bunge la kumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge La Kumi Na Mbili, Mkutano Wa Kumi Na Tisa Kikao Cha 42. 09 Juni 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=b-yeX29iuJg
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge La 12: Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inawasilisha bajeti ya mwaka wa fedha 2025/26 Bungeni kupitia waziri Deogratius Ndejembi

    https://www.youtube.com/watch?v=UfR2sHGnbYE Bunge la 12 linaendelea na vikao vyake ambapo Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inawasilisha bajeti yake kwa mwaka wa fedha 2025/26. Bajeti hiyo inawasilishwa Bungeni na Waziri wa wizara hiyo, Deogratius Ndejembi, ikilenga kuainisha...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19 Kikao cha Kwanza, Aprili 8, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 umeanza leo Aprili 8, 2025 Jijini Dodoma, ukiwa ni mahususi kwa ajili ya kujadili na kupitisha bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2025/2026. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Mawasiliano na Elimu kwa Umma, Ofisi ya Bunge, miongoni mwa shughuli...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Waliopinga DP World wajitokeze hadharani wakiri mafanikio

    https://www.youtube.com/watch?v=MBMd95jalzs Prof. Kitila Mkumbo aeleza mafanikio ya uwekezaji wa DP World na Mradi wa SGR Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais -Mipango na Maendeleo, Mheshimiwa Prof. Kitila Mkumbo, leo tarehe 01 Novemba 2024 amewasilisha mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee ahoji Uwanja wa CCM Kirumba kukarabatiwa kwa Fedha za Umma (Bungeni Juni 10, 2024)

    https://www.youtube.com/watch?v=vpTWLYk9aeU Halima Mdee ahoji Uwanja wa CCM Kirumba kukarabatiwa kwa fedha za umma Mbunge Halima Mdee amehoji uamuzi wa Serikali kuwa na mpango wa kuuboresha Uwanja wa CCM Kirumba kwa fedha za umma licha ya kuwa Uwanja huo unamilikiwa na Chama Cha Mapinduzi...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waitara: Ni sahihi kukusanya kodi ya Serikali kwa njia ya kumwaga damu? (Bungeni Mei 15, 2024)

    https://www.youtube.com/watch?v=Z5YgPiauF-U Hoja Za Serikali: Makadirio Ya Mapato Na Matumizi Ya Wizara Ya Mambo Ya Ndani Ya Nchi Kwa Mwaka Wa Fedha 2024/2025. WAITARA: NI SAHIHI KUKUSANYA KODI YA SERIKALI KWA NJIA YA KUMWAGA DAMU? Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara akielezea...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Festo Dugange: Serikali inajenga vituo vya Kusubiria wagonjwa Kwenye Hospitali ili kuondoa kero kwa ndugu

    Fuatilia yanayojiri Bungeni leo tarehe 31 Januari, 2023 kwenye Mkutano wa Kumi, kikao cha kwanza. HOJA YA SEHEMU ZA KUSUBIRI KUWAONA WAGONJWA Mbunge wa Viti Maalum, Mariam Nassor Kisangi ameuliza kuhusu mpango wa Serikali katika kujenga na kuongeza maeneo ya kusubiri kuona wagonjwa katika...
Back
Top Bottom