazi, na Wafia chama ,majasiri na makini.
Inawezekana ni kupitiwa tu na ushawishi , Binadamu tunakosea.
Ninaamini Kwa Kariba yako, wewe Sio kundi lile, wewe ni wa LISSU , Infact wewe na LISSU Kuna vitu mnaviamin.
Chonde chonde...
Catherine Ruge ameuita mfumo mpya wa uongozi wa CHADEMA kuwa ni mfumo dume baada ya picha iliyoonyesha wanaume tu wakiwa wamesimama kwenye jukwaa kuu katika mkutano uliomalizika jana Mlimani city. Picha hiyo iliwekwa na Janeth Rithe ambaye ni mwenyekiti wa ngome ya wanawake wa chama cha ACT...
Pamela Maasay
Pamela Maasay amechaguliwa kuwa Katibu wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) akimbwaga Catherine Ruge aliyeshindwa kutetea nafasi hiyo.
Pamela ameibuka kidedea kwa kura 37 sawa na asilimia 54 katika kinyanganyiro hicho huku Catherine akipata kura 34 sawa na asilimia 40 na...
Catherine Ruge ambaye alikuwa anawania ukatibu mkuu wa BAWACHA Taifa amepigwa chini na Pamela Maassay. Ruge alikuwa anamuunga mkono Mwamba.
Uchaguzi umekamilika kwa nafasi zote za BAWACHA ambapo
Team TALL Wajumbe 17
Team FAM wajumbe 16
Jumla 33
Huku Bavicha Team FAM Ikiibuka hohe hahe kwa...
https://youtu.be/u5W0p435GHQ?si=mYGJkq3wwCv0b3lZ
====
Katibu Mkuu wa BAWACHA Taifa anayemaliza muda wake Mhe CPA Catherine Ruge ametangaza kutetea kiti chake kwa kipindi cha pili cha miaka mitano baada ya kujenga BAWACHA ya kisasa nadhani hili sote tutakubaliana nae naomba kwa...
8 July 2024
‘Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) - 'Samia Anahofia Mageuzi Yataiondoa CCM Madarakani’
Catherine Ruge, Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), amesema kwamba sababu kubwa ya kufeli kwa mchakato wa kuleta mageuzi ya kisiasa nchini, kama vile...
Familia za wahanga wa mauaji ya Tarime kwa hakika zimekosewa sana.
Hivi ndivyo ilivyo kwa vifo vyote vya makusudi vinavyotekelezwa na vyombo vya dola kinyume cha sheria.
Wito huu ni kwa wapenda haki, vyama vya siasa, asasi za kiraia na wapenda amani wote.
Catherine Ruge anapambana. Kwa...
Jeshi la Polisi, Mkoa wa Mara limemkamata Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Catherine Ruge.
Ruge amekamatwa leo Jumamosi, Septemba 24, 2022, muda mfupi baada ya kufika Mjini Musoma, Mkoa wa Mara kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari.
Lengo la...
Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Catherine Ruge.
Jeshi la Polisi, Mkoa wa Mara limemkamata Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Catherine Ruge.
Jeshi la Polisi, Mkoa wa Mara limemkamata Katibu wa Baraza la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.