bukoba mjini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Inside10

    GE2025 John Heche: Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Bukoba Mjini, Chifu Kalumuna, achukuliwa na Polisi bila kuambiwa kosa

    Ameandika Heche, Nimepokea simu kutoka kwa mdogo wake Chifu Kalumna ambae ni Mwenyekiti wetu wa wilaya ha Bukoba mjini. Anasema polisi wakiwa na silaha za moto na magari mawili, wamevamia nyumbani kwa Chifu mda huu na kuondoka nae bila kumwambia wanamhitaji kituo cha polisi bila sababu yoyote...
  2. Mtu wa Majira na Nyakati

    Mfahamu Mgombea ubunge aliyeshika nafasi ya pili katika jimbo la Bukoba mjini, Ndugu Alex Muganyizi

    HUU HAPA UTAMBULISHO WA ALEX DENIS MUGANYIZI Mgombea Ubunge – Bukoba Mjini (CCM) Aliyeshika nafasi ya pili. Alex Denis Muganyizi ni mfano wa kiongozi wa kisasa anayechanganya kwa ustadi taaluma, maadili na upendo kwa watu wake. Ni mwanasheria mbobezi katika masuala ya kodi, mwenye shahada ya...
  3. Stephano Mgendanyi

    GE2025 Adv. Stephane Byabato ampigia chapuo wananchi Eng. Mutasingwa, Ubunge Bukoba Mjini

    ADV. STEPHEN BYABATO AMPIGIA CHAPUO KWA WANANCHI ENG. MUTASINGWA, UBUNGE BUKOBA MJINI Salaam sana ndugu zangu Naomba tusambaze ujumbe huu Leo jumatatu ni siku ya tatu tangu Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iteue wagombea Ubunge na Bukoba Mjini ikatuletea ndugu yetu Eng Johnston Johansen...
  4. Now and then

    Hela alizokuwa anamwaga Byabato katika Mchakato wa kura za maoni Bukoba Mjini , hii inaonesha kutumbuliwa kwake kama naibu waziri lazima kuna namna.

    Mchakato wa kutafuta Mgombea Ubunge Pale Bukoba Mjini uligubikwa na hujuma kutoka kwa Byabato . Pamoja na kwamba Byabato hakuwa sehemu ya wagombea Ila alikuwa akimwaga pesa ili kushinikiza Mbunge anayemtaka yeye na sio ambaye anakubalika na chama na wananchi. Swali la kujiuliza hizi Pesa...
  5. DR HAYA LAND

    GE2025 Siasa za Bukoba Mjini Kati ya Lwakatare na Kagasheki ilikuwa hatari sana ile ligi!

    Miaka imeenda Sana . Tumepoteza ladha katika siasa zetu , Pale Bukoba Mjini kulikuwepo VITA Kali Sana Kati ya Lwkatare na Kagasheki hii ilikuwa zaidi ya Simba na Yanga. Kura zilikuwa zikipigwa haijulikani nani atashindwa. Wote hawa wamekalishana Benji. Mmoja anaingia mmoja anaingia benchi.
  6. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mbaraza UWT Taifa Reginah Samwel ajitosa Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini

    Mbaraza UWT Taifa Na Mjumbe Wa Kamati Ya Uchumi, Mipango Na Fedha Na Kamati Ya Mawasiliano Kwa Umma UWT Taifa, Mkurugenzi Mtendaji wa Kasibante Fm Radio na Zachwa Investment LTD Bi. Reginah Samwel Zachwa ametia nia kugombea Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Soma...
  7. DuaZaMama

    PreGE2025 Shabani Rashidi amechukua fomu ya kuwania Udiwani Kata ya Bukoba Mjini

    Shabani Rashidi Said, amechukua fomu ya kuwania udiwani wa Kata ya Bukoba Mjini. Ikumbukwe Ndg. Shabani ndio alikuwa diwani wa kata Bakoba 2020 mpaka 2025.
  8. DuaZaMama

    PreGE2025 Almasoud Dauda (KAMALA) amechukua fomu ya kuwania Ubunge, Jimbo la Bukoba Mjini

    Almasoud Dauda Kalumuna (KAMALA) leo Juni 28, 2025 amechukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ikumbukwe Kamala mwaka 2020 alichukua fomu na mara baada ya kura za maoni ndiye alikuwa msindi wa kwanza kati ya watia nia 57 Jimboni Bukoba Mjini japo...
  9. M

    PreGE2025 Tetesi za RC Kagera Fatuma Mwassa kugombea Ubunge Bukoba Mjini CCM zimeanza kuleta mgawanyiko Bukoba

    Siasa za kuelekea katika uchaguzi mkuu kwa Bukoba mjini mkoa wa Kagera zimeingia shubiri baada ya kikao cha jana usku kutaka kuvujika baada ya RC Fatuma Mwasa kueleza adhima yake ya kugombea ubunge kupitia CCM katika jimbo la Bukoba mjini. RC amewaeleza wajumbe kuwa ana baraka zote za viongozi...
  10. M

    TANGAZO LA KUUZA KIWANJA – IHUNGO, BUKOBA MJINI

    TANGAZO LA KUUZA KIWANJA – IHUNGO, BUKOBA MJINI Nauza kiwanja changu kilichopo Ihungo, Bukoba Mjini. Kiwanja ni tambarare, kina ukubwa wa 20m x 40m, na barabara inapitika vizuri hadi kiwanjani. 📍 Mahali pazuri kwa makazi 🏫 Shule, hospitali na maduka vipo karibu 📄 Miliki halali, salama...
  11. ngara23

    Uliza chochote kuhusu mkoa wa Kagera, nitajibu kila swali

    Leo nitajibu swali lolote kuhusu mkoa wa Kagera, kama vile kuhusu: Uchumi Wakazi na Makazi Historia Makabila Fursa za Uchumi Hali ya hewa Mahusiano n.k Nitajibu kila swali leo Mkoa wa Kagera una wilaya 8 ambazo ni: Bukoba manispaa Karagwe Ngara Biharamlo Muleba Kyerwa Misenyi Bukoba vijijini
  12. W

    Kiwanja kinapatikana Bei Poa Bukoba Mjini

    🔹 Eneo: Ishambya, Block D, Bukoba Mjini 🔹 Ukubwa: 1,052 sqm 🔹 Umbali: Dakika chache kutoka lami 🔹 Mandhari: Eneo limeendelea, watu tayari wamejenga Inafaa kwa matumizi yote – Makazi, biashara n.k. Miundombinu yote ipo – Maji, umeme, shule, hospitali na huduma nyingine muhimu Wasiliana nami...
  13. Just Pray

    PreGE2025 Mbunge Bukoba Mjini: Bilioni 47 kutumika ujenzi wa soko kuu la kisasa la Manispaa ya Bukoba

    https://www.youtube.com/watch?v=jkX7xU7oW0A Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini mkoani Kagera, Stephen Byabato, amesema ujenzi wa soko kuu la kisasa la Manispaa ya Bukoba ni miongoni mwa miradi minne iliyopo katika miradi mikubwa ya TACTIC, ambayo itagharimu zaidi ya shilingi bilioni 47, ambapo...
  14. K

    Rais Samia ikumbuke kata ya Ijuganyondo iliyopo Manispaa ya Bukoba Mjini, inakosa huduma muhimu za kijamii

    Mh Rais ikumbuke kata ya IJUGANYONDO iliyopo Manispaa ya BUKOBA MJINI maana kata hiyo Ina changamoto nyingi sana. Yaani huduma za kijamii hazipo katika kata hiyo.
  15. Knock life

    Justin Kimodoi anafanya kazi kubwa sana, naomba uje ugombee Ubunge Bukoba Mjini

    Justin Kimodoi Njoo uchukue Jimbo Bukoba mjini. Kijana Kimodoi kutoka Texas nchini Marekani tunakuomba uje uchukue Jimbo Bukoba mjini . Tunahitaji Kijana Mzalendo na mchapa Kazi na anayejitambua. Wananchi wanakuhitaji wewe tu Pia soma > TANZIA - Mdau wa maendeleo Kagera, Justin Kimodoi...
  16. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Maringo Mia Moja ya Rais Samia na Mbunge wa Bukoba Mjini, Stephen Byabato 2020 - 2025

    MARINGO MIA YA MHE. DKT. SAMIA NA MBUNGE WA JIMBO LA BUKOBA MJINI WAKILI STEPHEN BYABATO 2020 - 2025 Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wakili Stephen Byabato anamshukuru sana Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwezesha Miradi Mikubwa na ya kimkakati...
  17. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Byabato Awafariji Watoto Yatima 200 Kupitia Tamasha la Bukoba Mjini Mpya 2024

    MBUNGE BYABATO AWAFARIJI WATOTO YATIMA 200 KUPITIA TAMASHA LA BUKOBA MJINI MPYA 2024 📌 Lengo ni kuwapa faraja katika msimu wa sikukuu 📌 Vitabu, Madawati, Vitanda vyatolewa 📌Wananchi wajitolea kuchangia Damu Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Wakili Stephen Byabato, kwa kushirikiana na wadau...
  18. Waufukweni

    LGE2024 Kagera: Mbunge Neema Lugangira apiga Kura Shule ya Sekondari Kahororo

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anaewakilisha Asasi za Kiraia Tanzania Bara Mheshimiwa Neema Lugangira amepiga kura kuamua Fyucha ya Kitaa kwenye kituo cha kupigia kura shule ya sekondari Kahororo Mtaa wa Rwome, Kata ya Kashai Bukoba Mjini.
  19. M

    Hotel au lodge nzuri Bukoba Mjini 30-50 chakula na club jirani

    Habari wakuu, Niko safarini kuelekea Bukoba Mjini naomba msaada wenu kwa wanaoijua Bukoba vizuri. Nauliza hotel au lodge nzuri kwa buget ya 30-50 ambapo chakula kizuri jirani kitapatikana pia patakua jirani na night club kushangaa shangaa kidogo
  20. A

    Waandikishaji Jimbo la Bukoba Mjini wametapeliwa pesa zao

    Waandikishaji daftari la wapiga Kura, Bukoba manispaa wametapeliwa pesa zao. Hawajalipwa kiasi cha pesa elfu sitini ambayo ni malipo ya siku moja.
Back
Top Bottom