Imenishangaza sana, niko hapa Bunda (Mkoani Mara) nina biashara yangu, jana nilienda Ofisi ya Halmashauri ya Mji wa Bunda ili kufanyiwa hesabu nilipe mapato na ushuru wa hotel (hotel levy), nikaambiwa wako kikaoni, mbali na kusubiri for 5 hours.
Baadaye nikaambiwa 'Tunaomba tu urudi kesho', leo...