cag

  1. C

    Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

    Nafahamu kwamba watu wengi wameanzisha threads wakijaribu kuelezea suala la CAG Kisheria! Hata hivyo, wengi wao kama sio wote walichofanya ni kurundika vifungu vya kisheria bila kutoa ufafanuzi! Mbaya zaidi, hawatoi ufafanuzi wa matumizi ya neno SHALL kwa mujibu wa sheria zetu! Nimelazimika...
  2. Prof. Mussa Assad: Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya

    Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya. Nasubiri kupata taarifa rasmi ya termination kwa sababu niko safarini kikazi - Prof. Mussa Assad akizungumzia uteuzi wa CAG mpya Nilipoteuliwa nilipewa barua ya uteuzi iliyoeleza mambo kadhaa ya kisheria...
  3. Kichuguu si Mlima CAG: Chuki Dhidi ya Magufuli imewatoa ufahamu sasa?

    Watu wanaendekeza siasa mno kuhusu suala la CAG. Rais halazimiki kumteua CAG yule yule kila baada ya miaka mitano. Katiba na Sheria viko wazi kwa yeyote kuona. Kwa vile marais waliopita walimteua mtu yule yule kwa vipindi zaidi ya kimoja haina maana Rais ajaye analazima kurudia kumteua...
  4. Kwanini Zitto anamuogopa CAG Mpya?

    Hofu hii kwa kiongozi wa Kudumu wa ACT sio ya kawaida na kilio chake kina kelele ya uchungu mkubwa. Tusubiri makubwa zaidi? Zitto hofu yako kwa Charles Kichere ni nini haswa?
  5. CAG wa kwanza Mtanzania kutokuongezewa mkataba baada ya miaka yake yake mitano ya kwanza kumalizika

    Sijui Prof Assad alikosea wapi mpaka kawa CAG wa kwanza Mtanzania hapa Tanzania kutokuongezewa mkataba baada ya miaka mitano kuisha.
  6. CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

    Rais John Magufuli leo Novemba 3 amemteua Charles Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akichukua nafasi ya Prof. Mussa Assad Prof. Assad aliteuliwa na Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete wakati wa utawala wake na kuapishwa Novemba 2014. BAADHI YA VIFUNGU VYA SHERIA/KATIBA...
  7. J

    CAG: Kamati za Bunge zimeanza kuifanyia kazi ripoti yetu

    CAG Prof. Assad amezipongeza Halmashauri zilizofanya vizuri kwenye ukusanyaji wa mapato ya Serikali kama ilivyotangazwa na Waziri wa TAMISEMI Mh. Jafo. Prof. Assad amesema pia Kamati za kudumu za Bunge zimeanza kuifanyia kazi ripoti ya ukaguzi wa taasisi mbalimbali za serikali kama...
  8. Zitto ni mtu makini sana

    Nimesikiliza Press conference ya Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo Mhe Zitto leo na kukubaliana na hoja za wengine kuwa Zitto is a well informed person na yuko vizuri sana kuelezea. Ripoti ya 1.5 Trln ni moto sana. Sikiliza hapa. Go Zitto. Mie naamini huyu jamaa atatusaidia sana nchi hii...
  9. Madeni ya Taifa: Kuna kitu very serious CAG amekisema. Hii kitu haiko sawa. Je, tunakwenda wapi?

    Wanabodi, Hili ni bandiko kuhusu kitu very serious kuhusu mustakabali wa taifa letu na vipaumbele vyetu ambapo CAG Prof. Mussa Asad amekisema!. Kama hii ni kweli, then, this is not right at all, hivyo kama mambo yenyewe ni haya, hala hala huko mbele tusije tukashikana mashati, swali linabaki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…