bukombe

Bukombe District is one of the five districts in Geita Region of Tanzania. Its administrative centre is the town of Ushirombo.
Prior to March 2012, it was one of the eight districts of the Shinyanga Region.
According to the 2022 census, the population of Bukombe District was 407,102.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Ajira Mpya Bukombe tunasumbuliwa na simu za Taasisi za Mikopo wakati hatujawapa namba wala kuomba mikopo

    Mimi ni Mtumishi wa Serikali sina siku nyingi kazini lakini tangu siku nimeripoti nimekuwa nikisumbuliwa na hawa watu wa mikopo, wamekuwa wakipiga simu na kutuma ujumbe wakiomba nikakope kwenye taasisi yao na wakati huo sijawahi kwenda kwenye ofisi zao hata mara moja. Tunajua pengine biashara...
  2. Mkanganyiko chanzo cha mgogoro wa Mgodi wa Msasa, Runzewe, Geita

    Wakati Mkuu wa Wilaya ya Bukombe, Pasikas Mulagiri akisema chanzo cha mgogoro uliotokea leo Januari 22, 2026 katika mgodi wa Msasa, Runzewe mkoani Geita umesababishwa na kujaa kwa maji yaliyoletwa na mvua, Ofisi ya Ofisa Madili Wilaya ya Mbogwe amesema chanzo ni mvutano unaohusisha kiwango cha...
  3. Safari ya kutoka Ushirombo Bukombe kwenda Meatu

    Tafadhari 🙏wana JamiiForums, naomba kuelekezwa njia kufika Meatu nikiwa natokea Ushirombo Bukombe DC
  4. MBIO ZA KUINADI ILANI YA CCM BUKOMBE KUANZA SEPTEMBA MBILI

  5. W

    GE2025 Dotto Biteko Ashinda kwa Asilimia 99.8 hakuna Kura za hapana jimbo la Bukombe- Geita

    Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Bukombe ambae pia ni naibu Waziri Mkuu Dkt Doto Biteko ameibuka kidedea kwenye Kura za Maoni ndani ya Jimbo hilo kwa Ushindi wa kura za ndio 7441, akishinda kwa Wastani wa Asilimia99.8%. Katika mchakato wa kura za Maoni Idadi ya Wajumbe waliohudhuria ilikuwa ni...
  6. A

    KERO Bukombe: Dampo eneo la makazi ya watu mtaa Ntengere, Kata ya Igulwa Ushirombo ni hatarishi, mamlaka ziingilie kati

    Nina malalamiko kuhusu Kuanzishwa kwa Dampo (Jalala) Katika Nyumba ya Serikali, Eneo la Ntengere – Igulwa, Bukombe, katika kuliweka hili sawa kuna ushahidi wa picha zinazolionyesha eneo hili kwa hatua zaidi ambazo zitachukuliwa. Katika picha hii ni hali halisi ya dampo, dampo hili limevuka...
  7. PreGE2025 Makalla: Lema, Heche wanamiliki vitalu vya Uchimbaji Madini Kigosi Bukombe

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA. Amos Makalla, amesema baadhi ya wanasiasa wanaoikosoa serikali wanapaswa kuwa wa kweli kwa umma, kwani nao wamefaidika na fursa mbalimbali ikiwemo kupewa vitalu vya uchimbaji kama wachimbaji wadogo katika eneo la Bukombe. "Ukiwa unapiga...
  8. Geita: Watoto watatu wa familia moja Bukombe wajeruhiwa na radi, mmoja afariki Dunia

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linathibitisha kwamba Machi 23, 2025 majira ya saa 12 jioni katika Kitongoji cha Igwamanoni, Kijiji cha Kakoyoyo Wilayani Bukombe mtoto mmoja Ibrahim Masumbuko (09) mwanafunzi wa Darasa la Kwanza Shule ya Msingi Kakoyoyo alifariki baada ya kupigwa na radi...
  9. C.W.T BUKOMBE ,uchaguzi sio maagizo toka Juu ni mchakato huru,wazi na wa haki.

    Salaam kwenu wana wa nchi. Nimepita hapa jimbo la Bukombe na nimekutana na mambo ya ajabu sana. Moja ya mambo haya ni Uchaguzi wa Chama Cha Walimu Tanzania. Katika mchakato wa kuwapata viongozi mbalimbali wa chama hiki cha wasomi wa Tanzania na walezi wa watoto wa Watanzania nimeambiwa na...
  10. PreGE2025 Jakaya Kikwete: Niwaambie kuwa mambo mazuri ya Bukombe yasingetokea kama msingemchagua Dkt. Biteko

    Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ameupongeza uongozi wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Bukombe kwa Mkutano Mkuu Maalum wa kutoa taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimbo la Bukombe kwa mwaka 2020-2025. Amebainisha kuwa miradi iliyotekelezwa na inayoendelea...
  11. B

    Ujenzi wa madarasa salama dhidi ya radi, kufuatia vifo Bukombe ni muhimu

    Geita, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=vUhvYl7Mfww Wanafunzi saba wa Shule ya Sekondari Businda, wilayani Bukombe wapoteza maisha huku 73 wakijeruhiwa nchini Tanzania Tukio hilo lilitokea jana Januari 27,2025 baada ya mvua kubwa iliyoambatana na radi kunyesha wilayani humo wakati...
  12. Mhandisi Mwijage: Wananchi Bukombe tumieni Nishati Safi ya Kupikia ili kuimarisha afya na kutunza mazingira

    Wananchi kote Nchini wametakiwa kuendelea kutumia Nishati Safi ya Kupikia ili kuimarisha afya zao sambamba na kutunza mazingira. Wito huo umetolewa Oktoba 10, 2024 Wilayani Bukombe Mkoani Geita na Mkurugenzi wa Teknolojia za Nishati Jadidifu na Mbadala kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA)...
  13. Yanayojiri leo katika maaadhimisho ya siku ya Walimu Duniani: Bukombe 2024

    Leo tarehe 11/10/2024 ikiwa ni siku pekee ya maadhimisho ya siku ya Mwalimu Duniani yanayofanyikia katika Wilaya ya Bukombe yakibebwa na kauli mbiu " WALIMU NI NYOTA INAYOANGAZA" yameanza muda huu huku kukiwa na kila aina ya shamrashamra za furaha. Hakika, aina za "t- shirt" na rangi zake...
  14. A

    KERO Changamoto ya upatikanaji wa maji mji mdogo wa Ushirombo, Wilaya ya Bukombe

    Mh. waziri wa maji tunawasilisha kwako barua ya kero na Usumbufu mkubwa wa upatikanaji wa maji mji mdogo wa Ushirombo, Wilaya ya Bukombe. Hii yote ni kukosekana kwa uwajibikaji kwa Mkurugenzi Mtendaji. ======= Waziri wa Maji Mh. JUMAA AWESO S.L.P, 456 Dodoma YAH: KUTORIDHIKA NA UTENDAJI KAZI...
  15. Mashindano KNK CUP 2024 Yahitimishwa, Mabingwa wa Bukombe & Karagwe Kuchuana

    Mashindano ya KNK CUP 2024 yaliyoandaliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe .Dkt. Doto Biteko ambapo timu 246 kutoka Kata 17 za Wilaya ya Bukombe imehitishwa kwa kishindo na timu ya Chui FC kutoka Kata ya Butinzya iliibuka kidedea dhidi ya...
  16. B

    Geita: Mchungaji wa GGIS atekwa wilayani Bukombe akiwa dukani kwake

    TUKIO: Alitekwa jana majira ya saa tatu akiwa karibu na duka lake. WATEKAJI: Walikuja na gari aina ya landcruiser yenye vioo tinded wakapaki karibu yake wakashuka watu kama watatu hivi wakamkamata kwa nguvu kwa kumvamia na kumuingiza kwenye ngari baadaye kuondoa gari kwa harakaharaka na...
  17. Nataka niwape stori za ndani ndani kuhusu kiongozi mmoja nchini

    Mwezi huu Naibu Waziri Mkuu amepata msiba kwake, amefiwa na shemeji yake kijijini kwake Bulangwa, Jimbo la Bukombe ndio msiba umetokea wa Naibu Waziri Mkuu. Kama kawaida, bwana kiongozi akija tunasimamishwa njiani masaa kadha wakadha huku tukisubiri apite huku uzalishaji ukiwa umesimama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…