bumbuli

Bumbuli is one of the 11 districts of Tanga Region in Tanzania. The district is bordered to the north the Lushoto District and is surrounded on three sides in the south by Korogwe District. It was split from Lushoto District in 2013.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 Eti wa Bumbuli kaachwa kwa ahadi ya kuwa Katibu Mkuu CCM baada ya Nchimbi, ni uwongo

    Yule kipara aliyetemwa na wana Bumbuli, kwenye mitandao ya jamii kuna chawa wake wanasema eti ameachwa kwa vile ndiye atakuwa mbadala wa Emmanuel Nchimbi kwenye u- Katibu Mkuu wa CCM. Yule aliyetuweka kwenye mgawo wa umeme mwaka 2023 huku akijitengenezea mabilioni ya shilingi kupitia kandarasi...
  2. S

    GE2025 Kufarijiana kunaendelea kule Bumbuli karma ipo kazini siku zote

    Nakumbuka namna Mzee Makamba alivyokuwa akitokwa na maneno mazito kiasi cha meza kuu yote kuinama chini kwa kujawa na aibu, waliingiwa na tahayari (uncomfortable) ya wazi usoni mwao. Mzee Makamba akasema wema huwa hawafi huku akichombezwa na vicheko vilivyokuwemo mle ukumbini. Lakini miongoni...
  3. GE2025 Wananchi wa Bumbuli wachinja ng'ombe kusherehea January Makamba kukatwa

    Mwazahumua wedi wagosi wa JF wabwanga na watate? Mwahumuaze wandee wose na va mame? Na wale wengine bila Shaka mtakuwa wazima. ✍️ ooh tatenaneee wabwanga tushikamane Jimbo la BUMBULI wananchi wamefurahi January Makamba kukatwa mpaka wameamua kuchinja. Tutaona mengi huu mwaka Ndio kwanza...
  4. GE2025 January Makamba aliwa kichwa Bumbuli

    Jina lake limekatwa huko Bumbuli. Aanze kula pensheni yake aliyoichota akiwa Waziri wa Umeme Pia soma 1. > Pre GE2025 - Kutoka Jimboni Bumbuli tunasema Rais Samia mitano tena, Januari Makamba hatumtaki 2. > Pre GE2025 - Wanaodai kuwa Wananchi wa Bumbuli wamtaka Makamba ajiuzulu Ubunge, wadai...
  5. GE2025 Sekeseke lililotokea wakati wa kuchukua Fomu ya Ubunge katika Jimbo la Bumbuli

    Juni 28, 2025, Rashid Kilua alikwenda kuchukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Bumbuli akiwa katika ofisi za Wilaya alifanikisha zoezi la Fomu ila inasemekana watu waliotajwa ni wafuasi wa Januari Makamba hawakuondoka eneo hilo ingawa nao pia walishachukua Fomu. Inasemekana Baadae Saa 8...
  6. W

    PreGE2025 Wananchi Bumbuli wamtaka Makamba aendelee kuwa mbunge hadi Mungu atakapomchukua

    Hivi hawa watu huwa wamepangwa ama huwa wanaongea kwa akili zao timamu kabisa? === Wananchi wa Bumbuli wakati wakizungumza mbele ya Mbunge wao January Makamba wameeleza kuwa wanamshukuru kwa uchapa kazi wake na watasimama naye 2025-20230 huku wengine wakienda mbali zaidi wakisema wanamtaka...
  7. PreGE2025 January Makamba: Bumbuli imeendelea kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na miaka ya nyuma

    Mbunge wa Bumbuli na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM, Mhe. January Makamba amesema kuwa Wana-Bumbuli wana vitu kwa kujivunia sababu wametoka mbali sana kimaendeleo ukilinganisha na miaka ya nyuma ilivyokua kwenye jimbo hilo. Makamba ameyasema hayo wakati wa mikutano mbalimbali aliyoifanya...
  8. PreGE2025 Wananchi wa kijiji cha Manga, Bumbuli wamemshukuru mbunge january Makamba kwa kutatua changamoto ya maji

    Wananchi wa kijiji cha manga kata ya funta halmashauri wilaya ya bumbuli wamemshukuru mbunge wa jimbo hilo january Makamba kwa kutatua changamoto ya maji iliyokuwa ikiwakabili Hayo yamejiri wakati wa zihara ya mbunge wa jimbo hilo ambapo wananchi wamesema walikuwa wakifuata maji umbali mrefu...
  9. PreGE2025 Rais Samia kamaliza kuwaadhibu Ummy na Makamba teuzi zinakuja. Nape yupo njiani kukamilisha genge la kukimbia na mabox ya kura

    Wakuu, Makamba na Ummy washamaliza kutumikia vifungo vyao, sasa hivi wapo vizuri na mama. Rais Samia kaonesha leo ni mtu wa visasi sana, ukionesha kitabia cha kumchallenge tu unafinywa fastaaa. Naona safari ya Tanga ilikuwa maalum kwaajili ya kutoa msamaha🌚. Pia soma: Pre GE2025 - Rais Samia...
  10. Rais Samia Asikia Kilio cha Wananchi Barabara ya Soni - Bumbuli - Korogwe

    RAIS SAMIA ASIKIA KILIO CHA WANANCHI BARABARA YA SONI - BUMBULI - OROGWE Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesikia kilio cha wananchi wa Bumbuli, mkoani Tanga kuhusu ujenzi wa barabara ya Soni - Bumbuli - Korogwe (km 77), kwa kiwango cha lami ambapo ameeleza kuwa ujenzi wa barabara hiyo...
  11. PreGE2025 Serikali imetangaza kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Soni - Bumbuli - Korogwe kwa kiwango cha lami

    Serikali limetangaza imetangaza kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Soni - Bumbuli - Korogwe kwa kiwango cha lami. Ujenzi huo utaanza rasmi baada ya kufunguliwa kwa zabuni ya mkandarasi mnamo Machi 6, 2025, ambapo awamu ya kwanza itahusisha kilomita 20 kutoka Soni hadi Bumbuli, hatua inayotajwa...
  12. Rais Samia azindua jengo jipya la Halmashauri Bumbuli, afika Korogwe Bumbuli na Lushoto

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Jumatatu, Februari 24, 2025, amezindua jengo jipya la Halmashauri ya Bumbuli, mkoani Tanga, akisisitiza umuhimu wa miradi ya maendeleo kwa wananchi. Mara baada ya kuzindua jengo hilo, Rais Samia ameeleza furaha yake kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…