Hapo vip!
Ukitazama kwa jicho latatu unaona kabisa hizi faini wanazopigwa Simba sio haki,ila nikwasababu wanajua club ya Simba inapesa hivyo wanatengeza faini za kijanja ili hiyo bodi inayongozwa na viongozi maskini wapate mkate wa chai.
Ni wazi bodi inaibeba Yanga katika vitu vingi ila Simba...
Wakuu
Hawa Simba tuwenao karibu, wasije wakagoma bure kuvuka maji. Mr. Reporter amedai tayari wameandika barua ya kutafutia sababu zao baadaye.
=
Uongozi wa Simba SC umeiandikia barua Bodi ya Ligi (TPLB) kutaka kujua kwanini taarifa ya kuhamisha uwanja kutoka Benjamin Mkapa kwenda Amaan...
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetangaza kuwa Uchaguzi Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) utafanyika Novemba 29, 2025, jijini Dar es Salaam.
Nafasi zinazogombewa ni pamoja na: Mwenyekiti mmoja, Makamu Mwenyekiti mmoja, wajumbe watatu kutoka Klabu za...
Kwa kawaida, Bodi ya Ligi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wamekuwa wakitoa tuzo za msimu mara baada ya ligi kumalizika, lakini safari hii mambo yamekuwa kimya. Mashabiki na wadau wengi wanahoji ni lini hafla hiyo muhimu itafanyika kwa msimu wa 2024/2025.
Rasmi
Naomba muelewe mambo ya kutuana vidole vya macho ooh karia kaipendelea timu fulan naomba niwajulishe tumefanya mabadiliko na sasa rasmi
Bodi ya ligi itajitegemea na sisi tutasimamia kanuni
-rais wa TFF
Yanga waliqashauri hili ukaleta mzaa mh raisi tena ukaitisha na press anaetakka...
Kutokana na mapungufu mengi ambayo yalitokana na Waamuzi, Bodi ya ligi na kamati zake,basi TFF unapewa lawama kubwa sana kealuyafumbia macho hasa kama msimamizi wa mpira nchini. Kwa musimu ujao fuateni kanuni rekebisha kasoro zote zilizojitokeza ili ligi yetu iwe ligi bora Barani Afrika...
BODI ya Ligi ya Tanzania (TPLB) imemteua Mwenyekiti wa klabu ya Azam FC, Nassor Idrissa ‘Father’ kukaimu nafasi ya Mwenyekiti wa TPLB ambayo imekuwa wazi kufuatia kujiuzulu kwa aliyekuwa Mwenyekiti Steven Mnguto mnamo Juni 13, 2025.
Aidha nafasi ya Mtendaji Mkuu iliyoachwa wazi kufuatia...
Taarifa Kutoka Shirikisho la mpira wa miguu TFF imeeleza kuwa mwenyekiti wa Bodi ya ligi Steven Mnguto amewasilisha barua ya kujiuzulu nafasi yake.
Aidha Kwa upande mwingine Rais wa TFF Wallace Karia amemsimamisha kazi Ofisa mtendaji wa Bodi ya ligi TPLB, Almas Kasongo.
Kuna baadhi ya taarifa muhimu na nyeti zitatolewa muda wowote kuanzia sasa”
Bodi ya Ligi imesema inaendelea vizuri na maandalizi ya mchezo wa Kariakoo Derby kati ay Yanga vs Simba uliopangwa kupigwa Juni 15, 2025.
Huyu hapa afisa habari wa bodi hiyo, Karim Boimanda ambaye ametoa uhakika pia...
Taarifa zinaeleza kuwa Ally Shaban Kamwe atapelekwa katika kamati ya maadili ya TFF kutokana na kauli zake za hivi karibuni dhidi ya mamlaka za mpira.
Soma Pia: Ali Kamwe apelekwa Kamati ya Maadili ya TFF, anatuhumiwa kwa uchonganishi na kuchafua taswira ya mpira
Kamwe akipelekwa itakuwa mara...
Wakuu!
Imebaki siku moja kabla ya dabi ya kariakoo hakun tiketi zilizouzwa mashabiki wanaingiaje kwa mkapa?
===
"Mpango wa Nyuma Mwiko kushinikiza Katibu Mkuu wa TFF na Mtendaji wa Bodi ya Ligi wajiuzulu ni mpango wa makusudi wa kutaka kuweka watendaji wapya katika taasisi hizo watakaolinda...
Kwa uelewa wangu wa mambo ya soka, na kwa kufuatilia mienendo ya majibu ya viongozi wa yanga kwa nyakati mbalimbali, na jana wamekataa kwenda TFF kujadiliana kuhusu madeni ni dhahiri kabisa kuwa ile ni geresha toto, mpango wao waendelee hivi hivi kuwachanganya watanzania ili simba wabweteke...
Katika hali ya kushangaza na ya kusikitisha, imekuwa kawaida sasa kwa timu mbalimbali kushiriki mashindano makubwa bila kujulishwa wazi zawadi au motisha wanazotarajiwa kupewa iwapo zitashinda. Hii siyo tu inakatisha tamaa, bali pia ni aibu kwa taifa kama Tanganyika, lenye historia ndefu ya...
Kama kuna ujinga wa kiwango cha juu,ni pale unapolazimika kubeba madhambi ya mtu mmoja ambaye ametumia nafasi yake kufanya uhuni kwenye soka ambalo watu wamewekeza mabilioni ya kutosha.
Unaacha kumtaja ili ulinde hadhi yako wakati yeye yupo na anaendelea kuwasapoti wanaosema hatuchezi!Huu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.