Simba hii ya mwaka 2025 ni Simba ya maajqbu.
Imefanya mambo yaliyofanywa na baba zao miaka 32 iliyopita.
Kwangu Mimi Simba hii ni moja kati ya kikosi Bora kabisa Cha Simba,hii ni Kwa sababu ya namba zake.
Sikatai ubora wa vikosi vya Simba vilovyopita,lakini kikosi hiki ni Cha maajabu sana...