bwana yesu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.

    Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.
  2. msuyaeric

    Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

    Wakuu Habari zenu! Kiukweli wanawake wamezidi sana kuomba pesa yaani ukienda WhatsApp ni hatari, ukikaa kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela. Jamani tabia hii kwa wanawake imekuwa kero kuliko hata wale wanaoomba msaada barabarani. Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo...
  3. Alvin_255

    Waraka wa PASAKA: Kwenu Vijana wa Ovyo, Lini 'Mtafufuka' Kama Bwana Yesu?

    Hali Halisi ya Kizazi Kilichopotea Katika hali ya kawaida, Pasaka ni kipindi cha tafakari kuu kwa Wakristo na wasio Wakristo pia—kipindi cha kutafakari maana ya mateso, kifo, na ufufuko wa Yesu Kristo. Huu ni wakati ambapo maisha mapya yanahimizwa, msamaha unatafutwa, na mwelekeo mpya...
  4. Bado natafuta

    Tofauti ya ubatizo wa Yohana na ubatizo wa Bwana Yesu

    Jina la Bwana na Mwokozi Yesu libarikiwe. Karibu tujifunze biblia. Je kuna utofauti wowote ya Ubatizo wa Yohana na ule wa Bwana Yesu?, Jibu ni kwamba hakuna utofauti wowote, ubatizo ni ule ule mmoja wa toba, lakini kinachoutofautisha ule wa Yohana na ule wa Bwana Yesu ni “jina” Lakini ubatizo...
  5. excel

    Je kuna watu wako hai mpaka sasa Kama walivyoahidiwa na Bwana Yesu?

    Reference: Marko 9:1 Luka 9:27 Mathayo 16:28 Mistari yote hio ina ujumbe unaofanana, ya kwamba Maneno hayo yalitamkwa na Bwana Yesu mwenyewe akiwa katika mwili wa damu na Nyama akiwaambia kuna watu watauona ufalme wa Mungu kabla ya kufa.. Kumbuka ishapita miaka elfu 2 mpaka sasa Je, hao...
Back
Top Bottom