bunge la 13

Bunge & Born was a multinational corporation based in Buenos Aires, Argentina, whose diverse interests included food processing and international trade in grains and oilseeds. It is now known as Bunge Limited.

View More On Wikipedia.org
  1. Bunge la 13, Mkutano Wa Pili, Kikao Cha Tisa, Tarehe 06 Februari, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=qNSa_QV1MuI
  2. Bunge la 13, Mkutano wa Pili, Kikao cha Saba, Februari 4, 2026

    Fuatilia hapa MUBASHARA: https://www.youtube.com/watch?v=oztyMFTiKlc
  3. Bunge la 13, Mkutano wa Pili, Kikao cha Tatu, 29 Januari, 2026

    Mkutano wa pili wa Bunge la 13 unaendelea na vikao vyake leo Januari 29, 2026 jijini Dodoma. Miongoni mwa shughuli za leo ni wabunge kuuliza maswali kwa Waziri Mkuu pamoja na maswali ya kawaida yatakayojibiwa na serikali. Aidha, Bunge litaendelea kujadili hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan...
  4. Dkt. Anna Henga: Bunge la 13 halina uhalali wa kisiasa, wananchi hawakuridhika na uchaguzi uliofanyika

    Leo, tarehe 27 Januari 2026, Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeanza rasmi Mkutano wake wa Pili Jijini Dodoma. Kufuatia kuanza kwa mkutano huo, Dkt. Anna Henga (Wakili), Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), ameeleza mtazamo wake kuhusu Bunge hilo...
  5. Dodoma: Bunge la 13, Mkutano wa 2, Kikao cha Pili Januari 28, 2026

    Mkutano wa Pili wa Bunge la 13 unaendelea leo Januari 28, 2026 bungeni jijini Dodoma. Miongoni mwa shughuli za leo ni Waziri Mkuu kuwasilisha Taarifa ya Matoleo ya Gazeti la Serikali pamoja na nyongeza zake yaliyochapishwa tangu mkutano wa Bunge uliopita. Aidha, kutakuwa na kipindi cha maswali...
  6. Malizia huu msemo: Ukivuliwa nguo sharti ………….....

    Nimesikiliza hotuba ya raisi akifungua rasmi bunge la 13 na nimeona ni kama ameanza kuinama na kujisitiri kutokana na yale yaliyotokea. Je, ili achutame kabisa kiungwana na kuepuka fedheha inabidi afanye nini? Kwa wenzangu mliosikiliza hotuba: je imewatia moyo au ndiyo imewaongeza hasira...
  7. Rais Samia kuhutubia na kufungua Bunge la 13, leo Ijumaa Novemba 14, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=qb1BTEzjtbI Pia soma: ~ Rais Samia kumuapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu, leo Novemba 14, 2025 ~ Uchaguzi wa Urais Tanzania 2025: Samia Suluhu ashinda kwa 98%
  8. Dodoma: Bunge la 13, Mkutano wa Kwanza, Kikao cha 3, Novemba 13, 2025

    Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Jina la Mbunge huyo wa Iramba Magharibi limewasilishwa Bungeni na Mpambe wa Rais (ADC) Brigedia Jenerali Nyamburi Mashauri kwa ajili ya Bunge...
  9. Mwenye Dhambi Zake za Kuua Atahutubia Lini Bunge la 13?

    Ni ajabu, lakini si geni, kwamba dunia ya leo imejaa watu wanaotaka heshima bila toba, madaraka bila maadili, na sifa bila uhalali. Kila siku tunashuhudia wenye dhambi zao wale walioua kwa mikono yao au kwa maamuzi yao wakijitokeza mbele ya umma kama watakatifu wa kisiasa. Wamevaa suti safi...
  10. Dodoma: Bunge la 12, Mkutano wa Kwanza, Kikao cha Pili Novemba 13, 2025

    Bunge la 13, Mkutano wa Kwanza, Kikao cha Pili Novemba 12, 2025 likiendelea leo kwa shughuli kuu ya kiapo cha uaminifu na ahadi ya uzalendo kwa wabunge. https://www.youtube.com/live/NTsrKOpcVLA?si=LfgAsIHRyXYqQUjQ
  11. Agnes Mathew Marwa aapishwa kuwa mbunge wa bunge la 13

    AGNES MATHEW MARWA AAPISHWA KUWA MBUNGE WA BUNGE LA 13 Dodoma – Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Agnes Mathew Marwa, ameapishwa rasmi leo tarehe 11 Novemba 2025 kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kiapo hicho kimefanyika katika kikao cha...
  12. Mussa Azzan Zungu awa Spika wa Bunge la 13. Achaguliwa kwa kura 378 kati ya kura 380 halali

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limefanya uchaguzi wa kumchagua Spika wa Bunge la 13. Kikao hicho kinaendeshwa na Spika wa muda William Lukuvi, akisaidiwa na Katibu wa Bunge Baraka Leonard. Jumla ya Wabunge 383 wanapiga kura. Katika uchaguzi huu tutakumbuka kuwa Spika wa Bunge...
  13. Dodoma: Mkutano wa Kwanza Bunge la 13 November 11, 2025

    Leo, Novemba 11, 2025, Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaanza rasmi vikao vyake kwa kufanyika kwa kikao cha kwanza cha mkutano wa kwanza wa Bunge hilo. Kazi kubwa inayotarajiwa kufanyika leo ni uchaguzi wa Spika wa Bunge, ambapo vyama Sita vimewasilisha wagombea huku mgombea wa...
  14. Mkutano wa kwanza wa Bunge la 13, Wageni wapigwa Stop! Hawatakiwi

    Waheshimiwa wabunge wateule Salaam Ofisi ya bunge inapenda kuwaarifu kuwa katika mkutano wa kwanza wa bunge la 13 Utakao anza tarehe 11/ 11/2025 siku ya jumanne ambao ni mahususi kwa ajili ya wabunge wateule kula kiapo cha uaminifu Wageni hawataruhusiwa kabisa kuingia katika ukumbi na viunga...
  15. Uchaguzi wa Spika wa Bunge na uthibitisho wa Waziri Mkuu mpya kufanyika Novemba 11, 2025

    Kufuatia Tangazo la Rais la kuitisha Bunge lililotolewa kwenye Gazeti la Serikali, Toleo Maalum Na. 11 (Special Supplement) la tarehe 4 Novemba, 2025 Tangazo Na. 647A Wabunge Wateule wote wanafahamishwa kwamba shughuli za usajili na taratibu nyingine za kiutawala zitafanyika Ofisi ya Bunge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…