Kikosi cha Brazil cha umri chini ya miaka 17 kimenyakuwa kombe la dunia baada ya kuinyuka Mexico kwa bao 2-1 katika mchezo wa fainali.
Pamoja na kunyakuwa kombe hilo pia mchezaji wa Brazil Gabriel Veron amenyakua tuzo ya mchezaji bora wa michuano hiyo wakati mchezaji Matheus Donelli wa Brazil...
Our team in the U17 World Cup:
7 matches
7 wins
19 goals scored
6 goals conceded
Winners of the tournament and 100% in all competition.
Great generation incoming🇧🇷 Reliquias Brasileiras🇧🇷 on Twitter