Wakuu,
JAB mnaingia mpaka chumbani kwa watu mnataka nini? Hamuoni aibu kwa haya mnayofanya?
Afadhali kuna mwandishi yuko na ujasiri wa kuongea! Ni zaidi ya fezea kwa waandishi kukaa kimya kuwa na chombo kama JAB huku mnaona kipo kwaajili ya kuwakandamiza.
====
"Mambo vipi?
So, ukiwa...
Wakuu,
Juzi bwana Zungu alitoka povu baada ya ATCL kuchelewesha safari ya Mwanza - Dar bila ya kutoa taarifa, povu lote akalitolea kwenye mitandao ya kijamii. Kumbuka Zungu hakuwa peke yake katika uwanja huo wa ndege, abiria wengine kibao walimshuhudia na alijitahidi kupaza sauti (pamoja na...
JAB YAMPA ΟΝΥΟ ΚALI MWANDISHI KWA KUKIUKA MAADILI
Dar es Salaam, 23 Januari, 2026
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), kwa mujibu wa mamlaka iliyopewa chini ya Sheria ya Huduma za Habari, Sura ya 229 na kanuni zake, imempa ONYO KALI Mwandishi wa Habari, Bw. Kelvin Justine Raphael...
Wakuu,
Mnakumbuka kuwa kuna waandishi na watangazaji siku hizi hatuwasikii redioni kabisa. Tulivyouliza tukaambiwa kuwa ni kwa sababu hawana taaluma au hawajasomea uandishi wa habari?
Alitajwa masoud kipanya, fetty na kina Zembwela
Gerson Msigwa akiwa anazungumza leo kwenye kipindi cha...
Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, ametoa onyo kali na kupiga marufuku waandishi wa habari ambao hawana ithibati kutoripoti kabisa uchaguzi mkuu kwani kufanya hivyo ni kosa la kisheria.
Amesema kuwa ni kosa la kisheria kwa mwandishi wa...
Akizungumza leo kwenye Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Habari Kanda ya Mashariki Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Wakili Msomi Patrick Kipangula Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari amesema kwamba kwa waandishi wa habari ambao hawana Ithibati na wakaendelea kufanya uandishi wa habari...
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari imetakiwa kuhakikisha kuwa waandishi ambao maombi yao yamekamilika na kuthibitishwa wanapatiwa vitambulisho kwa wakati, kwani kumekuwa na malalamiko kuhusu ucheleweshaji mkubwa katika utoaji wa vitambulisho hivyo.
Aidha, kumeelezwa kuwa ubora wa...
Hii bodi isiishie tu kwa wana habari na waandishi iangazie pia kwenye udalali.
Kuna madalali wengi Sana ni Uchwara. Mbona wameweza kudhibiti watu wa auction hadi wawe wamesomea Sheria?
N'yadikwa
Baada ya watangazaji hawa maarufu kutosikika hewani kwenye vipindi vyao kumekuwepo maneno mengi kila mmoja akisema lake, Mtangazaji @officialzungu yeye ametoa ukweli anachokifahamu ✍️
"Nimeona wanaharakati kadhaa wanafanya UPOTOSHAJI wakisema kuwa Bodi ya Ithibati imezuia wanahabari wakosoaji...
Wanabodi,
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari imewaagiza waandishi wote waliotangaza kugombea nafasi za kisiasa katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kusitisha mara moja shughuli zao za kihabari ili kuepuka mgongano wa kimaslahi na kulinda usawa kwa wagombea wote.
Pia, bodi imetaka...
Wakuu,
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imetoa kipindi cha mwezi mmoja kuanzia tarehe 22 Mei hadi tarehe 21 Juni 2025 kwa Waandishi wa Habari wote wanaofanya kazi za kihabari nchini, kujisajili kupitia Mfumo wa TAI-Habari kwa ajili ya kuomba kuthibitishwa na kupewa vitambulisho...
Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Tido Mhando, ameongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, akitangaza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa kidigitali wa kupata Ithibati na Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card).
Kupitia mfumo wa TAl-Habari, waandishi...
•Kuanza mwaka wa Fedha 2025/26 kwa mafunzo
Na Mwandishi Wetu, JAB.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi, ameitambulisha rasmi Bungeni Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) na kubainisha kwamba katika kutekeleza majukumu yake kwa Mwaka wa Fedha 2025/26...
Bodi ya Ithibati ya Waandishi Habari Tanzania (JAB) imepanga kutoa kadi za kidijitali ili kulinda wanahabari katika suala la utunzaji wa taarifa zao.
Kauli hiyo imetolewa tarehe 18 Machi, 2025 jijini Dar es Salaam na Mjumbe wa Bodi hiyo, Mgaya Kingoba, wakati akijibu maswali wakati wa mahojiano...
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), imeweka bayana msimamo wa kisheria wa Sheria ya Huduma za Habari kuwa kipaji pekee hakitoshi kumfanya mtu afanye kazi za kihabari kama hajapitia katika taaluma ya Uandishi wa Habari na kukidhi vigezo.
Msimamo huo umebainishwa na Kaimu Mkurugenzi...
Na Mwandishi wetu, JAB.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari, Wakili Patrick Kipangula amesema mbali na kutekeleza majukumu ya msingi yaliyoainishwa kisheria, bodi hiyo itakuwa na wajibu wa kusimamia Mfumo wa Mafunzo kwa Waandishi wa Habari nchini.
Wakili Kipangula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.