britanicca

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Upotoshaji, Britanicca hakuanza kumkosoa Samia, bali kuanzia kwa Jakaya na Magufuli nao walikaangwa

    Watu ukikosoa wanasema kisa mi si muislamu ndo maana namkosoa Samia, Kwamba hata Jakaya nilimkosoa ila Magufuli hapana! Kama kuna mtu alimlaza Magufuli basi alikuwa Mimi, na kule twitter nilikuwa na combination na Kigogo kabla hajarejea kusifu, Ila Magufuli nimemkaanga sana...
  2. JamiiForums Tanzania TANZIA Dereva wa John Heche akutwa amefariki chumbani Kigoma

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinasikitika kuwatangazia kifo cha, Suez Dani Maradufu ambaye ni dereva wa Makamu wa Mwenyekiti Bara, John Heche. Suez amekutwa amefariki leo asubuhi Jumatano, Julai 01, 2026 chumbani kwenye nyumba ya wageni aliyofikia, mjini Kigoma. Mwili...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya misukosuko ya mwaka 2025 hatimae taratibu tuna anza kurejea na kuungana kupitia jukwaa letu pendwa JF

    Habari zenu wanajukwaa,!? Baada ya misukosuko ya mwaka 2025 hatimae taratibu tuna anza kurejea na kuungana kupitia jukwaa letu pendwa JF, ambapo wengi wetu hujifunza na kuburudika. Nimefurahi pia kuona baadhi ya member wakongwe wapo active, japo britanicca na akina Membe Sk sijawaona...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Britanicca tumuokoeni

    Naona tofauti na mwanzo. Kutwa anapost mara 3 na zote ni pumba kihoja. Tofauti na enzi za mwanzo. Akitoa hoja ukumbi unawaka kwa hoja. Tumuokoeni anaweza kuchanganyikiwa. Trump kamchanga. Hivi sasa anacheza ngoma ya Trump. Hafanyi tena analysis. Kawa sawa na gazeti la uhuru kwa ccm . Sawa na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Britanicca ndio wewe? Unajisikiaje sasa?

    Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika survive kwa masaa 48 yajayo kutoka sasa. Police wa Iran wamegoma kupokea orders za IRGC. Reza Pahlavi, ambaye ni crown prince wa Iran anayeishi nchini Marekani, ametuma ujumbe kwa majeshi ya Iran kufanya chagua la kihistoria kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Tunawezaje kutofautisha nyuzi za Britanicca na stori za vijiwe vya kahawa ?

    Moja kwa moja. Mimi ni muumini wa ushahidi, habari zozote bila ushahidi wa uhakika na wa kuamika huwa nazikataa moja kwa Moja au naiweka katika kundi la tetesi na kuzifanyia uchunguzi ili kujua ukweli na uhalisia wa habari yenyewe kwa uhakika. Siku za karibuni kumekuwa na wimbi la watu wengine...
  7. JamiiForums Tanzania Britanicca yuko vizuri katika Nyuzi zake. Lakini ule uzi wa Dokta Shika Urusi alitupiga kamba vibaya sana

    Mwamba Britanicca JF person at the moment anaendelea kuwa maarufu kila kukicha jamvin baada ya kutabiri vema Nape na January kutumbuliwa nyadhifa zao za waziri na Rais Samia baada ya ziara ya kiserikali Kativa. Lakini kwa umakini wake kwenye nyuzi zake lakini huu uzi alioposti tarehe Nov 15...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…